Ndani ya cape town

Ndani ya cape town

Nakupa Moyo kwa kutoka nje ya nchi yako,umefanya jambo la maana sana na litakuja kukupa Kumbu Kumbu lu nzuri sana maishani kwani uwezo wa kwenda kuishi nje ya nchi yako ya asili ni degree tosha na utajifunza mambo mengi ambayo kama ungekaa nchi kwenu usingejua watu wa nchi zingine wanaishije,halafu sehemu nyingi duniani utakuta wakenya wengi sana,kwanini watz hawapendi kutoka,,,
 
Mbona sababu zipo wazi?

Wewe ni Mtz?
 
Wakuu habari,

Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa

Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.

Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi

Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.

Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,

NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.

BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.
Mkuu umėondökä Tz umeacha maviwanda kibao havina wafanyakazi pia uchumi umekuwa kwa 7.3% ebu rudi
 
Sawa Kiongozi
Ila Umeondoka Tanzania Haraka Tu Wakati Nchi Ipo Vema Na Mambo Mengi Sana Mazuri

Tazama Ufunaji Korosho Na Uuzaji Wake Mbuzi Hawatakunywa Soda

Tanzania Ni Pazuri Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nakushauri Urudi Na Wenzako
Acha kumuingiza chaka
 
Hahahaha maisha ya siku hiz hatar,yani wakat ww unaniwazia kukuteka wakati Mimi nakuhofia usije niteka then ukanifanyia kitu mbaya.Maana dunia imekwisha...ukihitaj picha zangu nitakutumia usihofu mkuu ila naw uwe mkweli.
Usijali mkuu.
Mimi ni mtu mwrma sana.
Sawa, nimepata ujumbe pm nitaufanyia kazi kaka.
 
Upo sahihi mkuu pamoja Sana
Nakupa Moyo kwa kutoka nje ya nchi yako,umefanya jambo la maana sana na litakuja kukupa Kumbu Kumbu lu nzuri sana maishani kwani uwezo wa kwenda kuishi nje ya nchi yako ya asili ni degree tosha na utajifunza mambo mengi ambayo kama ungekaa nchi kwenu usingejua watu wa nchi zingine wanaishije,halafu sehemu nyingi duniani utakuta wakenya wengi sana,kwanini watz hawapendi kutoka,,,
 
Aisee huku kuna warangirangi wazur na wakawaida wamejaa tele,
Hakika upo Cape town ulivyozungumzia hao warangirangi huku wanaitwa coloured.Karibu sana Mji unaoitwa Beaufort west sio mbali sana na Cape town.
 
Ahsante mkuu,usisite kunijuza pale itakapojitokeza fursa mkuu

Back
Top Bottom