FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,336
- 13,660
Ile party vipi?
Ile party vipi?
Niko Lesotho mkuu
Ukipata chance karibu
Huyu si mwema amejifichaSasa siku ya kukuona nitakujuaje na umebandika plasta usoni hapo?
Karibu sna kaka ukiwa lolote tufatutane...Wakuu habari,
Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa
Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.
Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi
Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.
Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,
NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.
BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.
Wanaitwa coloured kama msanii AKA ni kaladi asili yao ni huko capeKumbe SA imejaa Warangi rangi wa Singida?
Hatari sana,Singida oyee.
Kwani hakuna vitu vingine vya kupiga picha ambavyo vinasibitisha kua NI CAPE TOWN?hatutaki sura yako
+27784696692Ahsante mkuu ngoja nije pm
Maitland...Pamoja mkuu,unapatikana wapi?
Bhana weeee.Hahahhahah hawakawiiii
NishakujaTutabadilishana namba za simu mkuu karibu pm
Yeah..Huku hakuna uswahili kama bongo mkuu,huku Ni kutafuta ridhiki tu