Ndani ya cape town

Ndani ya cape town

wakati wa ubaguzi wa rangi kulikuwa na maeneo ya wazungu pure,Waafrika pure Na machotara.Cape town ni eneo la machotara wa kizungu ambao wana wazazi mchanganyiko wa mzungu na mwafrika au mzungu na mhindi au mzungu na mwarabu.Machotara Wao walipewa Capetown . Waswahili Soweto nk
Asante mkuu kwa somo nzuri. Nimejifunza kitu kipya
 
wakati wa ubaguzi wa rangi kulikuwa na maeneo ya wazungu pure,Waafrika pure Na machotara.Cape town ni eneo la machotara wa kizungu ambao wana wazazi mchanganyiko wa mzungu na mwafrika au mzungu na mhindi au mzungu na mwarabu.Machotara Wao walipewa Capetown . Waswahili Soweto nk
Upo sahihi mkuu
 
Ukipada deals zozote za kukuingizia kipato kidogo hamia maeneo kama Sea Point,kuna flats za reasonable rates na ni mitaa poa.
 
Picha mkuu
Wakuu habari,

Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa

Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.

Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi

Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.

Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,

NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.

BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.
 
Back
Top Bottom