Hahaaaahaaaa babu aliwahi niambia hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke sawa na kutembelea muwa kama mkongojo jangwani lazma kiu ikikushika uunyonye
nasikhara mkuu.Duh, Dar - Songea hiyo ...
Amina mkuu.Nipo Durban hapa akikubali kuja hapo.. Nawakaribisha Sana huku, Nitafarijika nikiwaona. [emoji5][emoji5]
KaribuMkuu hupo kweli Lesotho...?
Jumamosi mkuuIle party vipi?
Unatamani upate nafasi yake eeeeeDuh
Hii chance ya karne aisee this bastard is getting!
Kitu cha pussy kinasomeka kabisa...Halafu pussy za abroad kama hivi niggaz wanang'oa hadi ukuta!
This bastard is a luckiest motherfucker ever!
Ndo mana NaulizaHu
Huyu si mwema amejificha
Kama shilawadu
KabisaIndeed
Sawa mkuu..Ok mkuu nakutumia namba zangu Za cm Assap
Tunaofahamu nguo zako tushakugu ndua, tunatuma mazombie yaje kukukamata.Kwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Kumbe wewe ni muha? Muha mwenzio Shibe kijijini baada ya kutoa mrejesho mpaka leo hajulikani sijui yupo jela au jehanamu mungu ndio anaejua.Burocha muha!Nimefarijika sana kuona comment yako mkuu, urakoze
Hahahaha maisha ya siku hiz hatar,yani wakat ww unaniwazia kukuteka wakati Mimi nakuhofia usije niteka then ukanifanyia kitu mbaya.Maana dunia imekwisha...ukihitaj picha zangu nitakutumia usihofu mkuu ila naw uwe mkweli.Ndo mana Nauliza
Naogopa kutekwa