OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Yeye dr nilivyomuelewa mm nikwamba huyu Museveni amesigni sheria hiyo ili waganda waweze kumruhusu aendele kuitawala nchi hiyo hali mda wake umeisha
asiyemsupport Museven kwa hili ni kichaaa
Aisee kweliUkisoma majibu ya watu humu inaonesha kuna mashoga wengi saaaaana!!!!!!
Kibadiru unawaona???!!
huyu dogo ni kijana wa mbowe
Acha kupotosha, kwa jinsi alivyoulizwa na alivyojibu ameonyesha dhahiri kabisa angependa mashoga waachwe huru, huyu hafai kabisa ndiyo maana CDM walimfukuza. Mhadhiri mzima unatetea ushoga? Au na yeye ni shoga?
Aisee kweli
ACT ina mlengo wa kishoga!!! eti chama mbadala cha mashoga,teh teh teh teh teh teh teh!!!
Ukisoma majibu ya watu humu inaonesha kuna mashoga wengi saaaaana!!!!!!
Kibadiru unawaona???!!
Hapana. Mimi siwezi kujua nani ni shoga na nani si shoga humu kwa kuangalia tu waandikacho.
Maandishi hayamfanyi mtu kuwa shoga. Waweza kuta hao wanaojifanya kupinga sana huo ushoga ndo mashoga waliokubuhu kabisa.
Hivyo mi sina ujuzi wa kujua nani ni nani humu. Kama wewe unao basi hongera maana wakati mwingine 'it takes one to know one'.
mbana cdu inauunga mkono ushoga na chadema mnapokea misaada yake kila siku na ww hausemi
yaani ww pixel acha kua mvivu kuchambua maelezo ya mtu ..
ww ulitaka aongee direct...
Na kwann kasema bado afrika tunahotaji misaada ... ukirelate na issue ya Uganda ni kwamba anataka Museven asingesign mkataba huo au.. anmeonyesha kujali misaada kuliku Ushoga .
Kuasema Muaeven kajivisha ubabe asioueza maana yake nn ...embu tuambie ..
au ww unaona hayo aliyoyasema yana relate vip basi kwa upande wako ,ikiwa swali aliloulizwa ni juu ya ushoga,embu tupe maoni yako.
u made it very clear....
Pixel u can actually see IQ za wenzetu hapo juu zilivyo,wakiambiwa wana udumavu wa akili huwa hawaamini
Kwahiyo ulitaka m7 akubali kupunuliwa kwa ajili ya misaada! ulivyo mburuula huo Ni kabsaaa kwamba Kitila c riziki? Au na wewe ni mojawapo fuuuuuuu kichogoni.
Uko sawa mkuu kuna watu hapa wanakurupuka tu hawajasilkiliza hata hicho kipindi wanaongozwa na chuki binafsi tuu