Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

Ina maana hujui madhara watakayopata Uganda kwa kunyimwa hiyo misaada?You must be one those uninformed Chadema supporters whose decision making is ruled by emotions and not reasoning or rationale.Uganda waliahidiwa kupewa karibu dollar million 90 kwaajili ya mradi wa afya je unadhani Uganda watapata wapi pesa kufidia kiasi hicho cha pesa walichoahidiwa na World Bank (USA Agency) ili kuendelea na miradi ya afya waliyokwishaipanga?However i still support Museven decision to sign a bill that bans a same sex marriage in Uganda.

Umeandika nini sasa, kama mtu mwenyewe hata hoja umeshindwa kuitetea? Unang'ata na kupuliza. Huna msimamo kama popo vile..
 
Nadhani nyote nyie, kwa vile mnaongozwa na hisia, mkiona au kusikia mtu anasema kwamba watu wasipangiwe maisha yao mnamuona mtu huyo kana kwamba anatetea ushoga wakati ukweli wa mambo ni kwamba anatetea uhuru wa watu binafsi kujiamulia namna ya kuishi maisha yao.

ikiwa ni pamoja.ni.mashoga sivyo?
 
Mseven na sirikali yake wamejichanganya. Hawakupaswa kujadili mswaada wa ushoga. Walipaswa kuwa neutral kwa maslahi ya nchi yake. Kujiexpose moja kwa moja kwamba nchi yake inapinga ushoga ni kutangaza vita na mataifa ya magharibi kitu ambacho ni hatari kwa maendeleo ya nchi. Kitila yuko sawa
 
Akiwa anaongea kwenye mahojiano moja kwa moja na mtangazajiwa BBC SAHILI Charles Hillary ...

Dk Mkumbo ameonekana akiutetea ushoga na kusema Museven kajivika ubabe aisiokua na uwezo nao .. Ni baada ya kuulizwa anaonaje issue juu ya Uganda na misaada iliyozuiwa na world bank baada yakupitishia sheria kali ya kuzuia ushoga ..

Kitila mkumbo kwa jinsi aliivyoongea ananyesha kabisa kwamba ni lazima nchi za Africa kuukubali ushoga .

============================
Ufafanuzi toka kwa Dr. Kitila Mkumbo
============================

Sielewi kwa nini watu hupenda kukurupuka. Hayo mahojiano wengi tumeyaona na hamna sehemu ambayo Kitila Mkumbo ametetea au kupinga ushoga. Yeye kaongelea kwa ujumla tatizo la misaada na masharti yake. Jamani mengine hayahitaji elimu kubwa kuyaelewa labda mtu awe na nia nyingine tu.
 
Hapana. Mimi siwezi kujua nani ni shoga na nani si shoga humu kwa kuangalia tu waandikacho.

Maandishi hayamfanyi mtu kuwa shoga. Waweza kuta hao wanaojifanya kupinga sana huo ushoga ndo mashoga waliokubuhu kabisa.

Hivyo mi sina ujuzi wa kujua nani ni nani humu. Kama wewe unao basi hongera maana wakati mwingine 'it takes one to know one'.

"Wakati mwingine" is a good premise!!!!!!!
Kwetu "wakati wote" tunawaweka watu katika makundi yale wafananayo au wayapendayo na kuyatetea!!!!!!!
 
Mi nilivomuelewa Dr aliposema viongozi wa africa wanajitia ujasiri bandia kujadili alikuwa na maana kuwa kwanini waruhusu mjadala kuhusu ushoga wakati africa inayo matatizo makubwa kuliko hilo la ushoga. Nadhani mawazo yake ni kuwa hili la ushoga lisipewe nafasi kabisa ya kujadiliwa, maana kwa kuruhusu kulijadili ni kutaka kuwafurahisha 'wakubwa" wa Dunia na kutaka kuonekana majasiri na kumbe ni wanyonge.
 
"Wakati mwingine" is a good premise!!!!!!!
Kwetu "wakati wote" tunawaweka watu katika makundi yale wafananayo au wayapendayo na kuyatetea!!!!!!!

Hata mkiwaweka, kama wenyewe siyo mashoga watabaki kuwa siyo mashoga.

And if that floats your boat then more power to you.

Congratulations.
 
Tusipotoshe. Katika mazungumzo yangu sikutetea wala kupinga ushoga kwa sababu hiyo haikuwa mada. Nilichosema:

i) Misaada kutoka nchi za magharibi huambatana na masharti. Masharti mengi yanalenga katika kuchochea utawala bora hasa ukilenga kukuza demokrasia ya kimagharibi na kulinda haki za binadamu. Moja ya haki ambazo zinalindwa sana na nchi za kimagharibi ni haki za wapenzi wa jinsi moja. Kwa hiyo ilitarajiwa kwamba nchi hizo zingeikatia misaada nchi ya Uganda pale ambapo Rais Museveni angesaini sheria inayotoa adhabu kali kwa wapenzi wa jinsi moja. Nikasisitiza hakuna njia ya kukwepa masharti haya kama nchi za kiafrika zitaendelea kutegemea misaada kutoka magharibi. Hatuwezi tukala keki na tukawa nayo at the same time.

ii) Viongozi wa kiafrika wanapenda kujivika ujasiri bandia katika mambo yasiyo na tija. Katika bara la Afrika kuna matatizo mengi na makubwa zaidi kuliko ushoga. Lakini wanatumia kadi ya ushoga kwa sababu ni swala gumu katika bara la Afrika ili kujipatia umaarufu hewa. Ushoga haliwezi kuwa tatizo kubwa kuliko rushwa na wizi wa raslimali unaoendelea bara la Afrika. Rais Museveni ana matatizo makubwa ya kiutawala na hali yake kisiasa si njema kuelekea uchaguzi wa mwaka 2016 na anatumia hili la ushoga ili kujikweza na kujiweka sawa katika kuwasaulisha waganda matatizo ya kisiasa na kiuchumi yaliyosababishwa na utawala wake. Anatumia pia kadi ya ushoga ili aendelee kugombea kiti cha urais wakati alipaswa kuondoka juzi.

Bahati mbaya mawasiliano yalikatika na nikaishia hapo.

Kitila hata mimi nilikusikiliza vizuri sana.....tatizo watu wanataka kuhamishia hasira za kisiasa kwenda upande usiohusika.
 
Hata mkiwaweka, kama wenyewe siyo mashoga watabaki kuwa siyo mashoga.

And if that floats your boat then more power to you.

Congratulations.

As good as quarantine!!!!!
Till proven otherwise
 
Akiwa anaongea kwenye mahojiano moja kwa moja na mtangazajiwa BBC SAHILI Charles Hillary ...

Dk Mkumbo ameonekana akiutetea ushoga na kusema Museven kajivika ubabe aisiokua na uwezo nao .. Ni baada ya kuulizwa anaonaje issue juu ya Uganda na misaada iliyozuiwa na world bank baada yakupitishia sheria kali ya kuzuia ushoga ..

Kitila mkumbo kwa jinsi aliivyoongea ananyesha kabisa kwamba ni lazima nchi za Africa kuukubali ushoga .

============================
Ufafanuzi toka kwa Dr. Kitila Mkumbo
============================

Mimi huyu daktari mara nyingi huwa simwelewi kabisa, kwa matendo na kwa maneno. On the contrary, Dr. Bashiru Ally huwa namwelewa sana hata akiongelea topic ngumu namna gani, hadi huwa nafikia hatua najiuliza kuwa hivi mawazo ya Bshiru Ally yako opposite na ya Mkumbo, au uelewa wangu mimi uko opposite na mawazo ya Mkumbo? Nimemsikiliza jana hata sijamwelewa alichosema, na ni bahati mbaya sana kwamba unahojiwa na media kubwa kama BBC halafu watu wanakusikiliza wanashindwa kukuelewa. Sijui kama mtangazaji mwenyewe Charles Hilary kama yeye alielewa kilichokuwa kikisemwa!
 
Huyu jamaa siasa haimfai. Kuchunga mdomo wake ni kitu kinachomshinda. Siasa sio ualimu wa darasani,siasa ni kipande cha nyama kinachoitwa ulimi.
 
Tusipotoshe. Katika mazungumzo yangu sikutetea wala kupinga ushoga kwa sababu hiyo haikuwa mada. Nilichosema:

i) Misaada kutoka nchi za magharibi huambatana na masharti. Masharti mengi yanalenga katika kuchochea utawala bora hasa ukilenga kukuza demokrasia ya kimagharibi na kulinda haki za binadamu. Moja ya haki ambazo zinalindwa sana na nchi za kimagharibi ni haki za wapenzi wa jinsi moja. Kwa hiyo ilitarajiwa kwamba nchi hizo zingeikatia misaada nchi ya Uganda pale ambapo Rais Museveni angesaini sheria inayotoa adhabu kali kwa wapenzi wa jinsi moja. Nikasisitiza hakuna njia ya kukwepa masharti haya kama nchi za kiafrika zitaendelea kutegemea misaada kutoka magharibi. Hatuwezi tukala keki na tukawa nayo at the same time.

ii) Viongozi wa kiafrika wanapenda kujivika ujasiri bandia katika mambo yasiyo na tija. Katika bara la Afrika kuna matatizo mengi na makubwa zaidi kuliko ushoga. Lakini wanatumia kadi ya ushoga kwa sababu ni swala gumu katika bara la Afrika ili kujipatia umaarufu hewa. Ushoga haliwezi kuwa tatizo kubwa kuliko rushwa na wizi wa raslimali unaoendelea bara la Afrika. Rais Museveni ana matatizo makubwa ya kiutawala na hali yake kisiasa si njema kuelekea uchaguzi wa mwaka 2016 na anatumia hili la ushoga ili kujikweza na kujiweka sawa katika kuwasaulisha waganda matatizo ya kisiasa na kiuchumi yaliyosababishwa na utawala wake. Anatumia pia kadi ya ushoga ili aendelee kugombea kiti cha urais wakati alipaswa kuondoka juzi.

Bahati mbaya mawasiliano yalikatika na nikaishia hapo.

Sorry me sioni kilichopotoshwa hapo.... As per your yesterday's call kwani mada hiyo ya BBC ilikuwa ina subject ipi? Matatizo ya Africa na viongozi wake kama Mseven ama Ushoga na stand ya Museven katika issue hiyo.

Ok Africa ina shida nyingi sana so what is the argument hapa na sasa kwanini kati ya hizo shida ambapo wewe ushoga unauona siyo kubwa kiasi hicho compared na hizo ulizo mention washinikize sheria ya ushoga badala ya kuwekea vikwazo viongozi na serikali za Africa zinazo fisadi nchi zao na kuficha pesa kwenye hizo hizo nchi?

Lastly msimamo wako katika ushoga ni upi? Usiseme nipo neutral kwasababu hicho ni kichaka cha kukwepa lawama in my own perception.... Sema wazi ili tujue sisi ni wapotishaji ama wewe ndiyo usiyependa kuwa responsible for your own words na msimamo katika hili..
 
Kitila is right,museven is tricky,just like mugabe,good example failures and worse dictators
 
Kwa nini kitila ameamua kuwa neutral!!???? Mimi nilitegemea aamue kufuata mrengo mmoja....sasa hapo usomi wake uko wapi!!???

kwa jinsi nilivyomsoma anataka afrika isiwape adhabu yoyote mashoga! Naungana na kichwa cha habari..kama M7 amekataa ushoga lakini kitila anambeza, hii inamaanisha angekataa kusaini mswada kitila angempongeza m7. Lim7 hata kama ni lidikteta lakini hebu tulipongeze kwa kukataa ushoga. Ni mashoga tu ndio wanamuunga mkono!
 
Back
Top Bottom