Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

nimemsikia mwanzo mpaka mwisho mawasiliano yakakatika,Sijasikia Dr.kitila eti anatetea ushoga.amesema viongozi wa Afrika wanajivika ubabe kwa vitu ambavyo hawaviwezi.m7 amesaini sheria utadhani kweli Uganda haihitaji misaada ya wazungu,tayari analalamika kua jumuia ya kimataifa imesaliti uganda.Alijipangaje kuishi bila misaada?hii ndio ilikua hoja ya Dr. kitila sema mawasiliano na BBC yakakatika.Acheni chuki wadau,jamaa kaongea vizuri na hajatetea mashoga.

Kwahiyo ulitaka m7 akubali kupunuliwa kwa ajili ya misaada! ulivyo mburuula huo Ni kabsaaa kwamba Kitila c riziki? Au na wewe ni mojawapo fuuuuuuu kichogoni.
 
nimemsikia mwanzo mpaka mwisho mawasiliano yakakatika,Sijasikia Dr.kitila eti anatetea ushoga.amesema viongozi wa Afrika wanajivika ubabe kwa vitu ambavyo hawaviwezi.m7 amesaini sheria utadhani kweli Uganda haihitaji misaada ya wazungu,tayari analalamika kua jumuia ya kimataifa imesaliti uganda.Alijipangaje kuishi bila misaada?hii ndio ilikua hoja ya Dr. kitila sema mawasiliano na BBC yakakatika.Acheni chuki wadau,jamaa kaongea vizuri na hajatetea mashoga.

Uko sawa mkuu kuna watu hapa wanakurupuka tu hawajasilkiliza hata hicho kipindi wanaongozwa na chuki binafsi tuu
 
Ina maana hujui madhara watakayopata Uganda kwa kunyimwa hiyo misaada?You must be one those uninformed Chadema supporters whose decision making is ruled by emotions and not reasoning or rationale.Uganda waliahidiwa kupewa karibu dollar million 90 kwaajili ya mradi wa afya je unadhani Uganda watapata wapi pesa kufidia kiasi hicho cha pesa walichoahidiwa na World Bank (USA Agency) ili kuendelea na miradi ya afya waliyokwishaipanga?However i still support Museven decision to sign a bill that bans a same sex marriage in Uganda.
ivi jamanii kwann mnakua wachanga wa kipambamua vitu hivyo lakini ..

Embu elezea maana ya maneno aliyoongelea Mkumbo...
Baada ya kuongea umetamsiri ni upi msimo wake ... !

Uko sawa mkuu kuna watu hapa wanakurupuka tu hawajasilkiliza hata hicho kipindi wanaongozwa na chuki binafsi tuu
 
Inasikitisha sana kuona jinsi tunavyoweza kujishusha mno na kuwa tayari kufanywa lolote eti kwa sababu ya misaada. Ushoga haukubaliki kwani hata wanyama hawafanyi uchafu huo sembuse sisi tunaojitambua na kujipembua kwamba ni wanadamu. Hakuna kisingizio chochote kiwrzacho kuhalalisha taifa kulazimishwa ulawiti na usagaji kuwa utamaduni wake. Na kiongozi yeyote akubaliye ushoga eti kwa kuogopa kukatiwa misaada basi anatakiwa nguvu ya umma imuoneshe kuwa hatukubali kufuramishwa kwa sababu yoyote. Ukikubali hilo basi wewe huwezi hata kufananishwa na mnyama kwa sababu wanyama hawana mapenzi ya jonsia moja wala ndoa za jinsia moja na pia tembo pamoja na ukubwa wake hajawahi kumsimamia punda dume ampande punda dume kwa kutishia kumnyima eneo la malisho. Eh Mola Wetu tuepushe na umaaluni huo.

Misaada yao kwanza ni usanii mtupu...watuache tuishi jinsi tuwezavyo mbona wadazabe hawafi ss ni tofauti na wao? Wametu oppress mpaka hatujiamini tena then leo bado wanatutisha! Akkkh nitagombea U-rais baada ya he coming term then will show ubabe wa kiafrica unafananaje! Mbona Mugabe yupo poa tu mpaka leo?
 
nimemsikia mwanzo mpaka mwisho mawasiliano yakakatika,Sijasikia Dr.kitila eti anatetea ushoga.amesema viongozi wa Afrika wanajivika ubabe kwa vitu ambavyo hawaviwezi.m7 amesaini sheria utadhani kweli Uganda haihitaji misaada ya wazungu,tayari analalamika kua jumuia ya kimataifa imesaliti uganda.Alijipangaje kuishi bila misaada?hii ndio ilikua hoja ya Dr. kitila sema mawasiliano na BBC yakakatika.Acheni chuki wadau,jamaa kaongea vizuri na hajatetea mashoga.

Kweli wewe ulimuelewa haswaa!
 
Msiige nchi za magharibu yaani kitila na udokta wako unadiriki kutetea ushoga?kweli umekosa busara.nilitegemea ungelaani kitendo hicho kumbe wewe ni wale wale mliokunywa uji wa mgonjwa?

hata mm nilidhani baada ya swali la Hillary , Mkumbo direct angeonyesha kumpongeza Museven na kusema ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine wa Africa juu ya ushoga ..
Lakini kashondwa na badal yake anaonyesha kumshangaa Museven
 
sasa kwani wewe ulitaka asemeje? Hayo ndio maoni yake. Ametumia uhuru wake na wewe toa ya kwako. Acha kulalamika.
 
Akiwa anaongea kwenye mahojiano moja kwa moja na mtangazajiwa BBC SAHILI Charles Hillary ...

Dk Mkumbo ameonekana akiutetea ushoga na kusema Museven kajivika ubabe aisiokua na uwezo nao .. Ni baada ya kuulizwa anaonaje issue juu ya Uganda na misaada iliyozuiwa na world bank baada yakupitishia sheria kali ya kuzuia ushoga ..

Kitila mkumbo kwa jinsi aliivyoongea ananyesha kabisa kwamba ni lazima nchi za Africa kuukubali ushoga .

Nadhani sasa kuwe na uratibu wa waandishi kabla ya kuhoji itabidi wawanuse midomo wanaowahoji!
...
Issue kama hizi zinafanya elimu na wasomi wetu kuonekana wapuuzi!
 
Kweli wewe ulimuelewa haswaa!

hakuna mtu mwenye chuki na Dk Mtilila ... swali la Hillary lilikua simple saana ...
Dk. angetakiwa kuonyesha msimamo wake.
Kuongea hivyo vyote ni kwamba anmshanga Museven kama ulivyosema ... so angehitaji kuukubali ushoga ili yanayotokea kwa Museven angeyaepuka ..
Basi hivyo ni direct kua anaadvice Museven kuukubali Ushoga
 
Ina maana hujui madhara watakayopata Uganda kwa kunyimwa hiyo misaada?You must be one those uninformed Chadema supporters whose decision making is ruled by emotions and not reasoning or rationale.Uganda waliahidiwa kupewa karibu dollar million 90 kwaajili ya mradi wa afya je unadhani Uganda watapata wapi pesa kufidia kiasi hicho cha pesa walichoahidiwa na World Bank (USA Agency) ili kuendelea na miradi ya afya waliyokwishaipanga?However i still support Museven decision to sign a bill that bans a same sex marriage in Uganda.

....nina hakika kwa zaidi ya 100% wewe siyo mzima kiakili,wewe bado unaishi katika fikra za kupata misaada tena kwa kudhalilisha utu na ubinadamu wako....hebu acha UPUMBAVU,unaandika kwa lugha ya kigeni uonekane una maana kumbe unatema UPUMBAVU...Hebbu ondoa UPUMBAVU HUU ULIOPOST watoto wako na familia yako isije ikaona
 
ikumbukwe kwamba Dr.Mkumbo alipewa laki 2 tu na Zito kuisailiti chama kubwa

Umasikini ni attitude jamani simshangai huyo anayetetea ushoga.... Nikiuliza kuna tofauti gani ya changudoa anayeuza mwili wake kwa justification ya kujikimu yeye na familia yake na nchi itakayo kubali masharti ya wenye pesa ya kukubali ushoga?

Lakini je! Hawapo watu wenye economic status sawa na machangudo na yet hawawezi kubali kuitoa miili yao hata at a gun point?

Mtu kana Dr. Kitila anaashiria kutokuwa na msimamo binafsi hasa anapopata shinikizo la aina fulani; watu wa jinsi hiyo ni hatari sana maana huwezi ku bank on them kwenye tough choices zinazo ambatana na either you live to excel or die to keep your integrity!
 
Ina maana hujui madhara watakayopata Uganda kwa kunyimwa hiyo misaada?You must be one those uninformed Chadema supporters whose decision making is ruled by emotions and not reasoning or rationale.Uganda waliahidiwa kupewa karibu dollar million 90 kwaajili ya mradi wa afya je unadhani Uganda watapata wapi pesa kufidia kiasi hicho cha pesa walichoahidiwa na World Bank (USA Agency) ili kuendelea na miradi ya afya waliyokwishaipanga?However i still support Museven decision to sign a bill that bans a same sex marriage in Uganda.

CHINA🙂
China wanapiga vigelegele katika hii hoja kati ya Wamagharibi na Waafrika. wait and see!
 
ukipewa msaada wakakupelekea moto upande wa pili utakubari??

endapo ni hivyo huyu dr ni hatari kwa familia za tanzania?tupate msimamo wa wanaharakati wa jinsia maana huu ni adhalilishaji wa jinsia zo mbili.tatizo naye anataka kura ya siri
 
CHINA🙂
China wanapiga vigelegele katika hii hoja kati ya Wamagharibi na Waafrika. wait and see!

so hicho alichokijibu mkumbo ni sawa ... na habari za chadema zimetoka wap huku .. !? Tupo Uganda nw... talk about Kinachoendelea Uganda Mr.

Kwa alichojibu Dk... umeona sasa ni Upi Msimamo wake juu ya ushoga kupita kinachoendelea UG. ????
Don panic pleasee wakati unajibu .. !
 
swali hili naomba liinende kwako MPIGA ZEZE ..
 
Last edited by a moderator:
So you mean hiyo haki yakujiamulia mambo Uganda kama nchi haitakiwi kuwa nayo?

Uganda ina haki ya kujiamulia mambo yake, sawa, lakini siyo kujiamulia kunyanyasa watu hovyohovyo. Leo hii Uganda ikidai kwamba watu wa kabila fulani ni duni na hivyo wanapaswa kuangamizwa kutoka kwenye ramani ya Uganda wewe utaona sawa? Utadai kwamba ni sawa tu kwa vile Uganda kama nchi wana haki ya kujiamulia chochote kile wapendacho?

Mashoga nao ni binadamu. Na kwa huo ubinadamu wao tu wanastahili kupewa haki zote za msingi kama binadamu wengine. Wewe kama hupendi ushoga wao achana nao. Fanya yako waache na wao wafanye yao. Kwani kinakuuma nini wao wakiwa mashoga? Inakuhusu nini wewe wao wakiwa mashoga?

Is it that hard for you and your ilk to mind your own business and live your own life and leave others alone so they live their own lives as well? Why you gotta be all up in their business? Good grief!!

Majority of Ugandan hawakubali mashoga maana ni something against their culture,

That culture card is a bunch bunk. Homosexuality has always been there since the history of existence. So don't even go there and act like it is something brand spanking new to Uganda or any other African country, for that matter.

And you talk about the majority, well, what about the minorities and their right to exist in society? We can't all be the same, for god's sake.

Intelligent people always come up with a modus vivendi so that all can live in society despite their differences and ensure that minorities' rights are protected.

is exotic imposed from foreign countries

You are way off base. Way way off base. Homosexuality has always been there in Uganda and everywhere else and you can't pin it to any specific country as to its origins. I suggest you start reading omnivorously so you can expand those horizons because you appear to be somewhat ignorant on the subject.

sasa leo eti hao waliokuwa imposed wapewe haki na wale wa asili wanyimwe;

Soma vitabu. Narudia tena, soma vitabu. Hakuna aliye-impose ugay Afrika. Ulikuwepo tokea enzi na enzi. Hata wanyama (wasio binadamu) nao wana hayo mambo (lakini sitegemei ulijue hilo kwa sababu umeonyesha ujinga tayari. Hivyo unaweza ku-google ili uweze kujifunza zaidi)

ndiyo definition mpya ya democracy?

Kilichofanyika ndo haswa siyo demokrasia maana kwenye demokrasia haki za wachache nazo huheshimiwa . Uganda imepiga hatua nyuma kwenye hilo!!!!!!! Kwenye demokrasia hakuna mambo ya kusema sijui kwa vile wengi tunataka hivi basi wale wachache ambao wako kinyume na nyie wengi mnavyotaka, haki zao ziminywe. Hapana. Demokrasia ya ukweli haiko hivyo hata kidogo. Hata walio wachache nao wana nafasi yao katika jamii.

Mimi nadhani Museven anatakiwa kuwa supported with other African countries kuwa hao World Bank if they want to be called world institution basi hawana haki ya kuwanyima Uganda kwasababu hiyo itakuwa dictation maana majority ya wananchi wamekataa unless kama wao ni representation ya developed countries and so the word World Bank inakosa legitimacy. Kama hivi ndivyo kwanini nchi za Africa zisijiondoe kwenye umoja wa mataifa kuishinikiza hiyo bank kama wanavyowafanyia wao Uganda kwa niaba ya America?

Wewe hujui kabisa maana ya demokrasia. Unadhania tu kwa vile wengi wamekataa jambo basi wale wachache ndo ile kwao, wanyanyaswe, waadhibiwe, waangamizwe, na upuuzi mwingine kama huo.

Hivi kuna ugumu gani kama wewe hupendi jambo fulani kuachana nalo na uwaache wale wanaopenda wajinafasi kwa raha zao?

Tuache uoga waafrika hatuna chakupoteza kama ni shida tunezizoea tutaishi maisha yetu nje ya huu mfumo dhalili. Tungeweza hili wangekuja wenyewe kutuomba na maneno yao yakisanii deplomacy!

Tunachotakiwa kuacha ni kukiuka haki za binadamu. Kwenye hizi nchi zetu uhai wa binadamu hauthaminiwi kabisa. Ona watu wanaotuhumiwa kuwa wezi wanavyouliwa mabarabarani mchana kweupe bila hata due process. Kinachohitajika ni mtu mmoja tu kupiga kelele za mwizi! mwizi! tosha. Iwe umeiba kweli au la watu hawajali hilo. Utapewa kipondo na kuchomwa moto hadi ufe mbele ya kadamnasi na hakuna mtu atakayekamatwa kwa kosa la mauaji.

I mean, hata kama mtu kaiba kweli, tuseme kanyakua pochi ya mtu. Ndo kweli apigwe hadi afe na watu waliojichukulia tu sheria mkononi? Na wewe hilo unaweza ukalitetea kwa kujenga hoja ya eti 'wengi waliamua apigwe hadi afe kwa hiyo ni sawa tu alichofanyiwa'? Hapana kwa kweli.

Kwanza Kitila kaidanganya dunia Museven na waganda hawajaanza leo kupinga ushoga wamelipinga hili kwa muda mrefu na kumekuwa na argument zao kwa muda sasa, tangu 2011 and even before. Atafute documentation kwenye mtandao aone hadi U-tube zipo za Waganda kupinga hilo....

Waganda na demokrasia ni oxymoron. Hawaelewi maana yake. Hilo li-Museveni ni lidikteta na litafia madarakani. Hivyo sishangai sana lilivyosaini hiyo sheria ya kijinga na kandamizi kwa mashoga wa Kiganda ambao usikute nao ni walipa kodi wazuri kabisa.
 
Tatizo la ushoga kwetu Africa ni kwamba watu wanaliangalia kwa jicho la Yule ni mdhambi, mimi ni mtakatifu. Hili jambo linahitaji umakini na hekima. Kusema kuwa shoga auwawe kweli ni kukosa haki za msingi za ubinadamu. Ushoga kama ni dhambi, basi ni dhambi kama ilivyo kuiba, kuua, udikteita na mengineyo. Mbona sijasikia Museveni anasema dikteita auwawe? Haya mambo inabidi tuyaangalie kwa macho mapana sana.
 
Back
Top Bottom