kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
nimemuelewa vizuri. Alitaka M7 asipinge kwa kuwa nae ana mapungufu kama nilivoeleza hapo juu. Jiulize swali; je usa,sweden, danish na netherland walikuwa wanaipa UG misaada ili wasapoti ushoga? Kwa hili kama dr kitila alipewa pesa ili aisambaratishe chadema...Ninaanza kuamini. Ina maana alikubali pesa ya ccm aisambaratishe chadema kwa kuwa viongozi wa chadema wana mapungufu? Mitego kama hii lazma kama wewe ni dr lazma utumie akili ya kuzaliwa na si kulishwa vitamu na vichungu
Hoja za Tundu Lisu kumnanga M7 hazinishangazi hata kidogo kwani yeye ni muumini mzuri wa demokrasia isiyo na mipaka!Ndiyo maana vita yao ni juu ya wahafidhina(CHADEMA) na waliamua kuchagua aina hiyo ya vita ili Mashoga huko nje wawasikie na kuwasapoti kwa kuwaona wao kama wanaoweza kutekeleza sera zao kwa uaminifu.Haya mambo yatadhihirika si muda mrefu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums