Recipient
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 425
- 345
Nimeangalia huyo mwanazuoni alivyojibu hoja kama ilivyoelekezwa kwake na Bw Charles Hilary kuhusu athari za sheria ya ushoga Uganda.
Nikajiuliza umakini wake una kiwango gani kama hata vitu vidogo kama maoni ya kunyimwa misaada yanawezaje kuathiri Nchi hana majibu sahihi!
Halafu ni mhadhiri chuo kikuu DUCE. Muuaji mkubwa wa Vipaji vya watoto wetu