- Kuna wakati, kupanda na kushuka kwenye siasa ni mambo ya kawiada sana unless wewe sio mwanasiasa, Nchimbi is only 41 baada ya kushika nafasi zote za Taifa alizowahi kushika leo kwa mtu unayejua siasa kweli unaweza kusema kwamba he is finished? Please hizi analysis mnazitoa wapi?
- I mean mada imejaa maneno mengi ya kimtaaani taani as if hapa ni mtaani why people? Nchimbi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ni wajbu wake kama waziri kuhakikisha Sheria hazivunjwi, sasa mlitaka afanye nini aruhusu Chadema mvunje Sheria na kuwasumbua wanaanchi wengine kisa siasa zenu za kitoto, Mwinyi mbona alijiuzulu na bado akawa Rais sasa leo itakuwa mtu kichwa kama Nchimbi, wewe kweli in your right mind unaweza ukasema kwamba he is done na National Politics? Hizi siasa mnajifunzia wapi?
- Kwenye Siasa za Taifa ni kawaida kushinda na kushindwa, ndio maana Chadema wapo mpaka leo pamoja na kushindwa kila kitu toika waaanzishe chama chao ni kushindwa tu mpaka leo, karibu Miaka 25 sasa lakini wanakomaaa kwa sababu wanajua kwamba huenda ipo siku, ingawa daliliz zipo wazi kwamba hawatakuja kushika dola never! so watabakia kuwajadili Viongozi wa CCM tu maana wao wamekata tamaa kabisa ndio dalili zenyewe topic kama hizi ni watu waliokubali kushindwa yaishe!!
Le Mutuz

Bila kusahau 'kutiishwa sheria bila shuruti' kwa Marehemu Dk.MvungiBado tunasubiria taarifa ile TUME aliyouna kuhusiana na ukatili wa kuuwawa marehemu David Mwangosi (RIP).
Candid Scope Angalau leo nimepata kusoma historia ya harakati za kisiasa za mkoa wetu wa ruvuma japo kiduchu.mkuu Candid Scope nikusahihishe tu kidogo.tukio la kuhamisha wanakijiji wa kijji cha lituhi au dsm ndogo (wanyasa/wamanda) nakuwapeleka kijiji ambacho kabla lilikuwa pori hakikufanyika wakati wa mwinyi.ilikuwa ni wakati wa jk nyerere.baadhi wa wazee wanatoa sababu moja wapo ni chuki na hofu ya nyerere kwa wanyasa kutokana na mafanikio yao kielimu ndio iliyopelekea kuwatenda vile.ikumbukwe nyakati hizo baadhi ya wanyasa walieolimika vya kutosha walimsumbua sana nyerere.mfano kambona ,askofu yofunan komba et al.nina mengi sana ya kuandika ktk hili.bibi yetu mwenye umri miaka 80 tupo nae hapa dsm.ana hazina ya historia ya wanyasa.acha nikachote madini nije niyamwage hapa.inuama sana tena sana.
- Kuna wakati, kupanda na kushuka kwenye siasa ni mambo ya kawiada sana unless wewe sio mwanasiasa, Nchimbi is only 41 baada ya kushika nafasi zote za Taifa alizowahi kushika leo kwa mtu unayejua siasa kweli unaweza kusema kwamba he is finished? Please hizi analysis mnazitoa wapi?
- I mean mada imejaa maneno mengi ya kimtaaani taani as if hapa ni mtaani why people? Nchimbi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ni wajbu wake kama waziri kuhakikisha Sheria hazivunjwi, sasa mlitaka afanye nini aruhusu Chadema mvunje Sheria na kuwasumbua wanaanchi wengine kisa siasa zenu za kitoto, Mwinyi mbona alijiuzulu na bado akawa Rais sasa leo itakuwa mtu kichwa kama Nchimbi, wewe kweli in your right mind unaweza ukasema kwamba he is done na National Politics? Hizi siasa mnajifunzia wapi?
- Kwenye Siasa za Taifa ni kawaida kushinda na kushindwa, ndio maana Chadema wapo mpaka leo pamoja na kushindwa kila kitu toika waaanzishe chama chao ni kushindwa tu mpaka leo, karibu Miaka 25 sasa lakini wanakomaaa kwa sababu wanajua kwamba huenda ipo siku, ingawa daliliz zipo wazi kwamba hawatakuja kushika dola never! so watabakia kuwajadili Viongozi wa CCM tu maana wao wamekata tamaa kabisa ndio dalili zenyewe topic kama hizi ni watu waliokubali kushindwa yaishe!!
Le Mutuz
Candid Scope Ingawaje umeiandika kijuu juu na kwa haraka bila details, lakini maishani tenda mema ukumbukwe kwa mema.
What goes around comes around!!
Huyu jamaa alisema Tz hamna Waziri kama yeye. Alifoji PHD, alitashiriki mauaji ya tembo, unga etc ili apate hela za kuhonga. Sasa hana balansi , kajeuka upepo.
Kwa kweli nakubaliana na wewe ,lakini utwatendea haki ukiandika kwa ufasaha vituko vya Nchimbi.Ningeandika kwa kina kama ingekuwa mada yangu, hapa niliandika tu harakaharaka kilichonijilia kwenye kumbukumbu zangu kuchangia mada na ni kitu ninachokifahau kwa undani kiasi fulani, walao nimewakumbusha baadhi ambao hawakujua makandokando hayo. Hizi siasa zinatulemaza akili zetu na kujifika masifa na tunachukua hatua ya baadhi ya mambo kwa mamlaka tulizopewa bila kutanguliza ubinadamu lakini fimbo ya Muumba huwezi kuiruka kihunzi. Bora kutulia na kumrudia Muumba atusamehe kwa tuliyotenda.
- Kuna wakati, kupanda na kushuka kwenye siasa ni mambo ya kawiada sana unless wewe sio mwanasiasa, Nchimbi is only 41 baada ya kushika nafasi zote za Taifa alizowahi kushika leo kwa mtu unayejua siasa kweli unaweza kusema kwamba he is finished? Please hizi analysis mnazitoa wapi?
- I mean mada imejaa maneno mengi ya kimtaaani taani as if hapa ni mtaani why people? Nchimbi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ni wajbu wake kama waziri kuhakikisha Sheria hazivunjwi, sasa mlitaka afanye nini aruhusu Chadema mvunje Sheria na kuwasumbua wanaanchi wengine kisa siasa zenu za kitoto, Mwinyi mbona alijiuzulu na bado akawa Rais sasa leo itakuwa mtu kichwa kama Nchimbi, wewe kweli in your right mind unaweza ukasema kwamba he is done na National Politics? Hizi siasa mnajifunzia wapi?
- Kwenye Siasa za Taifa ni kawaida kushinda na kushindwa, ndio maana Chadema wapo mpaka leo pamoja na kushindwa kila kitu toika waaanzishe chama chao ni kushindwa tu mpaka leo, karibu Miaka 25 sasa lakini wanakomaaa kwa sababu wanajua kwamba huenda ipo siku, ingawa daliliz zipo wazi kwamba hawatakuja kushika dola never! so watabakia kuwajadili Viongozi wa CCM tu maana wao wamekata tamaa kabisa ndio dalili zenyewe topic kama hizi ni watu waliokubali kushindwa yaishe!!
Le Mutuz
Kwa kweli nakubaliana na wewe ,lakini utwatendea haki ukiandika kwa ufasaha vituko vya Nchimbi.
Nchimbi ambaye licha ya umbo lake kubwa, ni kijana mdogo sana ambaye ametumia njia za mkato kufika hapo alipo.
Njia hizo za mkato na zisizopendeza katika jamii zinaanza kujionyesha sasa, kama vile kuabudu mizimu na ushirikina.
Kaburini kwa Gama anafuata nini?
Vile vile tetesi za kuhusika na kifo cha Ippy bado zinazagaa mitaani, ambapo bibie mmoja alisevu na kutoa stori nzima.
Jamani hapa duniani tunapita.
Kwanza jaribu kuandika kwa kiwango cha level yako, ulivyoandika ni kama malalamikaji asiyejenga hoja kimantiki wala kuelewa hoja inayojadiliwa.
Hapa kinachojadiliwa ni Nchimbi, Chadema waanhusikaje na Nchimbi kwenye kuzuru kaburi la Gama? Chadema wanahusikaje na kutenguliwa uwaziri Nchimbi?
Unaowalalamikia Chadema ndio waliotengua uwaziri wa Nchimbi?
Kwahivyo na wewe unataka CHADEMA wamsifie Nchimbi kwa lipi? We ndo hujui siasa, unachojua ni kujipitisha pitisha tu.
Kuna vijiji vilivyohamishwa kipindi cha Nyerere, lakini suala hili la kijiji cha Lituhi kipindi cha Nyerere hakikuguswa kwa sababu ilikuwa kituo kikubwa hasa hospitali ambayo ilikuwa tegemeo la mwambao wa Ziwa Nyasa. Unaona pande wa pili wa mto Ruhuhu ambako ni Manda kungali hadi leo hawakuhamishwa, tena Manda ilikuwa makao makuu ya muda ya wilaya ya Ludewa.
Nikuhakikishie kuwa Lituhi ilihamishwa kwa nguvu baadaye na Gama alipokuwa Mkuu wa Mkoa Ruvuma. Kipindi cha operation kuhamia vijiji vya ujamaa Gama hakuwa Mkuu wa Mkoa Ruvuma, huenda alikuwa bado Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.
Nakumbuka malalamiko hayo yalifikishwa kwa Mwinyi. Inawezekana walihamishwa mwishoni mwa awamu ya kwanza maana Gama aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Ruvuma kipindi cha utawala wa shemeji yake Nyerere.
Waulize wazee wa Lituhi watakuhadithia mengi yaliyojilia kipindi hicho.
Kwa post hii hapa umenipa elimu ya bure kwamba sasa Lowasa hakamatiki, maana kwenye siasa hii ndio coming back of Lowasa tena kwa kishindo kikuu.