Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,599
- 109,192
- Sasa ina maana kaka umekata tamaa kabisa na kushika Dola sasa unawalilia watu wa CCM, saafi sana nilidhani utalilia chama chako sasa unamlilia Lowassa saafi sana!!, chezea CCM wewe!!
Le Mutuz
Mkuu sijakata tamaa ila ni Lowasa tu na namuunga mkono kama hupendi saga chupa ubwie. Ni nani alikudanganya mimi ni chadema? Hii ni zamu yetu sasa kaeni chonjo vibaraka wote.