Nchimbi atambika kwenye kaburi la Gama

Nchimbi atambika kwenye kaburi la Gama

Mleta thread,kwa namna ulivyobingwa wa kutunga visa vya uwongo kuhusu maisha ya watu,naamini ungekuwa umeitumia akili hii kuandika andiko la mradi ungekuwa upo mbali kimaisha,punguza juhudi za kuchunguza maisha ya watu,jionee aibu mtoto wa kiume,dr.nchimbi ana maisha yake aliyojaliwa na mungu,pambana juu ya maisha yako pia,mwache mzee gama apumzike kwa amani huko aliko,usiwe jasiri wa kujadili maisha ya marehemu mzazi wa mwenzako,jionee aibu.-achana na hizo siasa taka.jitambue.
 
Baada ya kutemwa uwaziri wa mambo ua ndani mhe. Emmaniel Nchimbi juzi jumamosi alienda kutambikia kwenye kabuli la aliyeliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Gama.

Taarifa za watu waliokuwa kwenye msafara wa Nchimbi zinasema alifika makabulini hapo kuomba msamaha kwa marehemi Gama kwani anaona yanayotokea pengine ni kwa sababu ua ungomvi wake na Gama..walisema ni kama amechanganyikiwa kwani kutoka kwenye mbio za urais sasa hajiamini hata kuupata udiwani kwani hana ushawishi kabisa kwenye jimbo na alikuwa akiliendesha jimbo kwa mtutu wananchi wakigoma analeta polisi wa kutosha leo ni mbunge wa kawaida hana jeuri ya kuagiza polisi atakavyo.

Maoni yangu:
Nchimbi ukimalizana na Gama njoo Arusha uwaombe msamaha watu uliowauwa kanisa la olasti kwa bomu na wale wa soweto..

Malipo humu humu Duniani, Mbona sasa CDM hawana tatizo na Polisi? Huyu jamaa damu ya Mwangosi na Ally Zona pamoja na Mama Joyce na wale watotot waliokufa Olasiti na Soweto inamdai sana.

Hana tena ujanja wa kufurukuta.
 
Malipo ya dhambi ni fedheha. Kama yaliyoandikwa ni kweli, basi anastahili yanayompata.
 
Baada ya kutemwa uwaziri wa mambo ua ndani mhe. Emmaniel Nchimbi juzi jumamosi alienda kutambikia kwenye kabuli la aliyeliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Gama.

Taarifa za watu waliokuwa kwenye msafara wa Nchimbi zinasema alifika makabulini hapo kuomba msamaha kwa marehemi Gama kwani anaona yanayotokea pengine ni kwa sababu ua ungomvi wake na Gama..walisema ni kama amechanganyikiwa kwani kutoka kwenye mbio za urais sasa hajiamini hata kuupata udiwani kwani hana ushawishi kabisa kwenye jimbo na alikuwa akiliendesha jimbo kwa mtutu wananchi wakigoma analeta polisi wa kutosha leo ni mbunge wa kawaida hana jeuri ya kuagiza polisi atakavyo.

Maoni yangu:
Nchimbi ukimalizana na Gama njoo Arusha uwaombe msamaha watu uliowauwa kanisa la olasti kwa bomu na wale wa soweto..

Kawaida ya viongozi wetu wa Tanzania kutuona sisi wajinga na wapuuzi pindi tunapowapa nafasi za kutuongoza na mara zote wanataka tufuate yale wanayotaka wao. Hutuona wajnga wa kutupa na huhitaji hata tuwaabudu wao ili tufanikiwe mambo yetu. Na tabia hii ndiyo hutufanya tuienzi rushwa maana baadaye atahitaji kurudi kwenye utawala na hawezi kukubalika kwa urahisi.

Tendo hili sasa huwafanya watumie mbinu chafu za rushwa na ushawishi wa aina zote ambazo wanazijua. Umasikini wa wa-Tz unawafanya warejee uongozi waliokuwa nao na hivyo huanza kazi ya kurejesha walichotumia katika kusaka madaraka.

Hata hivyo hali ikichacha tu, hupata shid sana maana hana hata jirani wa kuongea naye kwani awali alikuwa daraja tofauti na alijitenga na jamii ya awali....MAISHA YA KINAFIKI
 
Baada ya kutemwa uwaziri wa mambo ua ndani mhe. Emmaniel Nchimbi juzi jumamosi alienda kutambikia kwenye kabuli la aliyeliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Gama.

Taarifa za watu waliokuwa kwenye msafara wa Nchimbi zinasema alifika makabulini hapo kuomba msamaha kwa marehemi Gama kwani anaona yanayotokea pengine ni kwa sababu ua ungomvi wake na Gama..walisema ni kama amechanganyikiwa kwani kutoka kwenye mbio za urais sasa hajiamini hata kuupata udiwani kwani hana ushawishi kabisa kwenye jimbo na alikuwa akiliendesha jimbo kwa mtutu wananchi wakigoma analeta polisi wa kutosha leo ni mbunge wa kawaida hana jeuri ya kuagiza polisi atakavyo.

Maoni yangu:
Nchimbi ukimalizana na Gama njoo Arusha uwaombe msamaha watu uliowauwa kanisa la olasti kwa bomu na wale wa soweto..
Sio wale wa Kanisani tu! Atafute makaburi ya wote alio ua Arusha, Moro, Songea, kaburi la Mwangosi, na mengine mengi akawaimbe msamaha. Pia aombe kitubio kwa Mungu ili apate msamaha qa kweli.
 
Baada ya kutemwa uwaziri wa mambo ua ndani mhe. Emmaniel Nchimbi juzi jumamosi alienda kutambikia kwenye kabuli la aliyeliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Gama.

Taarifa za watu waliokuwa kwenye msafara wa Nchimbi zinasema alifika makabulini hapo kuomba msamaha kwa marehemi Gama kwani anaona yanayotokea pengine ni kwa sababu ua ungomvi wake na Gama..walisema ni kama amechanganyikiwa kwani kutoka kwenye mbio za urais sasa hajiamini hata kuupata udiwani kwani hana ushawishi kabisa kwenye jimbo na alikuwa akiliendesha jimbo kwa mtutu wananchi wakigoma analeta polisi wa kutosha leo ni mbunge wa kawaida hana jeuri ya kuagiza polisi atakavyo.

Maoni yangu:
Nchimbi ukimalizana na Gama njoo Arusha uwaombe msamaha watu uliowauwa kanisa la olasti kwa bomu na wale wa soweto..

majuzi nilimuona pale serena amepoteza confo kabisa anatofauti na man u funs
 
- Kuna wakati huwa ninashindwa kuamini kwamba JF imeshuka this low, kupanda na kushuka kwenye siasa ni mambo ya kawiada sana unless wewe sio mwanasiasa, Nchimbi is only 41 baada ya kushika nafasi zote za Taifa alizowahi kushika leo kwa mtu unayejua siasa kweli unaweza kusema kwamba he is finished? Please hizi analysis mnazitoa wapi?

- I mean mada imejaa maneno mengi ya kimtaaani taani as if hapa ni mtaani why people? Nchimbi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ni wajbu wake kama waziri kuhakikisha Sheria hazivunjwi, sasa mlitaka afanye nini aruhusu Chadema mvunje Sheria na kuwasumbua wanaanchi wengine kisa siasa zenu za kitoto, Mwinyi mbona alijiuzulu na bado akawa Rais sasa leo itakuwa mtu kichwa kama Nchimbi, wewe kweli in your right mind unaweza ukasema kwamba he is done na National Politics? Hizi siasa mnajifunzia wapi?

- Kwenye Siasa za Taifa ni kawaida kushinda na kushindwa, ndio maana Chadema wapo mpaka leo pamoja na kushindwa kila kitu toika waaanzishe chama chao ni kushindwa tu mpaka leo, karibu Miaka 25 sasa lakini wanakomaaa kwa sababu wanajua kwamba huenda ipo siku, ingawa daliliz zipo wazi kwamba hawatakuja kushika dola never! so watabakia kuwajadili Viongozi wa CCM tu maana wao wamekata tamaa kabisa ndio dalili zenyewe topic kama hizi ni watu waliokubali kushindwa yaishe!!

Le Mutuz

Nchimbi siyo mtu mzuri kwako wewe na familia yako, rudisha kumbukumbu nyuma ya miaka 10 iliyopita.

Ni kweli Mkuu, mfano wa uliyoyasema haupo mbali. Ukianzia hapo hapo ulipo, Tingatinga, Jumanne Mlamchele, alipopigwa dafrau na Mt. JK Nyerere, pamoja na hongo yake ya kubadili dini, akagombea Urais mara mbili na akashinda mara zote! Tehe tehe! Kweli JF raha!!
 
Mfikishieni ujumbe mimi nasafisha nyota!! - Nyota yake imefifia sana kwa sasa - watu wameishezea hapo wizarani alipokuwa.
 
Duh, kumbe nchi hii ina mambo mengi sn jamani. Lkn wacheni wafu wawazike wafu wenzao. Napita jamani.
 
Ama kweli mwisho wa ubaya ni aibu.!
 
Hivi Le Mtuz huwa akili yake iko sawa lkn jamani, maana mm huwa simwelewi kabisa huyu jamaa. Nawasilisha jamani.
 
Huyu mzee sidhani kama ana muda mrefu hapa duniani..kwani anaweweseka tu maximum!! Hajui huku chini watu dhaifu ndio tumekuwa hatuna mbele wala nyuma wakati yeye ndio chanzo cha haya yote...Life is harder!!
 
- Kuna wakati, kupanda na kushuka kwenye siasa ni mambo ya kawiada sana unless wewe sio mwanasiasa, Nchimbi is only 41 baada ya kushika nafasi zote za Taifa alizowahi kushika leo kwa mtu unayejua siasa kweli unaweza kusema kwamba he is finished? Please hizi analysis mnazitoa wapi?

- I mean mada imejaa maneno mengi ya kimtaaani taani as if hapa ni mtaani why people? Nchimbi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ni wajbu wake kama waziri kuhakikisha Sheria hazivunjwi, sasa mlitaka afanye nini aruhusu Chadema mvunje Sheria na kuwasumbua wanaanchi wengine kisa siasa zenu za kitoto, Mwinyi mbona alijiuzulu na bado akawa Rais sasa leo itakuwa mtu kichwa kama Nchimbi, wewe kweli in your right mind unaweza ukasema kwamba he is done na National Politics? Hizi siasa mnajifunzia wapi?

- Kwenye Siasa za Taifa ni kawaida kushinda na kushindwa, ndio maana Chadema wapo mpaka leo pamoja na kushindwa kila kitu toika waaanzishe chama chao ni kushindwa tu mpaka leo, karibu Miaka 25 sasa lakini wanakomaaa kwa sababu wanajua kwamba huenda ipo siku, ingawa daliliz zipo wazi kwamba hawatakuja kushika dola never! so watabakia kuwajadili Viongozi wa CCM tu maana wao wamekata tamaa kabisa ndio dalili zenyewe topic kama hizi ni watu waliokubali kushindwa yaishe!!

Le Mutuz

Very poor analysis based on political ideology rather than on reality!
 
Nalilia damu za watanzania wasiokuwa na hatia waliokatishwa uhai wao chini ya huyu katili,Mwangosi,mabomu ya arusha,Dr Mvungi na wengineo,hakika laana hii haitamuacha kamwe.
 
Yaliyompata Nchimbi Ni fundisho kwa wengine kwani alidharau waliomuweka walikuwa kila wakiomba waonane
Naye hataki

sasa unataka nini tena nenda mbeya ulikohamia
 
Back
Top Bottom