Nchimbi atambika kwenye kaburi la Gama

Nchimbi atambika kwenye kaburi la Gama

Nchimbi Songea ahawahi shinda mgombea wa CHADEMA anauzaga ushindi ni chadema kujipanga na kusimamisha mgombea makini tu nchimbi hsna chake songea mjini
 
Bado tunasubiria taarifa ile TUME aliyouna kuhusiana na ukatili wa kuuwawa marehemu David Mwangosi (RIP).
 
Candid Scope Angalau leo nimepata kusoma historia ya harakati za kisiasa za mkoa wetu wa ruvuma japo kiduchu.mkuu Candid Scope nikusahihishe tu kidogo.tukio la kuhamisha wanakijiji wa kijji cha lituhi au dsm ndogo (wanyasa/wamanda) nakuwapeleka kijiji ambacho kabla lilikuwa pori hakikufanyika wakati wa mwinyi.ilikuwa ni wakati wa jk nyerere.baadhi wa wazee wanatoa sababu moja wapo ni chuki na hofu ya nyerere kwa wanyasa kutokana na mafanikio yao kielimu ndio iliyopelekea kuwatenda vile.ikumbukwe nyakati hizo baadhi ya wanyasa walieolimika vya kutosha walimsumbua sana nyerere.mfano kambona ,askofu yofunan komba et al.nina mengi sana ya kuandika ktk hili.bibi yetu mwenye umri miaka 80 tupo nae hapa dsm.ana hazina ya historia ya wanyasa.acha nikachote madini nije niyamwage hapa.inuama sana tena sana.
 
Last edited by a moderator:
mkuu usiogope ni typing errors tu ambazo ni kawaida kwa kila binadamu....au wewe mwenzetu uko safi kabisa hukoseagi lolote?
Taarifa hii mimi sijaielewa kabisa, hasa hayo maneno niliyoyawekea rangi nyekundu.
 
mkuu usiogope ni typing errors tu ambazo ni kawaida kwa kila binadamu....au wewe mwenzetu uko safi kabisa hukoseagi lolote?

Ukiona hivyo ujue kakosa cha kukosoa.
 
Baada ya kutemwa uwaziri wa mambo ua ndani mhe. Emmaniel Nchimbi juzi jumamosi alienda kutambikia kwenye kabuli la aliyeliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Gama
Taarifa za watu waliokuwa kwenye msafara wa Nchimbi zinasema alifika makabulini hapo kuomba msamaha kwa marehemi Gama kwani anaona yanayotokea pengine ni kwadababu ua ungomvi wake na Gama..walisema ni kama amechanganyikiwa kwani kutoka kwenye mbio za urais sasa hajiamini hata kuupata udiwani kwani hana ushawi kabisa kwenye jimbo na alikuwa akiliendesha jimbo kwa mtutu wananchi wakigoma analeta polisi wa kutosha leo ni mbunge wa kawaida hana jeuri ya kuagiza polisi atakavyo.

Maoni yangu:
Nchimbi ukimalizana na Gama njoo Arusha uwaombe msamaha watu uliowauwa kanisa la olasti kwa bomu na wale wa soweto..

- Kuna wakati, kupanda na kushuka kwenye siasa ni mambo ya kawiada sana unless wewe sio mwanasiasa, Nchimbi is only 41 baada ya kushika nafasi zote za Taifa alizowahi kushika leo kwa mtu unayejua siasa kweli unaweza kusema kwamba he is finished? Please hizi analysis mnazitoa wapi?

- I mean mada imejaa maneno mengi ya kimtaaani taani as if hapa ni mtaani why people? Nchimbi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ni wajbu wake kama waziri kuhakikisha Sheria hazivunjwi, sasa mlitaka afanye nini aruhusu Chadema mvunje Sheria na kuwasumbua wanaanchi wengine kisa siasa zenu za kitoto, Mwinyi mbona alijiuzulu na bado akawa Rais sasa leo itakuwa mtu kichwa kama Nchimbi, wewe kweli in your right mind unaweza ukasema kwamba he is done na National Politics? Hizi siasa mnajifunzia wapi?

- Kwenye Siasa za Taifa ni kawaida kushinda na kushindwa, ndio maana Chadema wapo mpaka leo pamoja na kushindwa kila kitu toika waaanzishe chama chao ni kushindwa tu mpaka leo, karibu Miaka 25 sasa lakini wanakomaaa kwa sababu wanajua kwamba huenda ipo siku, ingawa daliliz zipo wazi kwamba hawatakuja kushika dola never! so watabakia kuwajadili Viongozi wa CCM tu maana wao wamekata tamaa kabisa ndio dalili zenyewe topic kama hizi ni watu waliokubali kushindwa yaishe!!

Le Mutuz
 
Damu zilizomwagika Arusha zinaanza kuwafanyizia mdogo mdogo!!
 
Huyo Nchimbi amepotea maboya. Nafuu angeenda kwenye kaburi la Mwangosi na kumalizia kwenye kaburi la Dr Mvungi!

Watu hawajui madhara ya damu haswa ya binadamu.Ni mabaya mno hata kwa vizazi vyake vijavyo.Watu wanaona rahisi kuua au kumwaga damu kwa ajili ya vyeo au kisingizio cha amani damu itawatesa mpaka watashangaa na hawatakuwa na amani hata kama wana vyeo vikubwa!!Namsikitikia huyu kijana bado ni mdogo na ameanza kuona maruweruwe ya damu mapema mno.Na matambiko hayatamsaidia bora akatubu kwa wahusika na kwa mwenyenzi Mungu.
 
Vile vile damu ya Mwangosi itamwandama adi siku anaenda kaburin!
 
Baada ya kutemwa uwaziri wa mambo ua ndani mhe. Emmaniel Nchimbi juzi jumamosi alienda kutambikia kwenye kabuli la aliyeliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Gama
Taarifa za watu waliokuwa kwenye msafara wa Nchimbi zinasema alifika makabulini hapo kuomba msamaha kwa marehemi Gama kwani anaona yanayotokea pengine ni kwadababu ua ungomvi wake na Gama..walisema ni kama amechanganyikiwa kwani kutoka kwenye mbio za urais sasa hajiamini hata kuupata udiwani kwani hana ushawi kabisa kwenye jimbo na alikuwa akiliendesha jimbo kwa mtutu wananchi wakigoma analeta polisi wa kutosha leo ni mbunge wa kawaida hana jeuri ya kuagiza polisi atakavyo.

Maoni yangu:
Nchimbi ukimalizana na Gama njoo Arusha uwaombe msamaha watu uliowauwa kanisa la olasti kwa bomu na wale wa soweto..
Watu wanaopata madaraka kwa nguvu za ushirikina utawajua tu kwa mambo yao.
Sasa mtoa mada hebu ulizia kama alipoenda kutambika, alimkuta Mzee Gama pale kaburini, au mzuka wake?
 
ni kweli mkuu, na inasadikika kama Chadema wataweka mgombea ubunge makini wa CHADEMA mwaka 2015 jimbo linaweza kwenda upinzani...
nkongu ndasu naona ninyi Tume ya uchaguzi tayari mna matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, tayari manafahamu chama tawala kita kipi na kipi kitakuwa upande wa upinzani........wapiga kura wakikataka msome matokeo halisi ya kura watakazopiga mtafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Candid Scope Ingawaje umeiandika kijuu juu na kwa haraka bila details, lakini maishani tenda mema ukumbukwe kwa mema.
What goes around comes around!!
 
Last edited by a moderator:
W. J. Malecela Ha ha ha...Duh what a great analysis! Kweli CCM ina hazina.Umetoa hoja nzito sana mkuu maana hawa CHADEMA bila kuwafundisha siasa kwa hoja nzito namna hii watasumbua sana wananchi.

NB:Namsikitikia Mwinyi ulivyomdhalilisha hapo kwamba yeye ni duni na bogus alishinda sembuse ....
 
Last edited by a moderator:
MWENYEZI MUNGU tunakuomba utusaidie sana waja wako , DAMU YA MWANGOSI IWE NI KAMA MAJI YA KUSAFISHIA UOZO KATIKA NCHI HII .
 
Ha ha ha...Duh what a great analysis! Kweli CCM ina hazina.Umetoa hoja nzito sana mkuu maana hawa CHADEMA bila kuwafundisha siasa kwa hoja nzito namna hii watasumbua sana wananchi.

NB:Namsikitikia Mwinyi ulivyomdhalilisha hapo kwamba yeye ni duni na bogus alishinda sembuse ....

- Kaka kwema lakini ndugu yangu? Ukiwa mjini hapa pitia hapa Hifadhi House karibu na Sanamu nipo ofisi yangu ipo gorofa ya Tisa, long time hatujaonana mkuu sana karibu sana sipo mbali sana na Bilicanas.

Le Mutuz
 
Nchimbi ni mengi ya kumsibu, hata kile kifo cha Mwangosi alihusika sana, hasa kwa ule mtindo wao wa kutoa taarifa za uongo.
mengine ni: Bomu Arusha,

kwa mtaji huu, taarifa zimfikie Saidi mwema.

Malipo ni hapa hapa.....
 
Wakati wa kura za maoni huyu jamaa si alichukua wajumbe waliokuwa wanajulikana kumuunga mkono Gama, akajifanya kwenda kupiga kampeni kwao, akawafungia ndani kwa kufuli hadi upigaji kura ukaisha...

Watu wanadhani wataishi milele...
Haka kajamaa macho kumchuzi mafioso sana. Sasa watu kama hawa ndio wanataka urais wa tanzania!
 
Back
Top Bottom