Nchi za kikristu zina nini kwani

Nchi za kikristu zina nini kwani

Status
Not open for further replies.
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Nchi za kikristu?Kuna kitu unakosea na wala hukijui.Pole sana.
 
Maeneo yanayoongoza kwa tabia hizi chafu Tanzania ni Pwani na Zanzibar.
Na hata nchi jirani ni Mombasa.
Ninajiuliza ni kwa nini hawa watu wanaongoza kuleta ufirauni halafu leo wanakuja kupambana na watu wasio jua haya mambo kwa jina la dini?

Jiulize mikoa yenye wakristo wengi iwapo mambo haya utayasikia!!
 
Kwanza una chuki tu na roho mbaya , unajifanya huyaoni kwani , wewe ni mufilisi wa fikra na mawazo na unajitia hamnazo , sheria hzo za ushoga zipo magharabi na huo ndio ukweli ila pia usisahau makao makuu ya ukristo yapo huko huko
Nchi ndio makao makuu ya Ukristo.
 
Ushoga ni tabia na sio asilia, uasilia wanaulazimishia tu
 
Mpira ndio dini mpya ya SAsa,Eneo la kijani Uwanjani ndio madhabau ya ibada mpangilio mzima wa pitch ya kuchezea mpira imejaa mpangilio wa kishetan mtupu.Mpira ndie mungu anaeabudiwa, watazamaji ndio waumini, refa ndie mwendesha ibada, wafadhiri ndio wazee wa kanisa, malanzi men ndio Wahudumu wa kanisa, uwanja ndio kanisa, viingilio ndio sadaka, kombe ndio taji la heshima kwa washindi.
 
Hata Zenj mashoga,mabasha wapo kibao,
Ila wazee wa kanzu wanajilia kimya kimya,
Tuanzie hapa,nchi za kikristo,Zina uhuru sana,wao Swala la ushoga,usagaji,ni haki ya kila mtu,sasa kwa sababu wazungu ndio wenye uchumi mkubwa duniani,wanaona lazima walazimishe Dunia ifate wanavyotaka,ukigoma,hakuna msaada!!na wanalazimisha nchi maskini za Afrika,huwezi kusikia wameenda China kulazimisha huo utamaduni,maana china inajitegemea,
Ww una matatizo
 
Ukiniuliza nchi za kikristo zilipo nitakujibu ni hukohuko Asia,sisi wengine tumeiga tu ikiwemo huko magharibi
 
Nchi ndio makao makuu ya Ukristo.
Kwahyo mkuu una kataa kuwa Vatican siyo makao makuu ya ukristo?, na papa siyo kiongozi mkuu wa ukristo ?, na kwahyo unakataa kuwa Vatican haipo ulaya (magharibi) ?
 
Kwani vatican ndio msemaji wa Wakristo wote.
Ukatoliki ni sehemu tu ya Ukristo
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
"Nchi za Kikristu" Hakika huu ni msamiati mpya kwangu, mleta mada unaweza kututajiw nchi Tano unazodai kuwa ni za Kikristu. Binafsi naona Uislamu na ushoga ni chanda na pete ndiyo maana vitendo vya kulana tigo vimetamalaki katika nchi za kiislamu, na hata hapa kwetu vitendo hivyo vinapatikana zaidi mikoa ya pwani ambapo Uislamu umetamalaki

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kwani vatican ndio msemaji wa Wakristo wote.
Ukatoliki ni sehemu tu ya Ukristo
Umeona sasa hapo ndipo munapokosea sana na uislamu unashinda kweupeee, sasa kumbe Vatican si lolote ktk ukristo lakini je hili mwa watangazia waaumini wenu wazi wazi?, na hili la ukatoloki ni kaji sehemu tu ktk ukristo yaani hauja kamilika , waambie watu tena kwa sauti ili waelewe na papa syo kiongozi wa ukristo , sasa hebu tupe mafundisho ukristo wa kweli upo wapi?, na nani kiongozi wao ?, tafadhali
 
Kama kuandika tu ni kazi kuelewa itakua rahisi?
 
We we ndo ufatilii kama hawapingi,
Kama kweli wana pinga basi thibitisha hapa hapa , yaani unataka kunambia ukiwa. ITALY au ukiwa ISRAEL jinsia moja yaani mwanaume na mwanaume kuingiliana ni kosa la kisheria tena unapewa ajabu au kufungwa , thibitsha hapa , acha uongo bibilia imekataa uongo na hutokua huru dunia na huko ukifa
 
Si kosa la kisheria bali la kidini, sheria za Kikristo haziongozi nchi hizo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom