Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Video ya Makonda na wale polisi wana ccm ni AIBU KUBWA SANA KWA NCHI HII ITAKAYODUMU MILELE
Ni failure wenzake hao,wengi wao walinunua vyeti na walio baki ni dvn 4 ya 30 mpka 33 .na aliyekua wanamwagia soda aliondoka na zero iyo form 4!!!! Sasa mtu mweny chet cha kununua kwa nn asifanye kaz ya dhuluma ili abaki salama?
 
Wewe ni jambazi na nyumbani mwako ni jela milele walahi!
Unacho waza ndio utakachopata mfungwa wewe walahi!
Na nikifikiria mkuu alivyosema kua wafungwa wafanye kaz usku na mchana ndo napata hofu,,ila kuna sehem mtu inafkaga anasema liwalo na liwe kwa kwel
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Kama ni hivyo natamani NATO ije ifanye ilivyofanya Libya.
 
Mkuu hongeraa kwa kujua tulipotoka,tulipo na tunakoelekea.....hayo uliyosema ni kweli kabisa sasa naongezea tu CCM imeharibu sana nchi hii kwa sasa senior officers wote wanaochaguliwa JWTZ ni makada wa ccm, TISS wotee ni vijana kutoka uvccm, hao wakurugenzi wote wa TISS ni CCM, ukija magereza hivyo hivyo, sasa hakuna mkuu yoyote ktk vyombo vya usalama ambaye yupo kizalendo wote ni uchama na ukada!!

Kwani uasi mara nyingi unaanzia wapi??
 
Mkuu hongeraa kwa kujua tulipotoka,tulipo na tunakoelekea.....hayo uliyosema ni kweli kabisa sasa naongezea tu CCM imeharibu sana nchi hii kwa sasa senior officers wote wanaochaguliwa JWTZ ni makada wa ccm, TISS wotee ni vijana kutoka uvccm, hao wakurugenzi wote wa TISS ni CCM, ukija magereza hivyo hivyo, sasa hakuna mkuu yoyote ktk vyombo vya usalama ambaye yupo kizalendo wote ni uchama na ukada!!
Thibitisha kwa mifano kuntu
 
Magufuli ni wakala wa shetani ,alitumwa na Lucifa kuivuruga Tanzania ktk kikao alichokaa Lucifa,na wasaidizi wake wakuu 6/6/2006 Saa 6:6:6 na walikuwa sita ktk kikao kizito huko kuzimu.
"Tumtume nani akaivuruge Tanzania?"
Lucifa aliyauliza mapepo yaliyokuwa yamemzunguka.
"Kuna binadamu anaitwa Magufuli huyu anafaa kuivuruga Tanzania, tulimwandaa tangu angali mtoto".
Kuu la mapepo lilimjibu Lucifa.
Mipango ikafanyika,mapepo 66 yakatumwa toka kuzimu na kuivaa kamati ya CCM Lowassa akakatwa jina,mapepo 60 yakarudi kuzimu na 6 yakabaki na kumvaa Magufuli, ndo mapepo hayo yanaongoza Tanzania hadi sasa hivi lengo ni kumwaga damu.
Mwenye masikio na asikie maneno haya.
Amina.
Bado hujatoa povu,toa hasa mpaka ujinyee ikibidi
 
Nilikuwa nikisikia waasi nchi jirani nikawadharau sana kuwaona watu wa ajabu,nimenza kupata somo halisi live chanzo na sababu za uasi.Shetani alivyo anazidi kuwapa roho ngumu,kibri kufanya dhuluma jambo la wazi na kawaida!Uhakika sio mbali watavuna wanachopanda.
Nauchukia mno utawala huu, na ninaahidi kulipiza kisasi, ikishindikana sasa hata kwa vizazi vyao.LAZIMA nilipe udhalimu huu.
 
Mi choko utaijua. Hivi mwenye akili timamu anaweza kuwaza na kuandika hivi. Ki uhalisia huyu ni shoga.
Lugha hizi za nyuma ya keyboards ni za kawaida kabisa ,endelea kumuinamia Makengeza ajaze vizuri,bado haujagota,papara ya nini?
 
Stop your nonsense ! Usipime akili za watu humu JF ! People think greater than your....whatever !
Usitupangie cha kufikiri. Acha tuwaze na kweli itatamalaki.(ukiona kiza kinazidi jua mapambazuko yanakaribia). Time 'll tell.
 
Mimi huwa naotaga
Najiotesha kuwa sniper,
Natungua mtu kwa mbali,
Alaf napita tunnel kwa tunnel,
Mpaka baharini;navaa suit kuogelea.
Itakua unaangalia sana muvi lakini huwezi kua sniper kiukwelikweli kwasababu unajiotesha
 
Back
Top Bottom