Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Mnaoshabikia uasi na vurugu mna hamu ya kubaka na kubakiwa ndugu zenu wa kike bila sheria kuchukua mkondo wake. Vita si lelemama kama mtoa mada anavyojaribu kueleza. Omba sana usije ukaishi katika nchi isiyo na utawala wa sheria.
kwani sasa hakuna wake za watu wanaochukuliwa?
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Kwa hiyo hao mabeberu na NATO wamekufa na kwamba kwa Tanzania haiwezekani.
 
Hawa watawala wamekusudiwa kuanguka kwa aibu, ndiyo sababu wanafanya wizi wa kura wa mchana kweupe kisha wanawaimbisha askari juu ya 'kunyakua'
kura za wananchi. Kwa ukichaa wao wanaamini makopo wanayookota Ni dhahabu!!!!
 
hii ilikuwa tabia ya Gaddafi kupambana nawapinzani, siku walipomkamata walimfanyia hadhalani
Huelewi wewe, ghadafi kaondolewa na mabepari wa ulaya na marekani, na hadi sasa walibya wana wish angelikuwepo ghadafi.
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Acha kukariri mambo.
 
MTOA MADA HEBU JARIBU UONE .... UTAJUA NI KWANINI BIRINGANYA HAIWEKWI KWENYE KACHUMBARI
Kwa akili yako pungufu unadhani hilini suala la mtoa mada kujaribu, hill linawahusu wenye ubongo mkubwa kutafakari kwa kina kile kinachoendelea nchini mwetu na matokeo yake ya baadaye. Hata Makaburu walijiaminisha kuishi kwa mtutu, lakini mwisho demokrasia ilishinda.
 
Uwezo huo anao? Hayo ni mambo ya nyuma ya keyboad tu , kama dada yao wa taifa.



😀😀😀😀😀😀😀😀😀 TAIFA HILI HAKUNA MWENYE JEURI YA KUGOMA WALA KUANDAMANA .... ... WAJARIBU WAONE VYOMBO VYAULINZI HAVITALALA
 
Huelewi wewe, ghadafi kaondolewa na mabepari wa ulaya na marekani, na hadi sasa walibya wana wish angelikuwepo ghadafi.
Tatizo wanakaririshwa , na hawajishughulishi na kufanya hata utafiti kidogo
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 TAIFA HILI HAKUNA MWENYE JEURI YA KUGOMA WALA KUANDAMANA .... ... WAJARIBU WAONE VYOMBO VYAULINZI HAVITALALA
Misingi ya nchi hii, hata hawaijui , wanakariri na kudanganyana tu hao.
 
Kwa akili yako pungufu unadhani hilini suala la mtoa mada kujaribu, hill linawahusu wenye ubongo mkubwa kutafakari kwa kina kile kinachoendelea nchini mwetu na matokeo yake ya baadaye. Hata Makaburu walijiaminisha kuishi kwa mtutu, lakini mwisho demokrasia ilishinda.


MIMI NILIJUA MTOA MADA LABDA ATACHUKUA HATUA .. KAMA WAHUSIKA WAJITAFAKARI SAWA WALISHATAFAKARI TANGU MWANZO


NB/ KAMA UNAONA NCHI IMEKUSHINDA TAFUTA MAHALI PENGINE UISHI ACHA MSITUSUMBUE AMANI YETU BHANA
 
kkkkkk !
na akiondoka pombe anakaa bashite badae mnyeti a k a mhonga kodi..
badae jerry akifuatiwa na steve nyenyere kabla ya wema thepetu kuchukua mikoba..
ndugu utakuwa hujafa tu hadi hapo ?
 
Wenzako walijaribu wakaishia kuasiwa, hebu na wewe jaribu bahati yako, mapori ni mengi Sana
a70b247f6cc5405442d9ccd7c8b4e950.gif

Makomandoo wetu hata hao wamarekani hawawawezi
 
Back
Top Bottom