Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Mi choko utaijua. Hivi mwenye akili timamu anaweza kuwaza na kuandika hivi. Ki uhalisia huyu ni shoga.
Bro kweli hivi unaweza kuipigania nchi yako kwa majibu haya ?

Hivi bro unahisi umetumia akili kuandika hayo ?
 
Upo sawa kabisa, shida vijana wengi wa leo vipao mbele vyetu ni hamisa mobeto na voice note za mganga au gigiy money na mo jay au dogo janja na airine uwoya, mambo ya siasa tunasema hayatuhusu!!

Ilimradi tuna vicomputer tunaweka nyimbo kwenye simu tupate bando lakusoma udaku na tumeruhusiwa kuchuuza bidhaa bila kulipa kodi kwa kuzitandika mpaka ofisi ya mkuuwa wilaya mengine hayatuhusu!!

Sasa hayo ya siasa usituambie we tuambie habari za kuvaa vijinzi vinaitwa kamatia chini, na mambo ya vikuku na nk!!!

Ilimradi tumeamka asubui tunapata hela yakula, basi inatosha!!! Uo uasi kaaanao, utakuwa wewe peke yako, naivi tumemaliza form four na zero zero hatuitaji hayo mambo!!!

Hiiinchi kati ya watu milioni 50 wenye uelewa ni milion 5 usitegemee unacho fikiri!!
Usitu under rate hivyo, hayo mawazo ndo aliyonayo jiwe na vikaragosi wake.
 
Siku Jeshi au polisi likichukua nchi na kukamata miccm yote.Watu wote wataimba Haleyuya!ni siku tuliyoisubiri kwa hamu.mpaka sasa Jeshi ndo pekee linaloweza juiokoa Anguko hili nje na hapo.Tuonane paradiso baada ya kufa.Huko ndiko tutapumzika milele hatutasikia ccm wala jiwe wala polisi tutaimba HALELUYA.
 
Wanatulazimisha tuharibu nchi na umoja wa taifa letu.Mimi sasa rasmi namuomba Mungu awape majanga makubwa viongozi na wafuasi wao kwa udhalimu huu Kuua democrasia na umoja wa taifa letu.
Amin mkuu.
 
mkuu umewaza kwa fikra huru na umevuka upeo wa kawaida wa fikra.. mawazo yako yamejaa ukweli mtupu... nakwambia hata Gaddafi hakuijua nguvu ya umma kabla pamoja na jeshi na polisi kumuunga mkono unaambiwa hakupata pa kutorokea japo alipewa visting offer ya kwenda uhamishoni na marafiki zake. nakuahidi TUTAWANYAKUA TU.
Umeandika kwa ujasiri ,mkubwa.
 
Kuna mshikaji wangu long time before hata JPM hajawa Rais.Huu ulikuwa wakati wa Kikwete.Wakati tunapiga stori za Tanzania na hali ya nchi yetu,nilishangaa akiniambia kama kuna mtu ataanzisha kundi la waasi ambalo litakuwa na vifaa vya kisasa vya kivita basi atajiunga nao hata leo.

Watu wengi wapo very frastruated na maisha ya sasa.Hakuna ajira.Sekta binafsi inaminywa.Demokrasia haina nafasi.Uchumi unadolola.Vyombo vya habari vinaminywa.

Njia pekee ni watanzania kuamua kuingia msituni tu.
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Nafanyaje kwa mpinzani asiyeaminika na niliyempigia kura na kumlindia kura kesho yake ananunuliwa na chama chake kinatubu hadharani kuwa kilituteulia mgombea mnunuliwaji? Umakini wa chama husika uko wapi?

Nafanyaje kwa upinzani ndumila kuwili na kigeu geu? jana kilimuita mtu fisadi hadhalani na kesho yake kinamteu kuwa mgombea wake?

Nafanyaje kwa wapinzani usioaminiana wao kwa wao na kutuhumiana kununuliwa na chama flani, je? wakipewa nchi hawawezi kuuza nchi kama wao wanavyojiuza?

Nafanyaje kuepukana na uongonzi wa vyama pinzani wenye wenyeviti wa kudumu au wa maisha?
Je kuna uwezekano wa kupata mawazo mapya kutoka kwa wenyeviti hawa wa upinzani? Na kwanini hawaruhusu mawazo mapya na fikra mpya kuongoza?

Je vyama pinzani ni kampuni binafsi za watu na sisi makapuku watanzania tunatumika kuwatengenezea ruzuku?

Kwa kweli napenda upinzani wenye tija na sio huu wa sasa wenye kuacha maswali mengi bila majibu, au wenye majibu mepesi na kukimbia hoja mtambuka.

Ni kweli chama kiongozi kina mapungufu yake tena mengi tu, lakini huwezi tumia mapungufu ya mwenzio kuhalalisha uzembe wa upinzani. Maana upinzani unatakiwa uwe unafanya mambo bora zaidi ili hata ukilalamika wananchi wawaonee huruma na imani. Upinzani ulishapoteza dira tokea 2015 baada gia yao ya hewani.
 
Walionunuliwa ndio hao wako ccm sasa!Nunueni wote wanaonunulika chama kibaki na watu pure!
 
Mkuu nakuelewa Sana, you know why tunaitwa wanyonge? Hivi ni kweli kizazi chenu mlizaliwa muwe wanyonge? Hivi Mungu alituumba akatupa Nchi nzuri Kama Tanzania ili tuwe masikini na wanyonge? No. Tena big no. Huu unyonge na umasikini umetegenezwa ili watutawale vizuri, yaani sisi tufikirie tu chakula, nitakula nini, watoto na mke watakula nini? Tupe takwimu kati ya watanzania 50milioni asilimia ngapi wameingia kwenye huo msitu unaousema na wametoboa?
Mkuu maswali yako yana majibu Ila naomba nisiyatoe.
 
Mzalendo wa kweli hana chama huko ccm au chadema au Cuf hakuna jipya tunachotaka ni msimamo wa nchi na so chama!!
Wanasiasa wanatufanya wengne wajinga,wapumbavu na mazuzu huku wao wakila keki ya taifa kana kwamba wengne ni wajakazi wao
Noted Mkuu. Nimekuelewa
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Hujaandaliwa wewe
Ungeandaliwa usingesema humu
Tungekusikia kwa kishindo chako cha kutenda
ASI jombaaa, we ASI TU
 
mkuu umewaza kwa fikra huru na umevuka upeo wa kawaida wa fikra.. mawazo yako yamejaa ukweli mtupu... nakwambia hata Gaddafi hakuijua nguvu ya umma kabla pamoja na jeshi na polisi kumuunga mkono unaambiwa hakupata pa kutorokea japo alipewa visting offer ya kwenda uhamishoni na marafiki zake. nakuahidi TUTAWANYAKUA TU.
Ghadafi katolewa na nguvu ya umma??????
Mbna kuna watu wanaidhalilisha jf aisee
N kwel kuwa upeo wako umeishia hapo kwenye duru za siasa za libya???
Duh
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Mkuu
Ndo great thinkers wa jf hao
Usiwashangae
 
Back
Top Bottom