Uasi na ugaidi husababishwa na ujinga na hamasa hasi.Nimegundua uasi na ugaidi sometimes huwa na sababu za kuwepo.
Ukitaka kupata majibu na utatuzi wa kiutawala na watawala angalieno mitume waliishi vipi na watu wao ?
Uasi na ugaidi husababishwa na ujinga na hamasa hasi.Nimegundua uasi na ugaidi sometimes huwa na sababu za kuwepo.
Kwa kuwa nchi ni yako peke yako?? Punga weweWenzako walijaribu wakaishia kuasiwa, hebu na wewe jaribu bahati yako, mapori ni mengi Sana
Hayo yalisababishwa na ukichaa kama wenu ndio hao beberu unaowasema wakapata mwanya wa kuingiaMsio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Utamuelewa tuUmeandika nn we attorney wa lumumba
Nenda Somalia ama Libya tuachie Tanzania yetu salamaKama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?
Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?
Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?
Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?
Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?
Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?
Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?
When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!
SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Mawazo huruWenzako walijaribu wakaishia kuasiwa, hebu na wewe jaribu bahati yako, mapori ni mengi Sana
Sasa bro siasa ya kidemokrasia ina jipya gani zaidi ya ujinga ujinga na umbea umbea ?Upo sawa kabisa, shida vijana wengi wa leo vipao mbele vyetu ni hamisa mobeto na voice note za mganga au gigiy money na mo jay au dogo janja na airine uwoya, mambo ya siasa tunasema hayatuhusu!!
Ilimradi tuna vicomputer tunaweka nyimbo kwenye simu tupate bando lakusoma udaku na tumeruhusiwa kuchuuza bidhaa bila kulipa kodi kwa kuzitandika mpaka ofisi ya mkuuwa wilaya mengine hayatuhusu!!
Sasa hayo ya siasa usituambie we tuambie habari za kuvaa vijinzi vinaitwa kamatia chini, na mambo ya vikuku na nk!!!
Ilimradi tumeamka asubui tunapata hela yakula, basi inatosha!!! Uo uasi kaaanao, utakuwa wewe peke yako, naivi tumemaliza form four na zero zero hatuitaji hayo mambo!!!
Hiiinchi kati ya watu milioni 50 wenye uelewa ni milion 5 usitegemee unacho fikiri!!
Mkuu hongeraa kwa kujua tulipotoka,tulipo na tunakoelekea.....hayo uliyosema ni kweli kabisa sasa naongezea tu CCM imeharibu sana nchi hii kwa sasa senior officers wote wanaochaguliwa JWTZ ni makada wa ccm, TISS wotee ni vijana kutoka uvccm, hao wakurugenzi wote wa TISS ni CCM, ukija magereza hivyo hivyo, sasa hakuna mkuu yoyote ktk vyombo vya usalama ambaye yupo kizalendo wote ni uchama na ukada!!Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?
Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?
Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?
Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?
Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?
Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?
Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?
When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!
SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Nina elimu ya dini ya Kikristo.Una elimu ya dini ya gani ?
Na dini yako inakuelekeza vipi uende na hali hizi za kisiasa ?
Japokuwa unaweza kuwa na elimu ya dini na usiifnyie kazi. Hii nimekupa ziada.
Anachotakiwa awe mvumilivu na afanye ya msingi na yenye manufaa na yeye.Ameuliza anafanyaje kama mambo ndo hayo? Mpeni jibu badala ya kumkebehi na kumtisha...
Swali la kijana jepesi tu
NAFANYAJE NINAPOYAONA HAYA YANAYOTENDEKA?
Kijana labda nikusaidie kitu
Wanaofaidi maisha sio wenye akili nyingi wala wenye nguvu nyingi ... bali wenye uvumilivu na fikra pevu.
Wenzako walijaribu wakaishia kuasiwa, hebu na wewe jaribu bahati yako, mapori ni mengi Sana
Sasa bro ulitakiwa kujua kitu kimoja katika mapambano. Kiasili mapamo ya kumtoa mtawala huwa hayataki kushindwa na yanataka maandalizi.Nina elimu ya dini ya Kikristo.
Musa alipomkuta mmisri akimuonea muisrael, alimuua na Kisha akachimba shimo kwenye mchanga akamzika.
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
toka uwe na akili democracy imekusaidia nini?
Una eneo lingine tofauti na msituni?, kwa maana huko ukibanwa waweza waeleza ulienda kulima, watakuelewa
Kumbe ndo maana mkaenda kumuuguzia bwana yule makao makuu ya umoja wa ulaya ,EU ili kutafuta huruma ya wakoloni, jinga Sana chagadema, imebuma na zengwe zenu zitaendelea kubuma mpaka akili itakapo wakaa SawaSawa ,lakini alitoka au hakutoka ?
Akili hiyo mngeitumia kuokoa jahazi lenu, matokeo yake akili hiyo kutwa kucha mnaichambia, "pathetic "Mkuu ,Vita ni Akili.Hilo la Msituni ni wewe unafikiria hivyo ,unaweza kupigwa hata Nyumbani kwako .