Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Hivi hao Mabeberu walikufa wakatokomea!!? Hujaona jinsi wanavyomshupalia M7. Jifanyeni mko viroba na Shinhwaa, Kuna siku mtajuwa kuwa hizo bunduki si zenu, Ni za wananchi; si mnajifanya hamnazo!!!?
 
hio democracy imekua miss used sana.inabidi tuvumilie tu.sioni sababu ya kupiga kelele,unapewa uhuru wa kuongea unaishia kumwaga matusi,

unataka kuasi taifa wakati taifa limekusomesha,linakupa matibabu,kura unapiga,inabidi ukomae na uliempigia kura,kama yeye kaasi,basi ujue wewe na yeye nyote waasi.
Hivi unaongea kwa fikara pevu au ilimradi tu umeandika hapa?
Hoja za msingi hujui jibu hoja
1) inakuaje MTU akihoji kitu juu ya serikali anaonekana mbaya?
2) unajua mambo yanavyoenda saizi ndani ya vyombo vya usalama hasa viongozi wakubwa?
3) hivi Polisi, mwanajeshi au mwanausalama wa taifa inakuaje awe mwanachama wa chama tena kindakindaki? Unategemea utapata mtazamo UPI?
4) unachagua makada wa chama kuwa wasimamizi wa serikali hasa katika ngazi zisizohusu ukeleketwa/uchama katika kusimamia maendeleo ili iweje?
5) Rais unapotumia shughuli za kiserikali katika kufanya siasa je ni sahihi?
6)Je inakuaje unawaambia wananchi kwamba kwakuwa mmemchagua mbunge wa upinzani hivyo hamtapata maendeleo?
Tanzania ni watu na watu wote hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja hivyo kama MTU akiwa kinyume na mtazamo wako usimchukie,usimzihaki au kumtukana...watu wengne tunapenda maendeleo,haki,Amani,ushirikiano hatuna chama wala ukada!!!
 
Fikira hizi zinatudanyanya, watu wakifikia Level ya kuona hawana cha kupoteza, basi wewe fundi wa kuhasi jiandae kuhasi wote ila ukishidwa kuwahasi wote basi jua kichwa chako ni halali yao. Kwa Tanzania ilipofikia, watu kumi tu wakifa kwa mpigo kwenye furugu za kisiasa,siasa za nchi yetu zitabadirika kabisa, yaani hatasikia tena habari za chama tawala wala ccm, just mark my word
Tena mchezo huu wanaofanya kwenye uchaguzi mdogo wasijidanganye wafanye 2020 watajutia kufanya nchi hii yao
 
Msitu sahihi wa kuingia ni ule wa maendeleo binafsi familia yako na mke wako wapate mkate unaostahili. Upinzani gani wenyewe hauna hatua? Kila mwaka wao tumeibiwa tumeibiwa, jamani wananchi tumeibiwa. Sisi kama kambi ya upinzani tumeibiwa na tunalaani. Hizi laana haziwapati tu wahusika?
Mzalendo wa kweli hana chama huko ccm au chadema au Cuf hakuna jipya tunachotaka ni msimamo wa nchi na so chama!!
Wanasiasa wanatufanya wengne wajinga,wapumbavu na mazuzu huku wao wakila keki ya taifa kana kwamba wengne ni wajakazi wao
 
Wewe pia hujui. Mabeberu kwanza hutafuta sababu, kisha huitumia sababu hiyo kufikia lengo. Ni kweli, Libya kulikuwa na maisha mazuri kwa vigezo vya kukamilisha matakwa ya binadamu ya mwili: chakula, makazi, umeme, nyumba.....ila hakukuwa na yale ya kukamilisha matakwa ya binadamu ya kiroho/kifikra: uhuru wa kusema, kupinga, kuafiki, kujumuika.......
Binadamu si kama mnyama anayetosheka tu kwa lile la kwanza. Huenda akavumilia ikiwa hilo la kwanza halipo hadi hapo litakapopatikana, ataanza kuomba hili la kiroho na kifikra. Lakini aghalabu, kukosekana kwa la kwanza huwa pia ni sababu ya kuomba hili la pili kwa haraka, maana linapokosekana la kwanza huwa pia kuna dhuluma na ujeuri wa kuzuia hili la pili! Na ukifika wakati huo hata umpe binadamu mikate kumi ya bure kila siku, hilo halitamtosha. Mifano mizuri iko kutoka Iran ( hii hata Mabeberu hawakujiingiza, watu wenyewe tu). Na....natabiri hayo hayo yatatokea Saudi Arabia, Ethiopiana Tanzania ( kama hatutageuza mkondo. Wenzetu Ethiopia wameanza). Hii ni "sunna" ya binadamu!
Sisi tunaamini watanzania ni Kondoo na wajinga, tunadhani jeshi na police wetu ni imara kuliko jeshi lolote lile duniani
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Anguko la Gadaffi lilitokana na yeye mwenyewe kushindwa kuwapa watu wake UHURU, HAKI na USAWA ...........!!

Maendeleo ya Libya yalijengwa chini ya msingi mbovu ...........!!
 
Msitu sahihi wa kuingia ni ule wa maendeleo binafsi familia yako na mke wako wapate mkate unaostahili. Upinzani gani wenyewe hauna hatua? Kila mwaka wao tumeibiwa tumeibiwa, jamani wananchi tumeibiwa. Sisi kama kambi ya upinzani tumeibiwa na tunalaani. Hizi laana haziwapati tu wahusika?
Mkuu nakuelewa Sana, you know why tunaitwa wanyonge? Hivi ni kweli kizazi chenu mlizaliwa muwe wanyonge? Hivi Mungu alituumba akatupa Nchi nzuri Kama Tanzania ili tuwe masikini na wanyonge? No. Tena big no. Huu unyonge na umasikini umetegenezwa ili watutawale vizuri, yaani sisi tufikirie tu chakula, nitakula nini, watoto na mke watakula nini? Tupe takwimu kati ya watanzania 50milioni asilimia ngapi wameingia kwenye huo msitu unaousema na wametoboa?
 
Unafanana na jina ulilojiita na mimi ntakuongezea kuwa hujitambui wala hujielewi..
Ni kweli mkuu. But Kenya walishikana mashati Sasa naomba ukipenda nikulipie nauli uende Nairobi uone matokeo ya kuondoa huu uchafu unaoitwa Chama tawala
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
especially wale kula kulala kama wewe na Wale wanaosubiria uongozi wa kupewa ( incompetent people)
 
Mbona tushakuwa waasi kitambo.Ak47 tu hamna.Kwa huu upuuzi
Ingieni msituni nina hamu na minofu ya bavicha
Kufikia asubuhi msitu umelala ndio mtatujua kwanini tunaogopwa na nchi zote za kiafrika na asia.
dKeEC6F.gif
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Hili tukio la JUZI tu lakini watu wameanza kudanganya! NATO walidandia tu train
 
Kijana ana hoja ya msingi, kikubwa ajipange vizuri ili asifanye makosa kama ya watangulizi wake
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Waasi wa ukweli, huwa hawaaandikiandiki wala hawatangazi kwamba, wanataka kuwa waasi. Ukiona mtu anatangaza kuwa anataka Kuwa muasi, ujue hapo hakuna muasi...kuna msanii wa bongo movie!
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Kukosa democrasia sio habari[emoji1] [emoji1]
 
Kwa akili yako pungufu unadhani hilini suala la mtoa mada kujaribu, hill linawahusu wenye ubongo mkubwa kutafakari kwa kina kile kinachoendelea nchini mwetu na matokeo yake ya baadaye. Hata Makaburu walijiaminisha kuishi kwa mtutu, lakini mwisho demokrasia ilishinda.
Andiko kuntu sana !
 
Tatizo letu lipo hapo ktk umri.. Watu chama wanakichukuliwa kama imani ya dini au tamaduni ya ukoo kiasi kukubali kushindwa wanaona ni laana.
Ni pole poole sana mkuu kwa tulikofikia bado sana, itatuchukua miaka mingine 60 hiki kizazi na chooote kilichoshoshuudia uhuru kitoke, na haya manyang'au na makishabu yanayooandika upupu wote wafe kije kizazi cha mashujaa
 
Back
Top Bottom