Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

mkuu umewaza kwa fikra huru na umevuka upeo wa kawaida wa fikra.. mawazo yako yamejaa ukweli mtupu... nakwambia hata Gaddafi hakuijua nguvu ya umma kabla pamoja na jeshi na polisi kumuunga mkono unaambiwa hakupata pa kutorokea japo alipewa visting offer ya kwenda uhamishoni na marafiki zake. nakuahidi TUTAWANYAKUA TU.
Ungefahamu kinachowapata hao Walibya wala usingewatolea mfano hapa mkuu.
 
Upo sawa kabisa, shida vijana wengi wa leo vipao mbele vyetu ni hamisa mobeto na voice note za mganga au gigiy money na mo jay au dogo janja na airine uwoya, mambo ya siasa tunasema hayatuhusu!!

Ilimradi tuna vicomputer tunaweka nyimbo kwenye simu tupate bando lakusoma udaku na tumeruhusiwa kuchuuza bidhaa bila kulipa kodi kwa kuzitandika mpaka ofisi ya mkuuwa wilaya mengine hayatuhusu!!

Sasa hayo ya siasa usituambie we tuambie habari za kuvaa vijinzi vinaitwa kamatia chini, na mambo ya vikuku na nk!!!

Ilimradi tumeamka asubui tunapata hela yakula, basi inatosha!!! Uo uasi kaaanao, utakuwa wewe peke yako, naivi tumemaliza form four na zero zero hatuitaji hayo mambo!!!

Hiiinchi kati ya watu milioni 50 wenye uelewa ni milion 5 usitegemee unacho fikiri!!
 
Video ya Makonda na wale polisi wana ccm nia AIBU KUBWA SANA KWA NCHI HII ITAKAYODUMU MILELE
Acha wivu wa kike, yule ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa unaoishi, ukilielewa hilo huwezi bwabwaja hovyo kama unavyofanya
 
Upo sawa kabisa, shida vijana wengi wa leo vipao mbele vyetu ni hamisa mobeto na voice note za mganga au gigiy money na mo jay au dogo janja na airine uwoya, mambo ya siasa tunasema hayatuhusu!!

Ilimradi tuna vicomputer tunaweka nyimbo kwenye simu tupate bando lakusoma udaku na tumeruhusiwa kuchuuza bidhaa bila kulipa kodi kwa kuzitandika mpaka ofisi ya mkuuwa wilaya mengine hayatuhusu!!

Sasa hayo ya siasa usituambie we tuambie habari za kuvaa vijinzi vinaitwa kamatia chini, na mambo ya vikuku na nk!!!

Ilimradi tumeamka asubui tunapata hela yakula, basi inatosha!!! Uo uasi kaaanao, utakuwa wewe peke yako, naivi tumemaliza form four na zero zero hatuitaji hayo mambo!!!

Hiiinchi kati ya watu milioni 50 wenye uelewa ni milion 5 usitegemee unacho fikiri!!
Hali ya maisha itakapokuwa ngumu zaidi huku wengi hawana kazi, ndio akili zitakaa sawa.
 
Kujenga taifa na utaifa siyo kazi nyepesi inayoweza kufanywa na mbilikimo (lilliputs) wa kisiasa. Nyerere alipata kusema ni ujinga Watanzania kudhani kuwa nchi yao ni tulivu na haiwezi kwenda njia ya Sierra Leone, Liberia, Somalia, Burundi, Rwanda, nk. Alitoa mfano wa Somalia, nchi ya kabila moja na dini moja lakini bado ikasambaratishwa na tofauti za kiukoo.
 
Nilikuwa nikisikia waasi nchi jirani nikawadharau sana kuwaona watu wa ajabu,nimenza kupata somo halisi live chanzo na sababu za uasi.Shetani alivyo anazidi kuwapa roho ngumu,kibri kufanya dhuluma jambo la wazi na kawaida!Uhakika sio mbali watavuna wanachopanda.
Nimegundua uasi na ugaidi sometimes huwa na sababu za kuwepo.
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Kwani hao mabeberu walikuambia kuwa mwisho wao ni kwa Gadafi tu.
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Haya ni madhara ya vijana watu kukosa dini...!

Tafuta ugali bro ujenge familia yako na ukeshe ukiomba AMANI kama una amini uwepo wa Mola.
 
Wanatulazimisha tuharibu nchi na umoja wa taifa letu.Mimi sasa rasmi namuomba Mungu awape majanga makubwa viongozi na wafuasi wao kwa udhalimu huu Kuua democrasia na umoja wa taifa letu.
Sasa bro unamuomba vipi Mola awape majanga wakati Mola mwenyewe hakubaliani na Demokrasia ?

Haya matatizo mnajitakia wenyewe...!
 
mkuu umewaza kwa fikra huru na umevuka upeo wa kawaida wa fikra.. mawazo yako yamejaa ukweli mtupu... nakwambia hata Gaddafi hakuijua nguvu ya umma kabla pamoja na jeshi na polisi kumuunga mkono unaambiwa hakupata pa kutorokea japo alipewa visting offer ya kwenda uhamishoni na marafiki zake. nakuahidi TUTAWANYAKUA TU.
Kwani kilichomkuta Gaddafi kilitokana na nini ?

Hapa kuna kitu umenikumbusha ndio maana nimekuuliza hivyo.
 
Haya ni madhara ya vijana watu kukosa dini...!

Tafuta ugali bro ujenge familia yako na ukeshe ukiomba AMANI kama una amini uwepo wa Mola.
Mimi nina elimu ya dini bro
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Weww ndio mwongo usiyejua hata dunia unaenda vipi
 
toka uwe na akili democracy imekusaidia nini?
Swali zuri sana. Ubazazi wa vijana wanaopenda siasa ukijenga hoja ikiwa dhidi yao wanakuita mwana CCM. Nilishawahi kumuukiza swali mtu mmoja humu kwenye jukwaa la siasa alichonijibu nikasema hakuna watu wajinga kama wana siasa.

Hawa watu inabidi wajue kwamba Tanzania sio kila mtu anahusudu siasa za Kidemokrasia,hili wanatakiwa walitambue,sisi wengine tunapenda haki na elimu na tunachukia ujinga na uzandiki.

Akikujibu swali lako ni tag bro !
 
Back
Top Bottom