Nchi inaendeshwa na 'KITENGO'?

Nchi inaendeshwa na 'KITENGO'?

Kwa hiyo hiyo habari ya kwamba CCM inafuata demokrasia ni uzushi tu?

Mgombea urais wa CCM, na hivyo rais wa Tanzania do far, anateuliwa na watu wachache, halafu wananchi wanapigwa changa la macho kwamba wamemchagua?

Uchaguzi ni ule wa Dodoma tu
mengine yoote ni maigizo matupu
 
Hapo ndipo pazuri sasa kama unaamini kitengo kinaweza kuamua na kumuweka mtu sasa swali ni kwa makubaliano yepi, kwanini kitengo kiingie risk ya kuweka "traitor" . . . . . .. Keeping a lion for a later kill??!! Why this mess??!!!

Kennedy was a president too, vested with power . . . .. Very same power. . .what happened? ?!!!

Kama kweli kitengo kinaendesha nchi basi hakika suala sio dice rolling. . . .

Na hapo ndo tunarudi kule kule
kama wananchi hawana 'final say'
basi hata uchaguzi hauna maana
 
Kwa hiyo hiyo habari ya kwamba CCM inafuata demokrasia ni uzushi tu?

Kwa tuliyoyashuhudia wiki ilopita na yale tuliyoyaona mwaka 1995, demokrasia na CCM ni oxymoron.

Halafu jamaa walivyo washenzi hata soni hawana. Kura za tatu bora eti zimepigwa ukumbini..bila hata kuelezwa kama zoezi la kupiga kura limemalizika, mwenyekiti wao anaahirisha kikao hadi kesho yake.

Maswali ibuka hapo ni 1) Kwa nini hawakumaliza kila kitu hapo hapo? 2) Kwa nini mwenyekiti aliahirisha kikao kwa namna ile? Hivyo ndo ratiba yao ilivyokuwa inasema? 3) Hizo so called kura zilihesabiwa saa ngapi, wapi, na nani?

Mgombea urais wa CCM, na hivyo rais wa Tanzania do far, anateuliwa na watu wachache, halafu wananchi wanapigwa changa la macho kwamba wamemchagua?

Hiyo ni dhahiri shahiri kabisa.

Magufuli sasa ni president-in-waiting.

Na tayari anapewa ulinzi wa walinzi ambao wanaonekana kama si walinzi wa kutoka CCM wale.
 
The Boss Hata mimi nilishangazwa katika hiki kipindi cha demokrasia ya vyama vingi eti Usalama wa taifa wanaingia kwenye vikao vya ccm kumchambua mgombea atakayepeperusha bendera ya ccm.

Kama taifa bado kazi tunayo. Naamini mwaka huu 2015 wa uchaguzi, hautokuwa wa haki kama ulivyokuwa wa 2010
Sasa hao usalama wa taifa si waingie na kwenye michakato ya vyama vingine ili kuweka usawa katika kupata mtu safi mbele ya wananchi?
 
Na kwa nini niamini kwamba kina kitengo zaidi ya Kikwete, Mwinyi, Mkapa and their few cronies?

Kaka kama tuna derive hii equation ya kitengo na tuna substitute hayo majina ambayao nayo yawezekana ni zao la kitengo kuendesha nchi basi hakika uko sawa ila hapo kwenye "few cronies". . . . Basi kwa elimination au substitution methods bado jibu litabaki kuwa ven diagram ina major set na sub-set(s)
 
Kwa tuliyoyashuhudia wiki ilopita na yale tuliyoyaona mwaka 1995, demokrasia na CCM ni oxymoron.

Halafu jamaa walivyo washenzi hata soni hawana. Kura za tatu bora eti zimepigwa ukumbini..bila hata kuelezwa kama zoezi la kupiga kura limemalizika, mwenyekiti wao anaahirisha kikao hadi kesho yake.

Maswali ibuka hapo ni 1) Kwa nini hawakumaliza kila kitu hapo hapo? 2) Kwa nini mwenyekiti aliahirisha kikao kwa namna ile? Hivyo ndo ratiba yao ilivyokuwa inasema? 3) Hizo so called kura zilihesabiwa saa ngapi, wapi, na nani?

Hiyo ni dhahiri shahiri kabisa.

Magufuli sasa ni president-in-waiting.

Na tayari anapewa ulinzi wa walinzi ambao wanaonekana kama si walinzi wa kutoka CCM wale.

Kaenda Zenj anatumia gari la AG katika kampeni. AG ni mtumishi wa serikali.

Huyu ndiye Magufuli anayesifika kwa kukemea rushwa na uzembe.

Hili ama hajaliona kama issue, ama kaliona kalidharau.

Yote mawili majanga.
 
Halafu hujiulizi kura za Asha Rose na Amina zilipungua?
kuingia tano bora Asha kura 280 halafu eti baadae akapata kura 50?
huoni hii results ya kutengenezwa ili Magufuli aonekane ana support?
 
Ndio maana mimi nilisema humu UKAWA kushupali ishu ya

serikali tatu kwenye bunge la katiba ilikuwa haiwasaidii
walipaswa hasa kushupalia 'Tume huru ya Uchaguzi'
kama ajenda namba moja......wao walisusa bunge kwa ishu ya Tanganyika...
now we are back at square one

Their folly is to not see the forest for the trees.
 
Hicho kitengo ukifikiria kwa makini ndio chanzo kikuu cha shida nyingi za watanzania!! ...kinashauribili kujiwekea nazingira ya kula tu... yaani kweli ccm ya sasa iliyojaa rushwa ubadhirifu, kujuana, kuuana, viongozi wenye akili ndogo...lkn eti bado kitengo kinaona ndio wanafaa kuongoza nchi!!??... haiungii akilini!! Tuendelee kupiga kelele ili watambue kuwa tunajua kuwa wanatumika kifisadi..!! Na wanakitengo mnaofuatilia mjadaoa huu msichimbe watu nchii ni yetu sote na ninaamini wengine tuna uchungu na tz kuliko nyie!!
 
Na hapo ndo tunarudi kule kule
kama wananchi hawana 'final say'
basi hata uchaguzi hauna maana
Nilidhani hili ni wazi kabisa sababu hakuna aliyependekezwa akashindwa uchaguzi. . . .Unless wananchi wana nidhamu ya woga kiasi cha.kusema ndiyo kwa lolote au wanaopendekezwa huwa kweli ni vipenzi vya wananchi. . . .

Uchaguzi utakuwa tu na maana kama rational and informed decision making itafikiwa. . . .labda ndio maana Kagame na Nkurunziza wanaona hivyo wanavyoona. . . . . .Demokrasia ni kiini macho huku uapnde wa dunia
 
Halafu hujiulizi kura za Asha Rose na Amina zilipungua?
kuingia tano bora Asha kura 280 halafu eti baadae akapata kura 50?
huoni hii results ya kutengenezwa ili Magufuli aonekane ana support?

The whole thing was a sham.

Da Amina kwenye tano bora alipata kura 284 [kama sijakosea].

Magufuli alipata kura 290.

Ina maana kutoka tano bora hadi tatu bora waliompigia kura Da Amina walibadili mawazo yao kwa haraka namna hiyo?

Hahahaaaaa talk about things that make you go hmmmm....:lie:.
 
The whole thing was a sham.

Da Amina kwenye tano bora alipata kura 284 [kama sijakosea].

Magufuli alipata kura 290.

Ina maana kutoka tano bora hadi tatu bora waliompigia kura Da Amina wakibadili mawazo yao kwa haraka namna hiyo?

Hahahaaaaa talk about things that make you go hmmmm....:lie:.

Halafu zoezi ya kuhesabu hizo kura ndio usiku kucha
ni kama wanafanya watu wazima woote ni watoto wadogo..
faulo za wazi tena za kitoto kabisa
 
Kaenda Zenj anatumia gari la AG katika kampeni. AG ni mtumishi wa serikali.

Huyu ndiye Magufuli anayesifika kwa kukemea rushwa na uzembe.

Hili ama hajaliona kama issue, ama kaliona kalidharau.

Yote mawili majanga.

Janga la tatu:

Magufuli huyu huyu alimu-endorse Raila Odinga kwenye kampeni za uchaguzi wa Kenya mwaka 2013.

Umeona wapi waziri wa serikali kutoka nchi nyingine anamu-endorse mgombea urais wa nchi nyingine?

Na si kwamba alitoa endorsement ya maneno tu, la hasha.

Jamaa alitia timu hadi kwenye kampeni za CORD huko Kenya.

Cheki hii clip kuanzia dk. 1:00.

Yaani jamaa kapiga hadi na kapelo ya rangi ya chungwa na scarf shingoni.

This dude is a mess.....

Last edited by a moderator:
Kwa hali ilivyo ni bora iwe hivyo kwa muda. . . . . . " kuna mambo labda hayahitaji mjadala na labda kuna mambo yakiwekwa wazi kabisa itahitajika nguvu kubwa zaid kutuliza jamii" hizi ni aasumptions ambazo zinaweza sababisha nchi kuelekezwa nini cha kufanya . . . . .

Naamini ni kwa faida ya wengi na ya muda mrefu. . .

Faida ya wengi?

Ambao wakistaafu kwenye ujaji wanakuwa watia nia wa CCM(Augustino Ramadhani)...ambao wakistaafu kutoka ukuu wa majeshi wanakuwa wagombea ubunge through CCM(Robert Mboma)...ambao wakistaafu u-IGP wanagombea ubunge through CCM(Omar Mahita)...ambao wakistaafu ukurugenzi wanakuwa watia nia wa uraisi through CCM. Wengine wakistaafu u-RPC wanapewa u-DC(Zelothe)

Kweli kama ulivyosema...ni wengi na ni haki yao kabisa kwa manufaa mapana ya nchi na kwa muda mrefu!
 
sio UWT tu. Pengine, kutokana na kuathiriwa na mfumo wa kijamaa wa chama kimoja kushika hatamu, basi kuna watumishi wengi sana wa serikali(soma watumishi wa Wana wa Nchi au wa Nchi) wanadhani, kwa kukosea, kuwa, kuwa mtumishi wa serikali maana yake ni kuwa mtumishi wa ccm. hili ni moja ya tatizo kubwa sana la siasa za vyama vingi Tanzania. watumishi wengi wa Umma wa Tanzania, hasa hawa wazee, ama kwa kutokujua au kwa makusudi, hawajui kutofautisha kati ya mtumishi wa serikali na mtumishi wa ccm. ni mfumo ambao aliujenga mzee Nyerere kwa nia nzuri tu ya kusadia nchi kwa kipindi hicho lakini baadaye warithi wake wanakuja ku capitalize kwenye huo mfumo kudhalimu Wana wa Nchi na Nchi yenyewe kwa ujumla
 
Faida ya wengi?

Ambao wakistaafu kwenye ujaji wanakuwa watia nia wa CCM(Augustino Ramadhani)...ambao wakistaafu kutoka ukuu wa majeshi wanakuwa wagombea ubunge through CCM(Robert Mboma)...ambao wakistaafu u-IGP wanagombea ubunge through CCM(Omar Mahita)...ambao wakistaafu ukurugenzi wanakuwa watia nia wa uraisi through CCM. Wengine wakistaafu u-RPC wanapewa u-DC(Zelothe)

Kweli kama ulivyosema...ni wengi na ni haki yao kabisa kwa manufaa mapana ya nchi na kwa muda mrefu!

Hans Kitine alikuwa mkuu wa Usalama wa Taifa akaenda chukua fomu za kugombea Urais CCM
na Agustin Mahiga alikuwa deputy wa Usalama wa Taifa
akachukua fomu CCM
 
Janga la tatu:

Magufuli huyu huyu alimu-endorse Raila Odinga kwenye kampeni za uchaguzi wa Kenya mwaka 2013.

Umeona wapi waziri wa serikali kutoka nchi nyingine anamu-endorse mgombea urais wa nchi nyingine?

Na si kwamba alitoa endorsement ya maneno tu, la hasha.

Jamaa alitia timu hadi kwenye kampeni za CORD huko Kenya.

Cheki hii clip kuanzia dk. 1:00.

Yaani jamaa kapiga hadi na kapelo ya rangi ya chungwa na scarf shingoni.

This dude is a mess.....

Jinsi ambavyo Magufuli hajui kufuata sheria wala kuheshimu mistari
one can only imagine atakuwa Rais wa aina gani
So many law suits zitatawala
 
Last edited by a moderator:
Salamu kwa watu kama simiyu yetu!! Maana kila kitu yeye ni CCM. HUYU jamaa sijui alikunywa maji ya bendela za kkijani!!!!
 
Hans Kitine alikuwa mkuu wa Usalama wa Taifa akaenda chukua fomu za kugombea Urais CCM
na Agustin Mahiga alikuwa deputy wa Usalama wa Taifa
akachukua fomu CCM

Mimi hao wengine sina shida nao sana kwa sababu hawakuwa kwenye nafasi ambazo walitakiwa kutenda haki bila upendeleo.

Jaji Ramadhani yeye keshawahi kuwa makamu mwenyekiti wa NEC na ZEC.

Inaleta picha mbaya sana kuona mtu aliyekuwa na cheo kikubwa kwenye hizo tume za uchaguzi anatangaza nia kupitia chama tawala. Hata angetangaza nia kupita upinzani bado ingeleta picha mbaya tu.

I mean, si wengine tumweleweje sasa? Je, tutakuwa tunakosea endapo tukidhani alipokuwa makamu mwenyekiti wa hizo tume alikuwemo humo kwa lengo la kuhakikisha CCM inashinda?

Imagine kama Jaji Lewis Makame naye angetangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM....
 
Back
Top Bottom