Nchi inaendeshwa na 'KITENGO'?

Nchi inaendeshwa na 'KITENGO'?

Kwa hali ilivyo ni bora iwe hivyo kwa muda. . . . . . " kuna mambo labda hayahitaji mjadala na labda kuna mambo yakiwekwa wazi kabisa itahitajika nguvu kubwa zaid kutuliza jamii" hizi ni aasumptions ambazo zinaweza sababisha nchi kuelekezwa nini cha kufanya . . . . .

Naamini ni kwa faida ya wengi na ya muda mrefu. . .

Unapingana na demokrasia kabisa

'demokrasia ni uamuzi wa wananchu uheshimiwe bila kujali uamuzi huo ni busara au upumbavu wa majority'
 
Hawajijui nafasi yao
badala ya kuwa 'loyal subject to the Republic'
wao nao ni loyal subjects to CCM......so shameful

Hebu fikiria kama CIA au M16 kama wangekuwa wanafanya siasa kwenye taasisi zao hizo nchi zao zingekuweje? Leo hii hapa kwetu Tanzania wageni wanakuja kuiba mchana kweupe wanachukuwa wanyama huko kwenye mbuga zetu na kuwapakiza kwenye ndege, madini yetu yanaibiwa kila siku na vijidege vidogodogo vinavyotuwa kwenye migodi.
Eti usalama wa taifa wapo busy kwenye ofisi za ccm kuhakikisha ccm haitoki madarakani. Usalama wa taifa unatumikia CCM badala ya taifa na rasilimali zake. This is shamefully and disgusting to us Tanzanian. Politics is everywhere, this is too dangerous to our nation playing politics in serious matter
 
Tofauti ya Usalama wa Taifa na Idara ya Ulinzi CHADEMA hakuna kabisa
 
Hawajijui nafasi yao
badala ya kuwa 'loyal subject to the Republic'
wao nao ni loyal subjects to CCM......so shameful

Kitengo ni class A ya wanaofanya juu chini kuiweka CCM madarakani kwasababu wao ndo wananufaika na madeal yanayosimamiwa na CCM.
Kama wasingekuwa wanaendekeza matumbo yao, tungepata candidates wasafi sana.
Tunataka kuwatambua hao 'kitengo'.
 
Tofauti ya Usalama wa Taifa na Idara ya Ulinzi CHADEMA hakuna kabisa

Kulitakiwa kuwe na idara ya ulinzi ya chama na usalama wa taifa.
Ila kwa sasa usalama wa taifa na vyombo vya ulinzi vipo kufanya kazi ya kichama.
Tunakosea kuanzia hapo, tunatakiwa tutenganisha majukumu na kazi zao.
 
The Boss

Unazungumzia kitengo katika ngazi ya inchi vipi katika ngazi ya vyama? maana hata CDM nao wanakitengo chao,wakati Zitto anasema anajipanga kugombea uwenyekiti wa chama hakikuwa kikao halali cha chama kilichomzuia kufaya hivyo , bali wazee kwa busara wakasema ampe fursa mbowe aendelee wazee hao sio kitengo?
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo Usalama wa Taifa ni kitengo huko CCM?
 
Unapingana na demokrasia kabisa

'demokrasia ni uamuzi wa wananchu uheshimiwe bila kujali uamuzi huo ni busara au upumbavu wa majority'

Kabisa nakubali kupingana nayo, sio kipindi chote inakuwa sahihi. . .Nchi changa kidemokrasia elimu iko chini, purchasing power iko chini, inflation ya ajabu, rate of unemployement is acrueing. . . . . Hawa watu hawawezi kuwa na maamuzi sahihi asilani, wanakuwa influenced na vitu vingi ambavyo kama wangekuwa "free" hali isingekuwa hivyo. . .

Demokrasia gani kwa katiba hii ya sasa??!! Demokrasia gani kwa tume hii ya uchaguzi??!! Demokrasia gani kwa undugunization uliojaa katika vyama???!

Demokrasia inatumika na few eiltes na middle class kufanya maamuzi yao kwa mgongo wa wengi. . . .. .
 
Hilo pia ni tatizo, waandishi wetu wa tanzania hawajui kwenda deep na kufanya investigation ya habari, wanachofanya wao ni kukimbilia kuandika habari nusu nusu bila ya kwenda deep wakaja na habari kamili. Kwa kweli sasa hivi ccm imeshikilia kila sehemu muhimu ya hii nchi. Jeshini, usalama wa taifa Polisi na Magereza, hao wote wakistaafu wanapewa ukuu wa wilaya na mikoa, kama sio nafasi za ubalozi. walewale walioshindwa wana wa-recycle na kuwarudisha kwa njia nyingine. I know lots of Top military who think this country belong to ccm, wanajisahau kuwa nchi ni ya watanzania.

Wengi wananyemelea vyeo ccm

Waandishi wa tz...mostly ni wasaka na watoa taarifa za matukio...rais kaenda kufungua barabara, daraja, hospital etc...

Tz hatujafkia kuwa na waandishi wa habari za uchunguzi...ni safari ndefu sana kufika huko, kuiendea na kuifkia safari kwahitaji machozi, jasho na damu.

Historically nchi zilizopitia ujamaa wa kikomunisti wa urusi na china kama yetu, system (kitengo ) hupenya maeneo yote muhimu ya ki nchi kwa lengo la kudhibiti mambo na kuhakikisha nchi inakwenda kwa ajenda kusudiwa...kwa sababu hiyo kitengo huamua nani awe nani kwa muda gani...in the process kuna watu huumizwa albeit kwa maslahi mapana ya nchi...

am happy kitengo kutumika kumzuia mamvi kwani kwa ushahidi wa wazi wa namna mamvi amekuwa akitumia nguvu ya pesa katika safari ya matumaini...obviously alijipanga na namna ya kurudisha pesa zile....how?...waangalie wapambe wake wakubwa na utapata jibu....

wanasema democracy iliminywa....ni kweli, and am happy with that katika mazingira hayo special maana hata Hitler aliingia kwa democracy lkn kilichofatia...history ni shahidi.
 
Kabisa nakubali kupingana nayo, sio kipindi chote inakuwa sahihi. . .Nchi changa kidemokrasia elimu iko chini, purchasing power iko chini, inflation ya ajabu, rate of unemployement is acrueing. . . . . Hawa watu hawawezi kuwa na maamuzi sahihi asilani, wanakuwa influenced na vitu vingi ambavyo kama wangekuwa "free" hali isingekuwa hivyo. . .

Demokrasia gani kwa katiba hii ya sasa??!! Demokrasia gani kwa tume hii ya uchaguzi??!! Demokrasia gani kwa undugunization uliojaa katika vyama???!

Demokrasia inatumika na few eiltes na middle class kufanya maamuzi yao kwa mgongo wa wengi. . . .. .

Sasa why wasitumie nguvu yao kuwapa zaidi wananchi sauti?
why wasiwabane CCM waruhusu Tume ya Uchaguzi huru ili wananchi wawe na final say?
why wao wajipe 'mandate' ya kuwaamulia wananchi?
una uhakika gani wao hawana udini na ukabila kwenye maamuzi yao?
wao sio part yahiyo middleclass inayo waburuza wanyonge?
 
Tangu kukatwa, niliona hili neno "kitengo" lilinifanya niwaze kidogo tu kwa siku hiyo ila leo maswali yanazidi kuwa mengi. Najiuliza pamoja na mambo mengine, hii nchi ni ya "kitengo" ama ya WATANZANIA??

Hii nchi ni ya "kitengo" mkuu..ndo wanaamua raisi wa tanzania awe nani...ndo wanaamua kodi yetu apewe nani na nani asipewe....rasilimali zetu wamgawie nani...inasikitisha sana watu milioni zaidi ya 40 maamuzi yanafanywa na "kitengo" chenye watu nadhani wasiozidi 50 labda...shime watanzania tuwakatae kitengo kwenye sanduku la kura hata kama wana pesa na dharau kwa watanzania tuseme imetosha kwa dharau waliyotuonyesha wazi wazi...kweli watanzania tumefikia mahali pa genge moja la wahuni wanatudharau kiasi hiki na kujitapa kuwa wakishampitisha mgombea wao basi huyo ndo raisi wa watanzania 40m+???tulikatae hili genge likafie mbele...
 
Waandishi wa tz...mostly ni wasaka na watoa taarifa za matukio...rais kaenda kufungua barabara, daraja, hospital etc...

Tz hatujafkia kuwa na waandishi wa habari za uchunguzi...ni safari ndefu sana kufika huko, kuiendea na kuifkia safari kwahitaji machozi, jasho na damu.

Historically nchi zilizopitia ujamaa wa kikomunisti wa urusi na china kama yetu, system (kitengo ) hupenya maeneo yote muhimu ya ki nchi kwa lengo la kudhibiti mambo na kuhakikisha nchi inakwenda kwa ajenda kusudiwa...kwa sababu hiyo kitengo huamua nani awe nani kwa muda gani...in the process kuna watu huumizwa albeit kwa maslahi mapana ya nchi...

am happy kitengo kutumika kumzuia mamvi kwani kwa ushahidi wa wazi wa namna mamvi amekuwa akitumia nguvu ya pesa katika safari ya matumaini...obviously alijipanga na namna ya kurudisha pesa zile....how?...waangalie wapambe wake wakubwa na utapata jibu....

wanasema democracy iliminywa....ni kweli, and am happy with that katika mazingira hayo special maana hata Hitler aliingia kwa democracy lkn kilichofatia...history ni shahidi.

Tunachopiga kelele hapa ni kuwa Kitengo kiwe huru katika kazi zake, kisutumike kwenye politics. Siasa wawaachie wenyewe ccm na vyama vingine vichague wagombea wao na sisi wananchi ndio wapiga kura wa kuamua. Usalama wa taifa (Kitengo) wajikikite kwenye waledi wake, Kitengo sasa hivi kimekuwa ni aibu kutumika kama tawi dogo la ccm. Kila siku tunaibiwa kwenye taifa letu lakini hicho kitengo gutu kimelala kinaamka pale panapo maslai ya ccm, huu unaitwa uhuni. Kitengo kinaacha kufanya kazi zake kwa ufanisi kwa kulilinda taifa. Eti sasa Kitengo kimekuwa ni bora taifa liangamie kuliko ccm kushindwa uchaguzi.
 
Nami nimejiuliza sana, hicho KITENGO ni nini na ni kina NANI wamo ndani yake?
Hivi hiki KITENGO ndio kinataka maamuzi yao (wachache) yahesabike kama maamuzi yanayojumuisha na wale walioko nje ya KITENGO (waliotengwa) kwa makusudi japo walistahili kuwa ndani sehemu ya mfumo rasmi kabla ya KITENGO kujitwalia mamlaka..?!

Je inawezekana ile thamthilia ya nchi ya kusadikika inaelekea kuwa uhalisia Tz...?!! Naendelea kujiuliza tu!!
 
mkuu haki tutaipata tu...hata kwa ncha ya upanga..walianza akina ponda tukawaona magaidi lakini sasa tumefunguka macho mkuu

The Boss Hata mimi nilishangazwa katika hiki kipindi cha demokrasia ya vyama vingi eti Usalama wa taifa wanaingia kwenye vikao vya ccm kumchambua mgombea atakayepeperusha bendera ya ccm.

Kama taifa bado kazi tunayo. Naamini mwaka huu 2015 wa uchaguzi, hautokuwa wa haki kama ulivyokuwa wa 2010
 
Waandishi wa tz...mostly ni wasaka na watoa taarifa za matukio...rais kaenda kufungua barabara, daraja, hospital etc...

Tz hatujafkia kuwa na waandishi wa habari za uchunguzi...ni safari ndefu sana kufika huko, kuiendea na kuifkia safari kwahitaji machozi, jasho na damu.

Historically nchi zilizopitia ujamaa wa kikomunisti wa urusi na china kama yetu, system (kitengo ) hupenya maeneo yote muhimu ya ki nchi kwa lengo la kudhibiti mambo na kuhakikisha nchi inakwenda kwa ajenda kusudiwa...kwa sababu hiyo kitengo huamua nani awe nani kwa muda gani...in the process kuna watu huumizwa albeit kwa maslahi mapana ya nchi...

am happy kitengo kutumika kumzuia mamvi kwani kwa ushahidi wa wazi wa namna mamvi amekuwa akitumia nguvu ya pesa katika safari ya matumaini...obviously alijipanga na namna ya kurudisha pesa zile....how?...waangalie wapambe wake wakubwa na utapata jibu....

wanasema democracy iliminywa....ni kweli, and am happy with that katika mazingira hayo special maana hata Hitler aliingia kwa democracy lkn kilichofatia...history ni shahidi.

Mkuu kuna vitu viwili walifanya naona umejadili kimoja tu
wao walimzuia Lowassa ....kwa maoni yangu walipaswa tu kuwazuia wote wasiofaa na kuacha jukumu la kuchagua
kwa wanachama.....lakini hawakuishia hapo.....wakaenda tena kuhakikisha mgombea mmoja anawazidi wenzie
tena kwa kumshirikisha Ngeleja ambae nae hana tofauti na Lowassa....

Hapa huoni kitengo kimekuwa biased dhidi ya wagombea wengine wasafi?
hii ni haki na sawa?
Magufuli akigeuka Hitler nani tumlaumu?
 
Kabisa nakubali kupingana nayo, sio kipindi chote inakuwa sahihi. . .Nchi changa kidemokrasia elimu iko chini, purchasing power iko chini, inflation ya ajabu, rate of unemployement is acrueing. . . . . Hawa watu hawawezi kuwa na maamuzi sahihi asilani, wanakuwa influenced na vitu vingi ambavyo kama wangekuwa "free" hali isingekuwa hivyo. . .

Demokrasia gani kwa katiba hii ya sasa??!! Demokrasia gani kwa tume hii ya uchaguzi??!! Demokrasia gani kwa undugunization uliojaa katika vyama???!

Demokrasia inatumika na few eiltes na middle class kufanya maamuzi yao kwa mgongo wa wengi. . . .. .

Nchi changa after 50yrs?
 
Nami nimejiuliza sana, hicho KITENGO ni nini na ni kina NANI wamo ndani yake?
Hivi hiki KITENGO ndio kinataka maamuzi yao (wachache) yahesabike kama maamuzi yanayojumuisha na wale walioko nje ya KITENGO (waliotengwa) kwa makusudi japo walistahili kuwa ndani sehemu ya mfumo rasmi kabla ya KITENGO kujitwalia mamlaka..?!

Je inawezekana ile thamthilia ya nchi ya kusadikika inaelekea kuwa uhalisia Tz...?!! Naendelea kujiuliza tu!!

Bora wewe umejiuliza
waandishi wana ripoti tu bila hata kuuliza....
 
Tofauti ya Usalama wa Taifa na Idara ya Ulinzi CHADEMA hakuna kabisa

The Boss utofauti upo, tena mkubwa mno. Usalama wa Taifa wana all kind of resource. Hiyo Idara ya Ulinzi ya Chadema ina nini cha kujivunia? We fund Usalama wa taifa kwa kodi zetu, so we have right kuhakikisha usalama wa taifa unalitumikia taifa sio ccm.
We citizen of Tanzania pay there bills not ccm
 
Back
Top Bottom