The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
- Thread starter
- #61
1. Labda hiyo sauti itapatikana kwa kuweka mtu anayesikiliza wananchi. . .
2. Labda waliyemuweka kama kweli kawekwa ndio mwenyekiti na rais sasa huoni tume itakaa sawa na final say itatoka kwa majority. . .
3. Udini na ukabila kila mtu anao cha maana tu visiingilie malengo mahususi na ya jumla katika mipango na utekelezaji. . .
4. Wao kama ni elites na middle class inayoamua on behalf, for a common good basi waendelee. . .mandate akipewa dikteta mzalendo ni bora kuliko democratic bourgeoisie. . . .
Kama Kikwete mpole na msikivu hakuweka tume huru ya uchaguzi
utegemee Magufuli ambae ni jeuri mwenye kiburi aje alete tume huru ya uchaguzi?
seriously?