Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Nchi yeyote duniani usalama wa taifa ukikaa mbali na siasa basi na amani yake na mshikamano wake utakuwa wa bahati nasibu na upo kama time bomb tu.
Usalama wa taifa lazima uingie kwenye vyama vyote vya siasa duniani no one expected Ed Milliband to win kwa sababu waingereza na wa-Marekani are not ready for someone with Jewish background na kulikuwa na mizwengwe mikubwa sana kuhakikisha kaka yake mwenye support ya watu wenye nguvu ashindi uchaguzi wa ndani labour.
Tofauti ni kwamba wako very sophisticated in their arrangement and disguising their operation inatakiwa uwe makini sana kuona jinsi wanavyoweza badilisha upepo kupitia makachori wao waandishi wa habari na jinsi wanavyoweza ileta habari, wanavyo iendeleza na kuipa ushawishi ili kubadilisha upepo kwa perspective wanayoitaka wao iwe kuhusu mgombea ndani ya chama kama anakosa sifa sahihi za muda huo na ata kuamua chama gani kinashinda kubalance social interest kisera kwa nchi kama marekani na UK.
Kwa mtazamo tu hakuna mtu anae kiujumu CDM au chama chochote cha siasa isipokuwa hawana sifa za kukubalika kwa sasa hivi watu wanaoenda kufanya campaign kanisani kwa Gwajima au wanaotegemea support za kanisa kutaka kuvunja muungano uwape nchi kweli huo utakuwa uwendawazimu na watakuwa awafanyi kazi yao ya usalama vizuri.
Usalama na siasa ni damu damu isipokuwa hawa jamaa wetu wanapwaya sana wakati mwingine kimbinu na kuinyoosha serikari ya CCM and are very poor at propaganda labda kuna watu nao washazoea kufaidika personal na mfumo wa uzembe uliopo sasa ndio maana kuna vitu vya kijinga sana na ufisadi wa kishamba unao fumbiwa macho.