Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,040
- 68,184
Wako wanavua samaki huko kwa wauza .......Inasikitisha sana 😪!! Kwani johnthebaptist na genge lake la wafia CCM wanasemaje?

We acha masihara. Usiturudishe MisriTunakukumbuka Jiweeee
We kahangaike na maisha yako huna unalojua umejaa tu chuki na serikali ya mama. Bajeti yenyewe hata husikilizagi au pengine huelewi kinachojadiliwa. 2025 utakuwa umechoka wewe.1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.
3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi
4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.
5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.
Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
ulitaka mama awe rais? mwambie agombee 2025, mipoyoyo tu nyieWanaona rais mama,makamu hajui kuongea ni mpole,Wazir mkuu msemaji-semaji tuu sio mtendaji... kunawatu wanachoweza zaidi nikuchonga nywele na kuongea kiukiongozi lkn nikama walimu wa darasa tuu
CCM Hoiiiiiii!1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.
3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi
4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.
5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.
Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
We lofa tuu swala sio mama swala nimajizi na mengi nisisi wanaume...mtangulizi wamama mwenyewe alikuwa "sifu" ila alitaka aibe yeye mwenyewe. Mama Yuko imara tatizo matendaji majina na wananchi wasiojielewa.ulitaka mama awe rais? mwambie agombee 2025, mipoyoyo tu nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaona rais mama,makamu hajui kuongea ni mpole,Wazir mkuu msemaji-semaji tuu sio mtendaji... kunawatu wanachoweza zaidi nikuchonga nywele na kuongea kiukiongozi lkn nikama walimu wa darasa tuu
1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.
3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi
4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.
5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.
Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
Wanakula Keki ya Taifa.Dah! Mafisadi wameiteka nchi aisee.
Mama anahusika kwa 100%, panapokuwa na kitu kizuri anasifika yeye badala ya wasaidizi wake, panapokuwa na uchafu mnasema wasaidizi wake.We lofa tuu swala sio mama swala nimajizi na mengi nisisi wanaume...mtangulizi wamama mwenyewe alikuwa "sifu" ila alitaka aibe yeye mwenyewe. Mama Yuko imara tatizo matendaji majina na wananchi wasiojielewa.
Walimu walipaswa kuandamana kupinga wizi mkubwa huku shule ziko hoi nawatoto wanashinda njaa,hivyo hivyo madaktari,manesi nk.
Wananchi hamuwezi kupinga mafisadi mnachojua kumpigia kelele rais,Wewe umefanya Nini kukataa wizi mkubwa na utensaji mbovu
Na wewe amka kapige usizubae kulalamika hakutakusaidia lolote, inuka nenda kazipige!1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.
3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi
4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.
5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.
Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
sisi wana chato hatuna cha ku comment hapa1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.
3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi
4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.
5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.
Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
Katiba inasema Rais akifa Makamu wa Rais atashika urais kipindi chote. Ndicho kilichowapata vumilieni shindano iwaingie1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.
3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi
4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.
5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.
Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
Teh teh
Nchi inajiendea tu
Ova