Nchi imesimama soon inazimia

Nchi imesimama soon inazimia

1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.

2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.

3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi

4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.

5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.

Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
👣👣
 
Kufa wewe umfate Jiwe
 
Huyo jiwe wenu alitengeneza system yeyote ya kupambana na ufisadi? Ametunga sheria za kipumbavu za kumlinda yeye akaacha sheria za kumaliza ufisad afu mnamsifia?
Ni suala la muda hata wale WATUMISHI HEWA WATARUDI! HUWEZI KUMALIZA TATIZO BILA KUTENGENEZA CONTROL MECHANISM
Wezi ndio wanamlalamikia jiwe
 
Katiba inasema Rais akifa Makamu wa Rais atashika urais kipindi chote. Ndicho kilichowapata vumilieni shindano iwaingie
Hiyo ina ubaya gani. Mbona hata hiyo nchi mnayoiabudu (USA), katiba yao inasema akifariki raisi makamu wake anamalizia muda wake uliyobaki, na hivyo ndivyo ilivyo TZ. Hii ni kutokana na ukweli kuwa wananchi walichaguwa kiongozi wa chama, kwa hiyo akifariki chama kinaendelea kuwa chama tawala.
 
Mama anahusika kwa 100%, panapokuwa na kitu kizuri anasifika yeye badala ya wasaidizi wake, panapokuwa na uchafu mnasema wasaidizi wake.
Viongozi wote wa chini wanaangalia juu wanaiga tabia yako. Anafaidika kwa yote yanayoendelea Kwasasa.
Siku zote panapokuwa na matatizo anayetakiwa kulaumiwa ni kiongozi na kamwe si wasaidizi wake. Yeye ndiyo mwenye dhamana kuwachaguwa wasaidizi wanaoaminika, akichaguwa mijizi tutamlaumu kwa nini amechaguwa mijizi. Mama makosa yake ni pale aliposhauriwa na Mkwere kuwareudisha majambawazi na mafisadi kama Kinana. Kila mtu anajuwa upigaji wa Kinana kupitia meli zake zenye kufanya biashara bila kulipa kodi. Nchi ikishageuzwa kuwa "dynasty" hayo ndiyo tunayapata. Angalia teuzi zinazofuata koo. Angalia koo kama hizi: Kikwete, Makamba, Malima, Mwinyi, Karume, Ndejembi, Nnauye, n.k. Hivi TZ hakuna watu wengine zaidi ya hizo familia. Hao ni wale tuwajuwao, kuna wengine wako nafasi kubwa nyeti ambao hatuwajui!
 
1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.

2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.

3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi

4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.

5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.

Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
3. Nchi haitakiwi kwa watu kumuogopa kiongozi, bali kwa kuheshimu utawala wa sheria.
 
Hiyo ina ubaya gani. Mbona hata hiyo nchi mnayoiabudu (USA), katiba yao inasema akifariki raisi makamu wake anamalizia muda wake uliyobaki, na hivyo ndivyo ilivyo TZ. Hii ni kutokana na ukweli kuwa wananchi walichaguwa kiongozi wa chama, kwa hiyo akifariki chama kinaendelea kuwa chama tawala.
Tatizo la mama ni kujiandaa na 2025 badala ya kufanya kazi aliyo pewa
 
1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.

2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.

3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi

4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.

5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.

Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
Mkuu hiyo no 5 ndio inawaumiza wananchi. Uangalizi katika matumizi ya hawa watu yana kaupenyo kwa ubadilifu. Huyo no 5 yeye ni Local Government na budget yake anapewa na Central Government, ambaye nadhani hamwangali vyema kwenye matumizi akiamini Local Government atamwangalia na hatimaye no 5 anajikuta hana msimamizi madhubuti na hivyo ku-take advantage ya kuwa na matumizi ambayo haya endani na bajeti yake maana hana msimamizi; Serikali mbili zinategeana.
,
 
Halmashauri ni chaka la majambazi, imagine wanakusanya ushuru wa choo lakini choo hakina sabuni wala maji, na kichafu, koki zimekufa, masink yamechakaa .. pesa wanapeleka wapi wakati lengo la kuweka ushuru ni kupata fedha za kuendesha choo.
 
Back
Top Bottom