Kwa uchaguzi upi? Huu wa ccm na vibaraka wake?Kwa sasa hatuna namna ila 2025 atupishe
Leta ulinganisho na Bajeti ya yule Mwendazake tuone.1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.
3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi
4.Hakuna miradi mipya ya maendeleo na waliyo ikuta inasuasua sana.
5. Kwenye halmashauri pesa zote zinaishia kwenye posho.
Tutafika 2025 tumechoka sana na tukiongezewa hadi 2030 tukufe kabisa..
Mbona sijaona alichojenga? Unamlinganisha na nani?Pamoja na mabaya yake, jiwe kaijenga sana TZ
Bibi kapewa kiatu oversize, mule CCM kuna vijamaa vijanjajanja sana mule. Vinapiga, vinatukanwa stupid halafu vinapiga tena 😁.Mama anahusika kwa 100%, panapokuwa na kitu kizuri anasifika yeye badala ya wasaidizi wake, panapokuwa na uchafu mnasema wasaidizi wake.
Kama hujaona alicho jenga Magufuli basi una matatizo..Mbona sijaona alichojenga? Unamlinganisha na nani?View attachment 2589091
Nchi karibu inazima ndio maana Kikwete anaomba msaada wa wananchi kumuombea Chief Hangaya anusuruke na mafuriko yanayoweza kumsomba!! Utabiri wa blai Ndugai hauko mbali ; we anagalia tu jirani zetu hapo Zambia madeni yanavyo wapeleka puta!! Waswahilini wanasema "UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA NA WEWE ANZA KUJITIA MAJI UJUE ZAMU YAKO INAKUJA"!1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.