ngw'anangwa una lako jambo dhidi ya JK. Jakaya nchi haijamshinda. Ameleta mabadiliko mengi ya kiuchumi na demokrasia imepanuka katika kipindi chake. Uhuru wa vyombo vya habari umekuwa na ndio maana mpo hapa JF mnaandika. JK is one of the most successiful and fantastic african leaders ever happen. Ana historia kubwa ndani na nje ya nchi. Nashangaa eti mnapomfananisha SLAA na JK. Hata Prof Lipumba alisema kuwa kama SLAA ni kichuguu basi yeye ni mlima kilimanjaro. JK oyee! Tujengee mabarabara mwanangu watanyamaza tu hawa. Wewe fanya kazi kwa mujibu wa sheria. Sisi tupo pamoja nawe. Hizi ni zama zako fanya kazi. Watanzania wengi wanakuunga mkono isipokuwa mafisadi wachache wasiojua siasa.
Red: Hapo vipi, baada ya uchaguzi nani kati ya SLAA na LIPUMBA alionekana kichuguu?
Green: watanzania wengi ni mil. 5 alizoambulia?
Pamoja na kuchakachua alipata hizo, asingechakachua? Angepata less than Lipumba!!