Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Katika kutoa taarifa za makusanyo pale Morogoro Msemaji wa Serikali amesema Serikali kwa mwezi Septemba mwaka huu serikali imekusanya Tilion 1 na zaidi cha ajabu Wastaafu wana miezi 11 wengine 12 hawajalipwa MAFAO acha pensheni MAFAO, je, kuna ukweli wowote wa makusanyo haya au kuna kitu nyuma ya pazia,
Kama kweli Tanzania inaweza ikakusanya Trilioni 1 na zaidi na isiwe na uwezo wa Kuwalipa wastaafu MAFAO yao kila mwezi wanapokuwa wamestaafu hii maana yake nini. Leo tarehe 2 mwezi 10 Benki hamna MAFAO ya wastaafu ambao sasa wamekaa miezi 12 wakisubiria Je serikali inataarifa ya hawa wastaafu kwamba wanakula nini na familia zao au wanaishije. Basi niishauri serikali iseme tu kwamba hawana fedha za kulipa MAFAO kwa wastaafu ambao wameshakaa sasa miezi 12 na kushuka chini.
Leo nimeona scout wemegawiwa pesa za soda na nauli, nadhani Wastaafu wangekuwa wanalipwa fedha zao kila mwezi kama MAFAO fedha hisi za kugawa bure kama zawadi kwa wana michezo kama wa Taifa stars na ma scout nadhani zisingekuwa zinapatikana tuwe wakweli.
Kwako Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Jenista Mhagama na Waziri mnao wakilisha watumishi wanao staafu kuna umuhimu wenu kujitafakari kwa kuonyesha kujali maslahi yenu binafsi na kuingiza siasa kwenye swala hili. Mungu anawaona