Sales man
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 570
- 845
Mimi siisapoti CCM ila ni Mwafrica mwenye IQ kubwa Sana
Najiuliza na nacheka
Mange , Dangwa n.k hawa vilaza kweli wanaweza kukomboa nchi.!!!?
Mkiendele na huu ujinga wakuwasikiliza watu waliojikatia tamaa na wajinga mtakuja kupata shida ya Akili
Yule Mange kilaza aliyevujisha video ya prof Jay akiwa ICU ndio mnamuamini.