Mimi kilaza? Haya, nime google. Sabena hili hapa kutoka Wikipedia:Acha ukilaza wewe, nenda Google utafute SABENA ndio utajua
wameagiza zile boeing 777 nasikia 5 zinakujakwani ATC ina ndege ngapi?
Uingereza hawana ndege ya rais/waziri mkuu. Viongozi wanatumia ndege ya BIASHARA (British Airways) ambalo ni shirika la umma
sijui kama zanzibar, somalia, south sudan, zina ndege ya rais.... lakini nadhani the question here had a special meaning kuliko unavyojaribu kuleta ushabiki kivuzi
:Uingereza hawana ndege ya rais/waziri mkuu. Viongozi wanatumia ndege ya BIASHARA (British Airways) ambalo ni shirika la umma
wameagiza zile boeing 777 nasikia 5 zinakuja
American Airline!Obama ana ndege. Marekani ina ndege?
Tanganyika wameziua , hawana hata haya hawa watanganyika , zanzibar ndio nchi ya kwanza kuwa na tv kwenye huu ukanda lakini sasa hivi angalia kulivyo... mimi lawama zote nawatupia hawa wazanzibar wenyewe...kwa nini wanalala lala???? watakuja kuuzwa siku moja hapaZenji walikuwa wa kwanza kuwa na ndege ya rais kabla ya TZ bara. Alinunua A. Jumbe kama sikosei.
ni kweli kaka... sisi tumeua hata relizetu wakati watu walikuwa haawapandi bure sisi ile pesa badala ya kuitumia kuboresha sijui tunaipeleka wapi aiseeSaint Ivuga; Tanzania hatuna viongozi wabunifu tofauti na kenya ambako wao wanabuni miradi kwa ajili ya kuzalisha mali, wabongo wanabuni miradi ya kushibisha familia zao.
Kazi kweli kweli.Badilisha title isomeke hivi:
Nchi haina Rais ila Ndege ina rais
wameagiza zile boeing 777 nasikia 5 zinakuja