Nchi haina hata mafuta watu mnashangilia

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,888
Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.

leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.

Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
 
Tuna hakiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda Nimepita mpanda hakuna mafuta leo nimefika sumbawanga Hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheri moja watu mnagombania mafuta.
Kuna kikundi kidogo kina nufaika sn na matatizo ya wananchi ndiyo ambacho kinataka Rais aongezewe muda wa kutawala.
 
Tuna hakiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda Nimepita mpanda hakuna mafuta leo nimefika sumbawanga Hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheri moja watu mnagombania mafuta.
Si kwamba mafuta hayapo Bali wamiliki weng wanataka faida kubwa kuliko ile iliyotangazwa na ewura wao wanataka Bei ile ile wakat soko la dunia wese limeshuka na mafuta yako mengi tu mbona.
 
Baadhi ya vituo vya mafuta vina mgomo juu ya bei elekezi. Ndiyo maana mnafungwa kijingajinga. Aliyekwambia nchi haina mafuta nani?
 
Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani
Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande

kusema Nchi haina mafuta huo ni urongo

Wananchi wanunue na kuficha mpaka yaishe kwenye petrol station! Acha utetezi wa kijinga. Hizi ngonjera za kitoto zilikuwa pia kwenye sukari.
 
Baadhi ya vituo vya mafuta vina mgomo juu ya bei elekezi. Ndiyo maana mnafungwa kijingajinga. Aliyekwambia nchi haina mafuta nani?

Naamin watendaji wa serikali watafanya ukaguzi wa kushtukiza kwa wale wauzaji wakubwa wa mafuta... Kama ukaguzi wa sukari ulivyofanyika...
 
Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.

leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.

Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.

Mmeipenda wenyewe
 
Wananchi wanunue na kuficha mpaka yaishe kwenye petrol station! Acha utetezi wa kijinga. Hizi ngonjera za kitoto zilikuwa pia kwenye sukari.

Serikali kupitia TPDC wanamipango ya kufungua vituo vya mafuta Kila wilaya...
 
Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.

Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
Sioni hata faida ya kuwa na gari
 
Tanga napo ni shida vituo vingi ukienda mafuta hakuna, Mafuta Hakuna lakini unaona usiku magari ya lake oil yana jaza mafuta ktk vituo vyao ukienda asubuhi unaambiwa mafuta hakuna, ukiwauliza baadhi ya wafanyakazi wanasema hapa ni hadi tarehe moja ndio tutaanza kuuza huu ni ujinga sana, naiomba serikali ichukue hatua Kali sana kwa vituo vya mafuta.
 
Ngoja ifike tarehe moja waambiwe lita 1300 ndio akili itawakaa sawa hao

Back
Top Bottom