fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,542
Hatujinyongi hatunywi sumu....Mmeipenda wenyewe
Hatujinyongi hatunywi sumu....Mmeipenda wenyewe
kweli bhana...mm kuna boss wangu kaja sumbawanga juzi kakosa mafuta...ikabdi aje huku kjjn kujaza..usije kuta kuna kamchezo kanachezwa ili kupandisha bei yake..maana kwa sasa bei ni chee hatarTuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.
Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Tatizo siyo bei elekezi huwezi kuwa na bei elekezi kwenye bidhaa ambayo haipoTunabembelezana sana nchi hii, serikali iwafutie leseni wapuuzi wote wanaogoma kuuza mafuta kwa bei elekezi.
Isiishie hapo, itaifishwe hivyo vituo na kuwapa wafanyabishara walio tayari kuuza mafuta.
Hivi kila kituo cha mafuta kinaitwa shellTuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.
Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Kabisa,tena washtakiwe kwa kuhujumu uchumi.wafanya biashara wakubwa wa mafuta wanapenda kuumiza walaji.Tunabembelezana sana nchi hii, serikali iwafutie leseni wapuuzi wote wanaogoma kuuza mafuta kwa bei elekezi.
Isiishie hapo, itaifishwe hivyo vituo na kuwapa wafanyabishara walio tayari kuuza mafuta.
Naona bei imepanda senti kadhaa kama siyo shilingi.Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.
Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
Kigoma ipi hiyo isiyo na mafuta!!??Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.
Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Mtama UliheheKigoma ipi hiyo isiyo na mafuta!!??
ha..haa..haaa shell walishaondoka japo wanarudi kwa mbali lakini kwa sasa hawauzi mafuta! ni kama short pens kuitwa kaptura buktaHivi kila kituo cha mafuta kinaitwa shell
Bahati mbaya ni kwamba Baiskeli unayo tumia haitumii mafuta zaidi ya nguvu yako ukishiba mihogo ya njiani..wenye magari hatutunzi mafuta nyumbani yanakuwa kwenye Tank ya Gari.Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.
Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
Sio Kigoma tu Hata Morogoro ni vituo vitatu tu vinauza mafuta wengine wote wamefunga nakudai hawana mafutaKigoma ipi hiyo isiyo na mafuta!!??
Umejitahidi, masaa 10 like 1 na hii yangu ya pilikusema kweli kati ya vitu ambavyo nampongeza sana MAGUFULI ni hili suala la mafuta na EWURA. hakuna kipindi ambapo watumia nishati ya mafuta tumeona serikali inafanya kazi kama kipindi hiki. yaani zamani EWURA ilikuwa kama kichaka cha WANYANG'ANYI, bei ikishuka hata mwezi mzima uarabuni Tanzania haishuki. bei ikipanda leo uarabuni basi kesho tanzania napo inapanda. Ntatoa mfano. kuna kipindi katika awamu iliyopita bei ya petrol katika soko la dunia ilishuka mpaka dola 30 kwa pipa ( yaani kama Sh. 350 kwa lita) lakini Tanzania bei ilikuwa zaidi ya sh.1900 kwa lita, unaenda nchi jirani bei iko chini kuliko tz na mafuta wanachukua bandari ya Dar , afu EWURA hawana hata aibu wanatangaza bei kubwa. vitu vingine MAGUFULI anastahili pongezi kwa kweli, hawa watu wametuumiza sana, unatoa elfu ishirini kwa machungu unapta lita 8 tu !!


Kwa taarifa yako biashara ya mafuta inanamilikiwa na viongozi, wanachama na wafadhili wa CCMBei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.
Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
kuna Hatatari Ya Kuja Kutokea Maafa Kwenye Vituo Vya MafutaHata huko ruvuma mbinga nako nasikia hakuna mafuta watu wanagombania foleni hadi wanaumizana na jana nasikia wengine walilazwa hospitali baada ya kukanyagana