Nchi haina hata mafuta watu mnashangilia

Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.

leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.

Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Kuna watu wanajua kuwafanya wengine mazezeta wa kisiasa kuweni makini wapendwa, naona wengi mmeshapoteza akili zenu na kufika hatua ya kushukuru pale mnapodhulumiwa.
 
Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.

Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
Nimepita kule Dodoma vituo karibu vyote haviuzi mafuta isipokiwa Puma tu. Nasema haviuzi na siyo kweli kwamba havina mafuta. Leo ni siku ya Jumanne tarehe 30/6/2020. Kesho ni tarehe Mosi Julai 2020 na ni Jumatano ya kwanza ya mwezi ambayo EWURA hutangaza bei mpya za mafuta. Nasubiri kesho ili niwaeleze nini kitajiri kuhusu mafuta kupotea ghafla.
 
Tunabembelezana sana nchi hii, serikali iwafutie leseni wapuuzi wote wanaogoma kuuza mafuta kwa bei elekezi.

Isiishie hapo, itaifishwe hivyo vituo na kuwapa wafanyabishara walio tayari kuuza mafuta.
TPDC inajipanga kuanza biashara ya mafuta. Tusubiri tuone hawa manyang`au watafanya nini tena.
 
Ni kweli mkuu Tanzania mpaka sasa hatuna Mafuta,ila tumefanikiwa kuwa na gesi pekee Mafuta bado tunaagiza.
 
Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.

Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
Hizo ni sababu za kitoto mnoo. sishangai kama uliiba mitihani wewe. inawezekana vipi mtu ahifadhi mafuta kwenye madumu ili iweje? ndo maana mlipita kwenye maduka ya watu na kupora sukari zao ati wanauza bei za juu. bei ya juu unazalisha wewe?
principal za uchumi za kishamba kabisa
 
Ni kweli mkuu Tanzania mpaka sasa hatuna Mafuta,ila tumefanikiwa kuwa na gesi pekee Mafuta bado tunaagiza.
wakati wa kusaini miswada ya mafuta na gesi kwa dharura pale bungeni walikuwepo wazungu wengi wakishudia namna miccm ilivyokuwa inashambulia wenzao wa upinzani leo wanajiita wazalendo.
 
Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.

leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.

Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Kote huko ulikuwa unafikaje bila ya Mafuta? Au ulikuwa unatimia baiskeli? Acha uzandiki
 
Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.

leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.

Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Mkuu

Hakuna dollar hata mia hapo BOT.

Mchizi wangu alikua anatuma TT ulaya,wiki sasa ipo foleni!

Leo wateja wa BancABC wametumiwa meseji kua kutakua hakuna huduma ya TT kuanzia tarehe 1 July.

Mawe hana dollar ya kuagiza mafutaaaaa!

Thats the bottomline!

Na hakuna nchi ya kumsaidia vi-dollar,kila nchi ipo serious na Covid-19!

Aisee huyu jamaa ni failure!
 
We jamaa kimeo sana yaani kila siku habari zako ni za kuambiwa embu jiongeze siku moja moja
 
K
Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.

leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.

Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Kuna chama hakina hata ofisi lakini wanachama na wapenzi wake wanaamini ndicho chama kinachoweza kuwaletea maendeleo Watanzania.
 
Nimepita kule Dodoma vituo karibu vyote haviuzi mafuta isipokiwa Puma tu. Nasema haviuzi na siyo kweli kwamba havina mafuta. Leo ni siku ya Jumanne tarehe 30/6/2020. Kesho ni tarehe Mosi Julai 2020 na ni Jumatano ya kwanza ya mwezi ambayo EWURA hutangaza bei mpya za mafuta. Nasubiri kesho ili niwaeleze nini kitajiri kuhusu mafuta kupotea ghafla.
Kama nilivyoahidi jana, leo nimepita vituo ambavyo jana havikuwa vikiuza mafuta. Nimekuta wanauza mafuta kwa sana. Nadhani nyote mnaona nini kimetokea. Wanaficha mafuta kusubiri mabadiliko ya bei. Wote hawa ni wahujumu uchumi. EWURA fuatilieni suala hili kwa makini.
 
Wananchi wanunue na kuficha mpaka yaishe kwenye petrol station! Acha utetezi wa kijinga. Hizi ngonjera za kitoto zilikuwa pia kwenye sukari.
Hawa jamaa wana porojo nyingi Sana.
 
Mkuu

Hakuna dollar hata mia hapo BOT.

Mchizi wangu alikua anatuma TT ulaya,wiki sasa ipo foleni!

Leo wateja wa BancABC wametumiwa meseji kua kutakua hakuna huduma ya TT kuanzia tarehe 1 July.

Mawe hana dollar ya kuagiza mafutaaaaa!

Thats the bottomline!

Na hakuna nchi ya kumsaidia vi-dollar,kila nchi ipo serious na Covid-19!

Aisee huyu jamaa ni failure!

Wacha wee, dah jamaa umejitahidi kuelezeaa. Aisee unayajua mambo ya serekalii. Kwahiyo Mawe ndio hua anaagiza mafuta kwa watu wote nchini eeh??
 
Back
Top Bottom