Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Ooohh..!!
Watu wamenunaaa..!! 😨😥👽👽🔥🙇🙇

Pigeni simu, ulizeni kuna nini...? Mpigie yeyote ndugu, jamaa, rafiki, jirani..!! Wengii wamenunaaaa...!!

Aiseeee... kuna nini hakuna FURAHA KABISA...!! Mpaka watoto wa shule ya Msingi wamenunaaaa...😨😷

🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶

Ukawa imekuwa ukiwaaa
 
nuneni sana na sisi hatuwabembelezeni

Sasa... mimi sielewi, mtaani wanasema Watanzania wameingia CHOO CHA KIKE...!!😷😷

Hata sielewi.. hii simanzi ya nini..? Nimezoea kuna Watanzania wanafuraha, tabasamuz bashasha, maneno matamu, vicheko.. hata kama wana shida, ila hii inamenishangaza..

Kila mtu kashika tama, kichwa..🙆🙆🙆🙆🙆🙆

Kuna nini jamani..!!?
 
Acheni kuleta propaganda zenu hapa za kijinga, wengi waliomchagua Dk Magufuli wanafuraha, ninyi watu wa Dar, Arusha, Mbeya na Moshi mjini ndio hamna furaha. Mikoa mingine mingi iliyobakia watu wanafuraha sana nikiwemo mimi na wengine wengi. Dar sio Tanzania nzima, Dar sehemu tu ya Tanzania. Kama hamna furaha, basi kunyweni sumu ama chukueni kamba mkajinyonge. Wapumbavu wakubwa ninyi. Tumemchagua Magufuli na sasa ni kazi tu.

Mimi Siko Dar Wala Arusha, Lakin Watu Hawana Raha Huku Mtwara. Kama Msiba Kwa Taifa, Ila Just Wait "Karma" Inakuja Na Time Will Tell. Jana Niliona Akina Mama Tu Wakishangilia Matokeo, Nadhani Mungu Alishawalaani Tayari Kuwa Watazaa Kwa Uchungu, Na Ccm Imewaongezea Maumivu Ya Kujinunulia Vifaa Vya Uzazi Na Kulala Wazaz 6 Kitanda Kimoja.
 
taifa limetengeneza ufa

Taifa la Tz limepata UFA..?

Ngoja na GOOGLE sasa hivi.. maana hapa sipati majibu bado...!! Sipendi kabisa kuona hali hii, FURAHA kama kitu cha KUNUNUA sasa Tz..mmhh👽😏😡😡
 
Naambiwa eti FURAHA na MIOYO ya Watanzania wengi imeibiwa..

Jamani kunani..? 🙆🙆🙆
 
Ooohh..!!
Watu wamenunaaa..!! 

Pigeni simu, ulizeni kuna nini...? Mpigie yeyote ndugu, jamaa, rafiki, jirani..!! Wengii wamenunaaaa...!!

Aiseeee... kuna nini hakuna FURAHA KABISA...!! Mpaka watoto wa shule ya Msingi wamenunaaaa...



Mbona unajisemesha mwenyewe na kujijibu mwenyewe?
 
Siku kama ya leo, naikumbuka tarehe 14/15 mwezi wa 10 mwaka 1999. Ni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa - Nyerere kilichotokea ughaibuni. Watanzania ilikuwa kila mmoja wetu tulipokutana njiani nyuso zetu ziligubikwa na huzuni na majonzi. Jana tarehe 29 na leo tarehe 30 baada ya Magufuli kutangazwa mshindi wa Urais, tizama nyuso za Watanzania utabaini hali ya huzuni iliyo ndani ya nafsi zao. Nilitegemea kuwe na shamrashamra za ushindi kama wakati mzee wa ari mpya, kasi mpya lakini badala yake hata waliohudhuria ukumbini leo makofi ya kushangilia ushindi yalikuwa yakiombwa na mc. TUTAFAKARI JAMANI. NI NEEMA YA MUNGU TU IWEZAYO KUTUVUSHA NA VINGINEVYO MACHOZI YETU YAFIKE MIGUUNI KWA MUNGU
 
Ok... naanza kuelewa.. kwa HIYO WATU WENGIII wamenunaa sbb ya MAGUFULI KUTEULIWA..??

Basi hakuwa CHAGUO LA WENGI...!!

Ngoja tusali kwa KUFUNGA... majibu yatakuja tu..!!! Ni Novena sasa..!! Kama kuna HAKI YA WATU IMEPORWA... MUNGU ATAJIBU..!! HARAKA..!!

In Jesus name..!!
 
Of course, mimi nipo Sinza. Hakuna shamra shamra. Watu wamenuna. Kuna muda nilienda Magomeni Kagera. Huko wapo wachache wanaoshangilia.
 
Amani iwe kwenu wakuu
Ndio hivyo kama kichwa kinavyoeleza yaani kila nikiwasha TV ni habari tu za uchaguzi na CCM......aaaaargh......
Watupe mda bwana taratibu sindano itaingia tu....
 
Back
Top Bottom