Mambo ya kibongo Bwana. Unawezaje kuipima nchi iliyo na furaha? Watz ni waelewa sana wameshajua kuwa wapo ktk kipindi cha hapa kazi tu. Ndo maana wapo bizzzzy na kazi tu. Wewe endelea kuzunguka uliangalia waliokuwa wakidhan watakaa nyumbani wakisubiri utajirisho. Amka, zinduka fanya kazi. Ndio masaaa yake. Starehe na kuchekacheka baadae. HAPA KAZI TU!