Lofa wewe.
Jamaa huyo hatukumchagua, amechaguliwa na Mr Dhaifu, na Lord Lofa! Sijui ataongozaje mtu wa namna hii, ambaye "ushindi" wake, umepokewa kama msiba mkubwa wa Kitaifa! SHAME!!!!!!!!
Wapiga kelele na wanywa viroba wamenyooshwa...what do you expect? Wastaarabu wamechukua nchi
Bsrca akiifunga simba watashangilia?
taifa limetengeneza ufaOoohh..!!
Watu wamenunaaa..!! 
Pigeni simu, ulizeni kuna nini...? Mpigie yeyote ndugu, jamaa, rafiki, jirani..!! Wengii wamenunaaaa...!!
Aiseeee... kuna nini hakuna FURAHA KABISA...!! Mpaka watoto wa shule ya Msingi wamenunaaaa...

Daaaaah tumenuna kweli
daaaaah tumenuna kweli
Hahahahahah,ni noumaaa! Hata mkinuna hapa kazi tu mazakakazzz!!!
Wakaskazini na wasio wakatoliki lazima wazomewe
Habari wadau.
Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.
Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.
Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.
Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.