Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Itabaki hivyo lowassa alikua ndani ya mioyo yetu" na atabaki no matter wat. Kitaa kumetuliaa hom ndio usisema mshua tu ndio anabonga bonga"tunamuangalia tu. Lets hope ipo siku we r young..

Dr. Slaa mlimwita Rais wa mioyo ya Watanzania dakika za mwisho mkamsaliti.
 
We vipi, kwani huko mtaani ambapo uhalisia wa huzuni unaonekana nako ni social media!? Bisheni tu kwa ubabe wenu lakini vyombo vya habari jana vimeonyesha sehemu mbalimbali tz watu wakiwa na huzuni. Kwa jana tv zilionysha furaha ni Geita, sijui kwingine.

Acha kelele wewe tv gani zilionesha labda ITV maana hii ndio ilikuwa sambamba na mafisadi.
 
Upo sahihi kabisaaa,Arusha sio ile tuloizoea pamepoza sana,mtaani kwetu ndo kabisaaa
 
Haiwezi kuwa na furaha wakati watu tunaotaka elimu bure tumenyongwa haki yetu
 
Mimi nawashauri wana kaskazini jengeni IKULU yenu huko kweny milima thena akae rais wenu WA ukawa muwe mnajifaraji kidog
 
Hii nchi Ina wenyewe, na wenye nchi ni CCM, haakuna cha haki Wala sheria ni dola inatawala na ubabe...



Lowasa asitegemee any change.... CCM ikianguka ni aibu kwa wengi wapo watakao kimbia nchi na hii haitokaa itokee

Nchi Ina wenyewe wamekaa kando kusimamia interest zao haziguswi na yeyote Yule....

Mtanzania wa 21st Century will get up from his bed now to simply understand he can only determine his only future...and future of those related to him... This country is for few...keep paying tax the same tax feeds other peoples family for generations till Jehovah come down to us again....



Kila mtanzania ale kwa urefu wa kamba yake.....Basi.



Democrasia iliyo huru ni ndoto

Sikupiga kura mwaka huu na sitokaa nipoteze Muda eti nikapige kura.....

Shamra Shamra za furaha zilizoonyeshwa Jana kwenye TV Mara elfu kumi zisingeonyeshwa ni wanawake bibi na watoto, kwa ufupi ni Aibu.
Aibu kubwa


Tanzania Oye
 
Binafsi nimesoma kwa shida sana, yaani nikikumbuka safari yangu ya maisha ya kielimu naumiaga sana, roho inaniumaga sana, leo amejitokeza mtu anaetaka kusomesha watu bure wachache wanafanyia fitina bila kujali ni vijana wangapi wanahangaika na maisha kwakukosa pesa ya kula tu sembuse shule!! Watanzania sisi ni maskini sana, Asilimia kubwa ni watu wa tabaka la chini kabisa, tumeumizwa sana!! Ila ipo siku tutakaambiwa hii ni Nyekundu tutasema hapana hii ni Njano!!

true say bro
 
Mimi hata upinzani ungefutwa kabisa kwenye hii nchi kamwe sitoipenda ccm mpaka yesu anarudi!!!!!!
 
Kuna dude la CCM limekuja linaniuliza eti vipi , nikamwambie naomba usinitafitie kesi, nitakufumua nikafie jela.

Alafu nisikie pumbavu lolote linakuja kuomba pesa ya kununua mbegu za shamba eti nitakupa mazao yakikomaa, pumbavu, nenda kapige push up Lumumba upate pesa.

Hivi kumbe lowasa angetununulia hadi mbegu eeh!
 
Habari wadau.

Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.

Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.

Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.

Kweli kabisa hata mimi leo nimejikuta sina amani ya roho sijui kesho itakuwa vipi.

mtoa mada upo sahihi kabisa. ...taft ambazo zimewahi fanywa hapo juzi kati zinaonesha tzn ni nchi ya 113 ambayo watu wake hawana furaha....nahis tuna amani ya nje lkn ndani ya mioyo ya watu hakuna amani

Mkuu kweli.

Ukweli ni kwamba magufuli ni rais ktk siasa.Na lowasa ni rais ktk nyoyo za watanzania

Hakuna amani kabisa. Namwona hata Salim Kikeke wa Bbc akitangaza hayupo kwenye mudi yake kabisa. ndiyo matunda ya uoga wetu watz

Inauma sana l

Nilikuwa Nazi 1 DSM ,mji UK kimya kabisa

Kweli mpaka maofisini tena ofisi nzito furaha zilianza kutoweka tangu Matokeo ya wizi yakijumlishwa. Ni majonzi.

Hata huku ni kimyaaaaaa jamani raisi hata watu hawafurahiiii tatizo sio maguful tatizo ni ccm

Arusha nikama tumetangaziwa msiba.

Kuna dude la CCM limekuja linaniuliza eti vipi , nikamwambie naomba usinitafitie kesi, nitakufumua nikafie jela.

Alafu nisikie pumbavu lolote linakuja kuomba pesa ya kununua mbegu za shamba eti nitakupa mazao yakikomaa, pumbavu, nenda kapige push up Lumumba upate pesa.

Nilikuwa maeneo ya Mwenge nilichokiona nimebaki mdomo wazi!watu walibaki kimya kwa mshangao!hakuna aliyeshangilia!Magufuli una kazi kubwa ya kurudisha imani kwa watanzania!

hata mbeya nimeona kimya tu....ingawa kuna kikundi kidogo ambacho watu walikuwa kama wanakishangaa tu kwa kufurahia matokeo ya Magufuli kuwa Rais, nimeona kidogo pale Lumumba na Chato kwa Mheshimiwa. Ila pande zingine nyingi watu wapo tu hawana jipya, inaonekana wamekata tamaa na hawaoni kama kuna matumaini...nimeamini EL alipendwa sana, yaani hapa JPM ajitahidi tu kuwaridhisha watu....yaani hakuna shangwe nchi nzima...why??? wajitafakari.

Mbeya ni kimyaaa

Ni kama tumefiwa na baba wa taifa!

Yaani ni shida. Maofisini, Mitaani na hata ukipanda daladala unaona kila mtu kimyaa. Nyuso hazina furaha kabisaaa. Yaani ni zaidi ya msiba.

Acheni kuleta propaganda zenu hapa za kijinga, wengi waliomchagua Dk Magufuli wanafuraha, ninyi watu wa Dar, Arusha, Mbeya na Moshi mjini ndio hamna furaha. Mikoa mingine mingi iliyobakia watu wanafuraha sana nikiwemo mimi na wengine wengi. Dar sio Tanzania nzima, Dar sehemu tu ya Tanzania. Kama hamna furaha, basi kunyweni sumu ama chukueni kamba mkajinyonge. Wapumbavu wakubwa ninyi. Tumemchagua Magufuli na sasa ni kazi tu.
 
Tangu juzi bendera katika Moyo wangu inapepea nusu mlingoti !!!!
 
Nimepita baadhi ya maeneo ya jiji la Mbeya, ile furaha tuliyoizowea haipo kabisa. Hata waliovaa kofia za CCM wenyewe hawana furaha kwani hakuna wa kufurahi nao. Kweli huu ni msiba kwa Taifa la Watanzania.
 
Nimepita baadhi ya maeneo ya jiji la Mbeya, ile furaha tuliyoizowea haipo kabisa. Hata waliovaa kofia za CCM wenyewe hawana furaha kwani hakuna wa kufurahi nao. Kweli huu ni msiba kwa Taifa la Watanzania.

Viloba hakuna tena vya bure furaha itatoka wapi! Tumezowea kuwa steam muda wote Sasa tufanyaje tupo hangover sn Sasa cjui itakuwaje?
 
Kila mahali pamepoa sna, Huku Tanga mjini ndiyo usiseme
 
Daah kwel...mm niko kinondoni...yaan hata miziki haisikikii...watu wapo kimyaa...kila mtu kama kafiwa miyon mwetu
 
Watu 75% ni kama msiba vile...!!!

MASIKITIKO TUPU...!! JK anatoa vijimbe tu, taarab tupu anaongea leo.. yaani hii aibu ya millenium..!!😨😨😨
 
Mimi cna amani ni kama nimefiwa na mtu wa muhim sana katika maisha yanguu
 
Back
Top Bottom