Nafanya kazi kwenye taasisi ya kikatoliki yenye asilimia 95 ya wakatoliki na kati ya hao walioshangilia ushindi wa magufuli ni asilimia 5. By the way mimi ni mtu wa Mwanza na nimehuzunika haswa!
muhuzunike mfurahi Magufuli rais subirini 2025,uenda mtafurahi