Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Umesema ukweli mkuu. Magufuli anapaswa afanye kazi kwa bidii arudishe furaha zetu. Anayo nafasi ya kupendwa hata na sisi tulikuwa washabiki wa mabadiliko kama kweli ataleta mabadiliko maana wengi tunaamini tatizo la nchi hii sio kiongozi bora.. Tatizo ni CCM. magufuli anayo nafasi ya kutufanya tujione kuwa tuliaminishwa vibaya. Otherwise hii itakuwa safari ya mwisho ya CCM.
Binadamu huwezi furahisha wote, happiness is a choice of an individual, if you forfeit it, it reciprocates!
 
Ok... naanza kuelewa.. kwa HIYO WATU WENGIII wamenunaa sbb ya MAGUFULI KUTEULIWA..??

Basi hakuwa CHAGUO LA WENGI...!!

Ngoja tusali kwa KUFUNGA... majibu yatakuja tu..!!! Ni Novena sasa..!! Kama kuna HAKI YA WATU IMEPORWA... MUNGU ATAJIBU..!! HARAKA..!!

In Jesus name..!!

Amen!

Lakini haina maana,wanataka waone damu kidogo kwanza ndio wabadilishe mawazo
 
...Rais wakuwekwa na 'system' wanaoshangilia ma zombi tu..
 
Hunishindi aisee imebidi niagalie movie tu keo. Toka ile jtatu walipoanza upuzi2 wao nikaanza kukosa ladha. Leo asbh kufungua redio nakuta uzi ule2 nimekasirika nikafungilia mbali nikiona wananipigia makelele tu. Saa hizi nakula movie tu sitaki ht kusikia nn kinaendelea huko nje. Na kesho ndio nitashinda ndani kutwa na movie zangu mwenye kutaka kuniunga mkono karibu tuangalie mario puzo stephen king 007 pistol scaramanga from Russia with love wrweeee ni tamu kukiko kuangalia au kusikiliza daylight robbers. Eti anasali????
 
Habari wadau.

Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.

Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.

Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.
kama huna furaha kale marimao maidhs yataendelea kama kawaida
 
Jamaa huyo hatukumchagua, amechaguliwa na Mr Dhaifu, na Lord Lofa! Sijui ataongozaje mtu wa namna hii, ambaye "ushindi" wake, umepokewa kama msiba mkubwa wa Kitaifa! SHAME!!!!!!!!

Thanks
 
Ushindi wa bao la mkono nao ni wa kushangilia?? Magufuli mwenyewe hana furaha....

Wewe upo Burundi?Furaha ipo sema mashabiki wa CCM ni waungwana,wataratibu na wengi wa huruma.Kwa mihemuko waliyokuwa nayo wafuasi wa Lowasa,CCM nao wakishangılıa kwa mihemuko km UKAWA hautakuwa ungwana huo.
 
bora nyie mie hata tv nimetoa mezani nikafungia kabatini. JF ndo faraja yangu.
 
Asa bobu umemnunia nani?

Hii imeniacha hoi kweli, walioshinda wanaona aibu kushangilia, walioshindwa hawana raha kabisa. Yaani inakuwa kama mwanamke kalazimishwa na wazazi kuolewa na mwanaume asiyempenda. Inanikumbusha wimbo wa marijani siku ya harusi bwana anacheka mke uso umekunjana. Boooonge la sooo kulazimishwa kupendwa na wananchi wakati uwezo wa kuleta maendeleo ni zero.
 
Mtoa mada uko sawa kabisa hali imekuwa mbaya..hata biashara ya magazeti imedoda kabisa , Tv wakiweka tu habari za CCM watu wanazima..redio wakiongea tu habari za ccm watu wanabadilisha chanel...kwenye mabar ndiyo usiseme watu wanamaumivu makali hawataki hata kusikia hizo habari!!!

UKAWA wajilaumu wao wenyewe kwa ujinga wao, wangeibana sana ccm kwa swala la escrow, katiba mpya na ufisadi, na watz walikuwa na imani kubwa nao, gia ya angani ndo imeifikisha ukawa hapa-waliachana na ajenda ya rushwa na ufisadi, Dr.Makufuli kaitumia sana na ndo maana watu wamemwani sana kuliko Lowasa ambaye hakuwa msafi kabisa, waliamua kutumia pesa yake ili kupata nafasi ya urais-na imegonga mwamba.
 
Hii imeniacha hoi kweli, walioshinda wanaona aibu kushangilia, walioshindwa hawana raha kabisa. Yaani inakuwa kama mwanamke kalazimishwa na wazazi kuolewa na mwanaume asiyempenda. Inanikumbusha wimbo wa marijani siku ya harusi bwana anacheka mke uso umekunjana. Boooonge la sooo kulazimishwa kupendwa na wananchi wakati uwezo wa kuleta maendeleo ni zero.


Umegonga katikati... daah..!!

Hii ni kweli kabisaaaaaaaaa... siongezi neno...!!!
 
Yaani huyo msukuma hawezi ht kuintroduce mke ndio akukoseshe raha hivyo hebu amka huko. Yaani ameonesha ule ushamba wa kisukuma hasaaaa. Du aibu amewaaibisha wasukuma wote. LOL jamaa ---- kweli aisee
 
Mimi tangia Dr Slaa ajikate toka siasa za ukawa mudi ilikata kabisa na nilishafahamu nini kitatokea so nimezoea. Poleni ambao ndo mumeyanza haya majonzi.
 
Wakaskazini na wasio wakatoliki lazima wazomewe

Nafanya kazi kwenye taasisi ya kikatoliki yenye asilimia 95 ya wakatoliki na kati ya hao walioshangilia ushindi wa magufuli ni asilimia 5. By the way mimi ni mtu wa Mwanza na nimehuzunika haswa!
 
Wenye huzuni wanashauriwa kutafuta kamba za KUDU na mti ulio karibu!
 
Wape pole sana na usisahau kuwaambia tayari tinga tinga limetinga Ikulu ..kama wewe hukumpigia sie tulimpigia kwahiyo haitusumbui
 
Back
Top Bottom