Nchi gani hii?

Nchi gani hii?

Tuwape taifa stars
Sure, mie nadhani red meat zinawa intoxicate. Hii mambo haili chemical na imejaa natural rich proteins. Wachague mapishi tu. Haiwezekani wachezaji wa west africa wang'ae peke yao miaka yote kwenye ligi zenye mishahara ya juu.
 
nimewahi kula chura huko Mozambique bila kujijua na nilipogundua wale ni chura nilisikia kinyaa balaa....lakini nyama yake tamu kiaina
 
Kenya
288f69d0d3d6a08bd0b6f938eb08fea0.jpg
 
daaadek hivi vitu ndo mtanifanya nisisafiri aisee...! au ukienda nchi za watu unakuwa vegetarian tu!

Twin tuendelee kubaki Moshi.......hii sio kabisa.......Wayiii........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom