Hiki kitakuwa ni kilimo cha konokono..
China hawezi ikusanya kwa kutumia vyombo kama hivyo, yaani China ukibahatika kupewa chakula cha hiyo kitu, ufahamu kuwa wewe wamekuheshimu sana, kumbuka hiyo ni sea food ambayo ni ghali sana. Kuna kipindi nilifanya internship katika mji fulani unaitwa Jiian, siku ya kutukaribisha wakatwambia wataandaa sea food kwa heshima yetu, tulipoenda mezani hiyo kitu ilikuwa ni miongoni mwa chakula, meza ilikuwa ya kuzungusha na kupakua kile unapenda, niliepuka hiyo kitu. Hata hivyo, sikuwa na mood ya kula na nilikuwa nahisi kichefu chefu, mpaka leo sijawahi sahau ile siku.
Never on earthTatizo sisi tumewazoea kuwaona konokono katika hali yao ya utelezi fulani. Lkn hakuna mboga nzuri kama iyo kitu. Hapo Kenya umekua mradi mzuri sana kwa watu walioiona fursa. Mshana ukibahatika kula hii mboga,mbuzi na ndugu zake utawasahau.....
Ila nasikia baadhi wana mnyoo mmoja hatari sana ambao haufi hata akipikwaje

Mkuu, kwani hiyo kitu ikipikwa inawekwa kwenye kundi gani la chakula. Mimi huko nilikoikuta ilikuwa iko kwenye kundi la sea food na kilikuwa chakula gali sana, wanakula watu wenye pesa au unaandaliwa kwa heshima kama Mgeni, kiliandaliwa kwenye ajili yetu kama wageni, tulikuwa wanane kutoka nchi za Afrika tuliokuwa masomoni (internship) nchini nchina. Jamaa kutoka Morocco ndo alikifurahia, kesho yake tulimwambia Mratibu (Mwenyeji) kuwa hiyo kitu baadhi yetu sio utamaduni wetu. Walikuwa wanamwandalia Jamaa kutoka Morocco.Mkuu una uhakika hiyo ni sea food? Hembu angalia vyema jombaa
Hao watamu sana yaani ukishawachemsha haya magamba yao yanatoka hivyo inabaki steki laini ukiilost lazima ujing'ate kidole..
Hahahahaaa basi inabidi uwakute washapikwa lazima ujilambe yaani maini hayatii maguu hautotapika mkuuTaratibu basi tusije tukatapika wengine hapa
Ntwara ni nchi?Ntwara