Siri za nchi ni zipi (mambo ya aina gani)

Mfano wewe ni daktari bingwa ambae unaweza kuhudumia viongozi wakuu kadhaa wa taifa na unajua taarifa kadhaa juu ya afya zao na zinaweza kutumika ndani na nje ya nchi Kwa hira, hiyo ni Siri tayari vilevile katika ngazi ya usalama mnaweza mkawa mnachunguza sehemu Fulani na akatokea mmoja wenu akawataarifu mnaowachunguza hiyo tayari ni dosari aidha kiusalama,kiuchumi n.k.
Swala la utoaji Siri kitaifa sio lakubeza isipokuwa tu linatafsiriwa tofauti tu.
 
Mfano ni siri gani ya serikali imewahi kuvuja?
 
Siri ni kitu ambacho wewe upaswi na utakiwi kujua.

Ata mume wako asipotaka ujue kitu hiyo ni siri

Nchi kupitia serikali ina vitu haitaki raia wake wasio na makoromeo wajue au nchi nyingine za jirani au za mbali
 
Back
Top Bottom