MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,738
- 9,198
Chakula ya wagogo hii. Mikoa isiyofuga wanakula nyama za ajabu sana aiseeee. Unakuta watu wanakula mbwa, nyani, tumbili, konokono, jongoo n.k
Kwa hiyo hapa ni sokoni wanauza kwa raha zao kama wanyiramba wauzavyo vitunguu kwenye stand ya Singida?!
Ntwara ni nchi?
Mkuu una uhakika hiyo ni sea food? Hembu angalia vyema jombaa
Mkuu, kwani hiyo kitu ikipikwa inawekwa kwenye kundi gani la chakula. Mimi huko nilikoikuta ilikuwa iko kwenye kundi la sea food na kilikuwa chakula gali sana, wanakula watu wenye pesa au unaandaliwa kwa heshima kama Mgeni, kiliandaliwa kwenye ajili yetu kama wageni, tulikuwa wanane kutoka nchi za Afrika tuliokuwa masomoni (internship) nchini nchina. Jamaa kutoka Morocco ndo alikifurahia, kesho yake tulimwambia Mratibu (Mwenyeji) kuwa hiyo kitu baadhi yetu sio utamaduni wetu. Walikuwa wanamwandalia Jamaa kutoka Morocco.
Mkuu, kwani hiyo kitu ikipikwa inawekwa kwenye kundi gani la chakula.Mkuu una uhakika hiyo ni sea food? Hembu angalia vyema jombaa
Mkuu, sasa unanilazimisha kukubali kuwa ili MAKOMBE, lihali nilikuwa namshudia mtu akiingiza kijikoko kidogo kwenye hiyo kitu akichonoa na kula...aaaaaaagh, tena usinikumbushe endeleeni nyie kuila hiyo mikitu.Ndugu itakuwa wewe uliona kitu inafanana na hiyo lakini sio hao konokono. Kule kwetu visiwani kuna sea food inaitwa MAKOME hiyo inapatikana baharini tu na inafanana na hayo makonokono.
Ha ha ha ah ah !!! NimefurahiNdiyo nkuu
daaadek hivi vitu ndo mtanifanya nisisafiri aisee...! au ukienda nchi za watu unakuwa vegetarian tu!
Mkuu, kwani hiyo kitu ikipikwa inawekwa kwenye kundi gani la chakula.
Mkuu, sasa unanilazimisha kukubali kuwa ili MAKOMBE, lihali nilikuwa namshudia mtu akiingiza kijikoko kidogo kwenye hiyo kitu akichonoa na kula...aaaaaaagh, tena usinikumbushe endeleeni nyie kuila hiyo mikitu.
Hivyo vikitu vyeupe nishapiga daah...![]()
![]()
![]()
![]()
Sio MAKOMBE ni MAKOME note that
Mkuu, hao waache wawe na mili kwa kula konokono mimi hata siku moja sikuli hiyo, naishia kwenye prowns tu. Hata China walipotupikia hiyo kitu ilikuwa kwnye sinia yake, na vikula vingine vilikuwepo ikiwepo prowns na majani kama vitunguu fulani ambayo ukila unapiga chafya, miye nilikuwa naishia kwenye vitu ninavyofahamu tu.![]()
Ni kama ulimi wa ng'ombe.
![]()
Au kama supu ya mapupu.
![]()
![]()
Kama kokoto
![]()
Kama rosti
![]()
Kama mishikaki.
![]()
pasta
Hawa hapa wala konokono, cheki miili
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()