Lumumba
China hawezi ikusanya kwa kutumia vyombo kama hivyo, yaani China ukibahatika kupewa chakula cha hiyo kitu, ufahamu kuwa wewe wamekuheshimu sana, kumbuka hiyo ni sea food ambayo ni ghali sana. Kuna kipindi nilifanya internship katika mji fulani unaitwa Jiian, siku ya kutukaribisha wakatwambia wataandaa sea food kwa heshima yetu, tulipoenda mezani hiyo kitu ilikuwa ni miongoni mwa chakula, meza ilikuwa ya kuzungusha na kupakua kile unapenda, niliepuka hiyo kitu. Hata hivyo, sikuwa na mood ya kula na nilikuwa nahisi kichefu chefu, mpaka leo sijawahi sahau ile siku.Itakuwa China hii!