samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
Nchi au takataka hizo why USA NA UK hamna? Jiulize..
Unaita nchi takataka we ndo m
Pu.mb.a.v.u
Nchi au takataka hizo why USA NA UK hamna? Jiulize..
uwe na adabu,kuna Hongkong,Singapore,Qatar etc unazijua kweli wewe? acha mambo ya ajabu ajabu pia kila nchi na utaratibu wake
niko tayari nikulipie ticket nikupeleke Qatar,Singapore na Hongkong harafu unionyeshe uchovu wao,wanaojua maana za fursa watachangamkia maana kuna nchi hapo ni nzuri kibiashara ata kwa kutembea pia.
Wale ambao wanajua wao wachovu ndio wanaishia kulalamika
Hapana,si kweli.Siku hizi fursa hazipo USA na UK pekee.Dunia imebadilika mno,maendeleo yapo kila kona.Ndio maana hata watu wa mataifa mengine wanamiminika hapa nchini,maana wanaziona fursa.
......nchi zote hizo wachovu kama bongo, ndio maana unaweza kwenda bila visa.
Hongkong unapewa Viza Uwanjani lakini Maswali unayokutana nayo ni Mengi hakuna mfano na ukibabaika tu wanakunyima Viza, tena ni bora wangekuwa na Viza huku huku Tz kama ilivyokuwa kwa China kwani watu wengi sana wamegeuziwa Uwanjani pasipo kupata viza na wakawa wamechoma nauli Bure.tatizo kubwa Tz hawana Ubalozi Hongkong matokeo yake watanzania wengi wananyanyasika pasipo kuwa na Msaada, Mataifa mengine huwa wapo makini na Raia wao ndiyo maana hawapati Shiiiiiiiiiida.
Tofautisha viza na passport mkuu, passport lazima ubebe na unaruhusiwa pale unapoingia kwa kufuata taratibu zingine zote kwa kugongesha passport kwamba umetoka Tanzania na kisha unagongewa upande wa Uganda.Uganda uingie bila viza wakudake utaimba wale wanajeshi wakorofi maana kwanza wanalazimisha luga yao,
money stuna una uhakika na ulichokiandika.nani alikwambia unaweza kwenda sauz bila visa
hiyo shiiiiiida umeitumia vibaya hapo.
Asante kwa kukumbushia
nyie gombaneni tu mi dar-mwanza sihitaj viza
Mleta mada nadhani rekebisha kauli kwamba unaweza kwenda nchi hizo na kupata visa on arrival na sio kuingia bila visa na tena uwe umwfanya arrangement kabla vinginevo unageuzia airport jaribu kwenda ethiopia bila mipango uone kama hujarudia airport unapata visa on arrival bana mf Djibout acha kabisa
hiyo shiiiiiida umeitumia vibaya hapo.
Kiusahihi ni nchi zote za SADC na Afrika Mashariki na ulizotajaAsante kwa kukumbushia
kunautaratibu wa kila nchi katika kuruhusu wageni kuingia nchini mwao. Nchi zote duniani huitaji visa itakayokupa ruhusa wewe kukaa nchini mwao kwa kipindi utakachokuwa umepewa.
Lakini kutokana na urafiki na makubaliano ambayo huwa yanafanywa na baadhi ya nchi juu ya uhuru wa kutembeleana kwa watu wao, huwa wanaamua kutoa kikwazo cha visa na hivyo kururhusu watu wao kutembeleana pasipokuwa na visa.
Tanzania inajumla ya nchi 76 ambazo mtanzania anaweza kutembelea pasipokuwa na visa ya kumuwezesha kuingia ndani ya nchi hizo.
Baadhi ya nchi hizo ni Albania, Cook Islands, Djbouti, Dominica, Ethiopia, Ecuador, Fiji, Grenada, Gambia, Georgia, Haiti, Nepal, Namibia, St Lucia, Singapore, Seychelles, Swaziland, Tuvalu, Togo, Trinidad & Tobago, Timor-Leste, Uganda, Vanuatu, Zambia, Zimbabwe
zingine hizi hapaAntigua & Barbuda
Albania *
Armenia
Azerbaijan
British Virgin Islands
Barbados
Bangaladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Islands
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibouti
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt **
Fiji
Grenada
Gambia
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong (3months Visa upon arrival)
Jamaica
Jordan *
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon *
Lesotho
Libya *
Liberia
MacauMalaysia (1 month visa upon arrival)
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Montserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia (1 month visa upon arrival)
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar *
Rwanda
Samoa
Suriname *
St.Kitts & Nevis
St.Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore (1 month visa upon arrival)
Seychelles
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan *
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
In the case of Egypt, travelling without visa applies only if touring the Sharm el sheikh resorts.