Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Uganda uingie bila viza wakudake utaimba wale wanajeshi wakorofi maana kwanza wanalazimisha luga yao,
 

​
kunautaratibu wa kila nchi katika kuruhusu wageni kuingia nchini mwao. Nchi zote duniani huitaji visa itakayokupa ruhusa wewe kukaa nchini mwao kwa kipindi utakachokuwa umepewa.
Lakini kutokana na urafiki na makubaliano ambayo huwa yanafanywa na baadhi ya nchi juu ya uhuru wa kutembeleana kwa watu wao, huwa wanaamua kutoa kikwazo cha visa na hivyo kururhusu watu wao kutembeleana pasipokuwa na visa.
Tanzania inajumla ya nchi 76 ambazo mtanzania anaweza kutembelea pasipokuwa na visa ya kumuwezesha kuingia ndani ya nchi hizo.

Baadhi ya nchi hizo ni Albania, Cook Islands, Djbouti, Dominica, Ethiopia, Ecuador, Fiji, Grenada, Gambia, Georgia, Haiti, Nepal, Namibia, St Lucia, Singapore, Seychelles, Swaziland, Tuvalu, Togo, Trinidad & Tobago, Timor-Leste, Uganda, Vanuatu, Zambia, Zimbabwe

zingine hizi hapaAntigua & Barbuda
Albania *
Armenia
Azerbaijan
British Virgin Islands
Barbados
Bangaladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Islands
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibouti
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt **
Fiji
Grenada
Gambia
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong (3months Visa upon arrival)
Jamaica
Jordan *
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon *
Lesotho
Libya *
Liberia
MacauMalaysia (1 month visa upon arrival)
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Montserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia (1 month visa upon arrival)
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar *
Rwanda
Samoa
Suriname *
St.Kitts & Nevis
St.Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore (1 month visa upon arrival)
Seychelles
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan *
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
In the case of Egypt, travelling without visa applies only if touring the Sharm el sheikh resorts.

...Mukulu KIN ezali wapi??
 
Mleta mada nadhani rekebisha kauli kwamba unaweza kwenda nchi hizo na kupata visa on arrival na sio kuingia bila visa na tena uwe umwfanya arrangement kabla vinginevo unageuzia airport jaribu kwenda ethiopia bila mipango uone kama hujarudia airport unapata visa on arrival bana mf Djibout acha kabisa

kwani mimi nimesema unaenda kimandazi mandazi tu,safari kama hizo lazima ujiandae
 
ulichoandika wewe mwenyewe umeelewa kweli? Sijakuelewa

...drc

congo4.jpg
 
Uganda uingie bila viza wakudake utaimba wale wanajeshi wakorofi maana kwanza wanalazimisha luga yao,
halaf wanasema et kiswahili ni lugha ya wauni ni wauni tu peke yao ndio wanaongea Uganda. Wananiudh sana waganda.
 
Uganda uingie bila viza wakudake utaimba wale wanajeshi wakorofi maana kwanza wanalazimisha luga yao,

kuna watu mna vichwa vigumu,ninachosema visa unaipatia mpakani au airport ukifika,kwa Uganda ukitokea Tanzania unaweza ipatia Mtukula,kwa Kenya kuna malaba na Busia.

sijamaanisha unaingia kimlenda kwao
 
Back
Top Bottom