NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Mkuu, siasa za kugawa pombe upate kura zimepitwa na wakati.
Mimi sina shida na siasa uchwara, Mimi nataka wananchi wanichague baada ya kuwaonyesha what I can do for my Mother land , mie siendi kufuata shangingi ,hizo hela za kunua shangingi moja kama la msigwa zinaweza kununua ambulance kumi au magari ya kuzoa taka ishirini

wakuchague wewe? Utakuwa umepona yale magonjwa?
 
waliorejeshewa ni wa ndani kwa ndani. Ufadhili wa magamba na wa mabeberu bado hamjaanza kulipa. Usiku mwema.

Wenye mawazo haya mmebaki wachache sana....bora ukalale na utakayoota uje nayo kesho hapa....
 
Mkuu, siasa za kugawa pombe upate kura zimepitwa na wakati.
Mimi sina shida na siasa uchwara, Mimi nataka wananchi wanichague baada ya kuwaonyesha what I can do for my Mother land , mie siendi kufuata shangingi ,hizo hela za kunua shangingi moja kama la msigwa zinaweza kununua ambulance kumi au magari ya kuzoa taka ishirini

Kwa kuniona mimi mburula....Asante maana sijui bei ya magari!
Baada ya kutaja maeneo ya Iringa ndio ukanitwika bonge la kamba...
Kweli hii ni advanced deceiption!
 
Kweli wako makini ndo maana wana wabunge wawili bungeni
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

- Nyingine 'Katika chaguzi ndogo zinazofanyia NCCR imepata mafanikio makubwa sana kwa kushindwa kushinda
- Mwenyekiti wake alishangiliwa sana Mtwala kwa wananchi kutaka kumchoma moto baada ya kuwapelekea maneno mazuri kutoka CCM
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

Acha porojo Za vichaa
 
Chama kikuu cha upinzani ni NCCR Mageuzi huo ndiyo ukweli majibu yatapatikana 2015.
 
"NCCR hawawatumii wananchi kuandamana"Maandamano yao hutumia mbuzi au?
 
Chama kikuu cha upinzani ni NCCR Mageuzi huo ndiyo ukweli majibu yatapatikana 2015.

Kweli mkuu maana CDM ndo itakua chama tawala 2015 NCCR chama kikuu cha upinzani na mapacha wawili CCM na CUF mtakua wasindikizaji.
 
Chama kikuu cha upinzani ni NCCR Mageuzi huo ndiyo ukweli majibu yatapatikana 2015.

Mnatapatapa mno mwaka huu....sasa mnatumia staili ya divide and rule..
Hongereni mashabiki wa NCCR kwa sababu mnajua CHADEMA ni chama tawala in 2015
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

unaangaika sana mtani kila kukicha ukosi vituko
 
Chilisosi ushapona Magonja haya yafuatayo?

1. OCD (Obsessive Compulsive

Disorder)

2. DG (Delusions of Grandeur)

3. CLD (Compulsive Lying Disorder)

4. ASPD (Attention Seeking Personality Disorder)

5. ODD (Oppositional Defiant Disorder)

6. MPD (Multiple Personality Disorder)

7. LD (Literacy Disorders)

kama haujapona bas mtafute Dokta Paurine

jitahidi kuelewa basi kidogo na si kukariri, mtaimba huu wimbo mwaka mzima, say something else for a change
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

The quality of your opinion is a function of your intellectual capacity!
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

Kweli wewe ni CHILISOSI...!
Kwa hiyo huo uzembe wa MAGAMBA kusimamia sheria umekuwa sehemu ya kupatia huruma ya wananchi siyo??!Mnasababisha majanga ili mhudhurie misiba?Ili watu wawasifu eeh!?Kweli mmekwisha..
VIONGOZI WAOMBA MISIBA NDO MMEBAKI eeh!Sasa tuambie,baada ya kupandisha nauli mmeandaa tukuo gani ili mwende wananchi waone bado mnawajali?!
MNAPENDA MAITI kweli kweli ndiyo maana hamkufanya JUHUDI zozote kuwaokoa walionasa kwenye malori kule Morogoro...Tunasubiri SALAMU za POLE kwenda kwa MKUU WA MKOA MOROGORO mkiwa na MASIKITIKO MENGI...
Haya WAPENDA MISIBA tumewasikia.
 
Chama kikuu cha upinzani ni NCCR Mageuzi huo ndiyo ukweli majibu yatapatikana 2015.

Umerithi mikoba ya Shehk Yahya (R.I.P) nini? Maana hata yeye alitabiri yeyote atakayechuana na JK kinyang'anyiro cha Urais atakufa matokeo yake leo hatunaye tena mungu mwacheni aitwe mungu si wa kuchezea
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

Chilisosi umekuwaje leo? kunawaliokuahidi shibe? angalia usijiingize kwenye taaluma mbaya kama hiyo bila wewe kujua
 
Wewe ni jembe tena usimamishwe kama mgombe urais kura yangu unayo!:wink:
 
Back
Top Bottom