NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,050
Reaction score
748
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama CHADEMA.

1. NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
2. Maandamano ya NCCR huwa ya amani
3. NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.

Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati CHADEMA walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.

Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa.

[h=2]NCCR MAGEUZI walikuwa chama kikuu cha upinzani enzi za Mrema lakini hawajawahi kung'oa mtu kucha[/h]Nimepitia kumbu kumbu zangu za vyama vya upinzani nchini na kujikumbusha kuwa NCCR mageuzi walikuwa na nguvu sana miaka ya tisini wakati mheshimiwa Mrema alipohama CCM.

Tukumbuke kipindi kile mfumo wa vyama vingi ndio ulikuwa unaanza nchini lakini Mrema aliweza kujizolea umati mkubwa wa wafuasi na mimi nikiwa mmoja wao. Lakini pamoja na wafuasi wote aliokuwa nao Mheshimiwa Mrema sikuwahi kusikia mtu akilalamika kung'olewa kucha bila ganzi au kusikia vijana wakitembea na sumu mfukoni.

Lakini leo Jamaa zangu wa Chadema ambao ndio chama kikuu cha upinzani kila kukicha ni lazima usikie sarakasi za mauza uza tu.

Mara utasikia kuna kijana anatembea na sumu mfukoni katumwa na nani sijui
Mara utasikia kuna video imenaswa mkurugenzi wa Chadema anapanga mauaji na ung'oaji wa kucha
Mara utasikia wanatangaza kuwa watasimamisha nchi nzima kwa maandamano bila kibali
Na mengine meengi ambayo sasa naona hata wanachama wao wenyewe wameisha anza kuwachoka.

Hiki Chama kimekosa mwelekeo kwani wao njia pekee ya kupata attention ya wananchi ni kuitisha maandamano, kufanya vurugu na sasa kwa sababu wameona wanachi wamechoka na maandamano wameanza kunyofoa watu kucha kama tulivyoona kwenye ile video ya Lwakatare.

Nakaa najiuliza,
Hivi chadema wameshindwa kuwaambia wananchi watawafanyia nini ili wachaguliwe?

Hakuna njia nyingine za busara na amani za kujipatia umaarufu zaidi ya kusababisha uvunjifu wa amani na kuhatarisha maisha ya watu?

Chadema jaribuni kujifunza kutoka NCCR mageuzi ambao pamoja na migogoro yote waliyokuwa nayo na umaarufu walioupata hatujawahi kusikia wana vijana wanaotembea na sumu mifukoni.

Vijana inabidi mkatae kutumiwa kama misukule, kumbuka ukikamatwa na sumu mfukoni watakukana kama LUDO
Chadema ni kama time bomb, siku likiripuka wengi mtajutia muda wenu mliopoteza kucheza karata tatu
timebomb.jpg

AMKENI
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

Wala hutambui tofauti ya chama tishio na kisicho tishio, bahari kuu na ziwa dogo. Bahari kuu hukusanya vingi mpaka

visivyo hitajika tofauti na ziwa dogo ambamo wahusika wanafahamiana mpka kwa rangi, sauti na hata miandiko.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

so what?watu hawashindanishi upinzani kwa upinzani ila upinzani kwa CCM.kwa taarifa yako kuokoa ktk majanga si kazi ya kila mtu.

Nasikitika hujajiuliza madhara yake kwa CCM. huna tofauti na nape kwani kila ukifungua mdomo unaumiza chama.Unatukumbusha machungu tuu ya uharobofu wa ccm ktk uhai na usitawi wa taifa na watu wake.

NCCR si chama cha calibre ya CDM.kaulize lumumba au ikulu.km hukusikia wakipata mshtuko na pengine kukuona ndio unaondoka hivyo.ukitaja cdm tuu unapa baridi yabisi
 
Chilisosi ushapona Magonja haya yafuatayo?

1. OCD (Obsessive Compulsive

Disorder)

2. DG (Delusions of Grandeur)

3. CLD (Compulsive Lying Disorder)

4. ASPD (Attention Seeking Personality Disorder)

5. ODD (Oppositional Defiant Disorder)

6. MPD (Multiple Personality Disorder)

7. LD (Literacy Disorders)

kama haujapona bas mtafute Dokta Paurine
 
Last edited by a moderator:
Miadarati ni mibaya sana kwenye akili za vijana

Mkuu sio mihadarati, huyu ni yule Mgonjwa wa Dr Paurine bila shaka katika mojawapo ya IDs zake 10. anasumbuliwa na magonjwa mazito kama 7 hivi (OCD, DG, CLD, ASPD, ODD, MPD na LD).

UKIBISHANA NA KICHAA .......
 
Thanks nicas, hiyo dawa tosha kwa masalia anayeitwa chilosis kaa picha ya kichawi vile
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa
Chilisosi,

..I hope CCM hawajalitambua hilo.

..natamani waendelee kupambana na CDM, halafu chama kingine, kama NCCR, wapite kiulaini.
 
Last edited by a moderator:
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

hata siku moja huwezi kuilinganisha CDM na NCCR
 
Unafikiri kwa kutumia masaburi.
Unaijua sababu ya nccr kuvuma na kupotea gafla?
Unajua aliyekivumisha wakati huo?
Uko nchi gani na je? Umewahi kufika Tz?
Ulikuwepo miaka ya 90?
Au wewe ni miongoni mwa wale 60% ya 2012? Hata histry huijui?
NI KWANINI CDM KINA WABUNGE WENGI KULIKO NCCR?
AYA, HUO UMAKINI NA unavyosema si cha mtu mmojammoja unatoka wapi?
Kwasasa hatutaki vyama vya majaribio kwani tunahari ngumu inayo kiitaji chama makini cdm ili tukomboke na hawa wakoloni wazawa wenye matawi mengi ili wazidi kutunyonya

Nccr=ccm C=CUF(CCM B)

Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa
 
NCCR ipi unaiongelea?Hii ambayo mwenyekiti wake ni wa VITI MAALUM?
 
Kigezo alichokitumia kulinganisha cdm na nccr ni dhaifu sana eti sababu mwenyekiti wa nccr alitembelea tukio la gorofa. Kajifunze kutafuta vigezo makini vya ulinganifu.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa
Kwani wewe Chilisosi una undugu na Chris Lukosi? Ok, tuachane na hayo. Wananchi wa kawaida wanajua wazi kabisa kwamba NCCR mageuzi imeingia mkataba na CCM ili itumike kufanya kazi za CCM kwa ajili ya kuiangusha CHADEMA. Tunajua wazi kwamba ndugu Mbatia hakuteuliwa kwa bahati mbaya kushika ile nafasi aliyonayo hivi sasa. Tunajua aliteuliwa ili apewe mambo mhimu ya kusema bungeni kwa ajili ya kuongeza kura za NCCR na kuzipunguza za CHADEMA.
Unatumia ghorofa kama reference? Wewe wa ajabu sana, hivi huyo Mbatia au Kikwete alipofika pale alifanya nini? Kama si kuchelewesha kazi ya uokoaji kwa kuwafanya watu waanze kumshangaa yeye badala ya kuendelea na uokoaji? Huyo Kikwete au Mbatia waliokwenda pale walikwenda na Greda la kusaidia uokoaji? Au ndiyo kwanza walikwenda kuwashangaa waokoaji? Au walikwenda kulishangaa ghorofa lilivyoanguka, au walikwenda kuonekana au .... au... a lot of au! Bora ambao hata hawakwenda.
 
Chilisosi ushapona Magonja haya yafuatayo?

1. OCD (Obsessive Compulsive

Disorder)

2. DG (Delusions of Grandeur)

3. CLD (Compulsive Lying Disorder)

4. ASPD (Attention Seeking Personality Disorder)

5. ODD (Oppositional Defiant Disorder)

6. MPD (Multiple Personality Disorder)

7. LD (Literacy Disorders)

kama haujapona bas mtafute Dokta Paurine

Akija atasema umechanganya ID, kuwa ile iliyopewa magonjwa sugu ya kiakili na Dr Paurine haimilikiwi na huyu wa aliyepost leo!! Subiri utaona!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom