NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Chadema mkumbuke nccr ilishawahi kuwa na idadi ya viti kama mlio nayo .kilichowaangusha ni ubinafsi wa viongozi kama mlivyo nyie wakati huu.nahisi sasa nccr ni chama madhubuti chenye viongozi na wanachama wanaofanya kazi zao kwa busara na kwa vyovyote uchaguzi ujao kitakua chama tishio kwa chama tawala.

Wewe sio mfuatiliaji wa siasa za Tanzania...au ni kijana mdogo.....NCCR haijawahi kupata wabunge idadi ya CHADEMA....ndio chama cha kwanza cha upinzani kufikisha idadi hiyo ya wabunge...
Ni CUF ndo ilikuwa na wabunge wengi ila sio kama hawa wa sasa CHADEMA....
NCCR ilikuwa maarufu under Mrema in 1995 na wanasiasa shupavu kama Wassira,Lamwai,Marando n.k...
 
Umaarufu na umakini wake uliishia SPLENDID HOTEL kule Tanga 1997......kama ulikuwa na umri.Hebu soma hii halafu ukanywe Cerelac!

A petition filed by two defeated candidates (from NCCR-Mageuzi and CHADEMA) in the Temeke (Dar es Salaam) parliamentary constituency occupied several weeks of High Court time. The case revealed much of what was alleged to have happened in at least one Dar es Salaam constituency during the last elections and resulted in the convening of the first byelection of the new parliament.

During the case there were allegations that the successful candidate, CCM’s Ramadhani Kihiyo, bribed voters with money and T-shirts, provided a free supply of water from a bowser two days before the second round of the elections (the first round in Dar es Salaam constituencies was cancelled because of irregularities and several opposition candidates boycotted the second round on November 19 where the turnout dropped to 39% of the 143,749 registered voters) and that a CCM councillor had threatened traders supporting the opposition that they would lose their licenses. Mr Kihiyo got 37,303 out of the 57,152 votes cast in the second round of the elections. The location of several polling stations was said to have been changed because of the high rents charged by owners of the buildings where voting took place – this was alleged to have further confused voters and there were also allegations that ballot papers were bought and sold. But the court reached a pitch of high drama when NCCR MP and lawyer Dr. Masumbuko Lamwai, tackled Kihiyo on the qualifications he had told the electorate he held (as reported in the Daily News):

Lamwai: You say you graduated from the Dar es Salaam Technical College in 1986. Is that right?.
Kihiyo: Yes, of course.
Lamwai: Do you know that man? (pointing to former Technical College Students Council Chairman)?
Kihiyo: No, I don’t know him.
Lamwai: What is a foundry?
Kihiyo: I don’t know (laughter from the packed public gallery).
Lamwai: How many sub-departments are there in the Mechanical Department of the College?
Kihiyo: An engine room, an injection pump and repair (laughter).
Lamwai: Do you have any paper indicating what marks you got?
Kihiyo: I think I have it somewhere.
Lamwai: Do you know who the Principal of the College was when you were there?
Kihiyo: I don’t know.
Lamwai: Who was the Registrar?
Kihiyo: Mr Kuhanga.
Lamwai: No. Mr Kuhanga was my Vice-Chancellor at the University of Dar es Salaam at that time.
Lamwai: When did you start your studies there?
Kihiyo: I don’t remember.

Dr. Lamwai told the court that Kihiyo had used the title engineer during the campaign in relation to his ability to solve water problems affecting the constituency. The Judge asked Kihiyo to bring his certificate to court.
Kihiyo: (Next day). Your Honour, can you please give me two more days to look for the document.
Lamwai: Do you still maintain that you graduated from the College?
Kihiyo: Yes.
Dr. Lamwai then asked about the stream he had been in, his Head of Department’s name, who had presented the certificate to him, what were the entrance requirements but in every case Kihiyo either did not know or gave the wrong answer.
Lamwai: What does VTC stand for?
Kihiyo: It is National Committee Centre (laughter).
Lamwai: I ask you to step down as MP for Temeke

On May 29, following a month in the High Court, Mr Kihiyo announced through his counsel that he had written to the House of Assembly Speaker resigning as MP for Temeke on medical grounds.
On June 26 in the National Assembly Mr Christiant Mzindakaya (CCM MP for Kwela) said that Dr. Lamwai was a ‘bad comrade’. He was bent on unseating his fellow MP’s rather than using his talents to defend them (loud laughter).

Excellent record on memory lane Safari! Thanks a bunch. I enjoyed this one very much. Utafikiri jana yani.
 
Haya mambo ya kisiasa, inatubidi tuwe makini sana, tukijidanganya hatutafika mbali. Tuelewe kuna mlolongo mkubwa wa vyama na hivi vyma wanahama na kurudi! Tunachotaka ni mabadiliko na mabadiliko hayatakuja kama hatutajielimisha kuna na chama mbadala kuongoza waTanzania, tuendelee kuchekea tu lakini nchi inamegwa hata huu udini unasababishwa na viongozi kutokuwa imara na sheria kutofuata mkondo!! kazi kwenu! kwa hivyo NCCR au CHADEMA ! Jamani tuwekeni nguvu pamoja hela yote wanayo pamoja na vyombo vyote vya umma!!
 
CHADEMA ndio chama cha pekee ambacho kimeweza kuchuana na CCM katika ngazi ya vijiji,kata na majimbo....na kuna baadhi ya sehemu kimeshinda.
Ndio chama cha kwanza cha upinzani ambacho kimeweza kuishinda CCM katika uchaguzi mdogo...
Ndio chama cha kwanza cha upinzani kushika halmashauri kadhaa nchini.
Ndio chama cha kwanza cha upinzani kuzungumziwa na Rais kama tishio...na ndio chama cha upinzani kilichofanya CCM kubadili safu ya uongozi wa juu...
Ndio chama cha upinzani kilichomfanya Jakaya kubadili baraza la mawaziri...
Wananchi wanakijua...wananchi wanakipenda...wananchi wanakiunga mkono..
CHADEMA CHADEMA CHADEMA
 
Chili amia huko NCCR-Mageuzi ...ila ukumbuke huko tenda hakuna.
 
Last edited by a moderator:
Uwezo wa kiakili wa mleta mada ni mdogo sana kisiasa kwani hajui hata alichoandika, kwa mfano;

1/Kwanini CCM inakesha usiku kucha na mchana kutwa inahaha kufanya propaganda chafu dhidi ya CHADEMA na wala sio NCCR?

2/Hajui kwanini Mwenyekiti wa CCM, Kikwete alimteua Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia kuwa mbunge wa viti maalum?

3/Hivi ni kwanini Mleta mada baada ya Kufukuzwa CHADEMA alirudi CCM na wala hakutaka kwenda NCCR?
 
Kwa namna unavyoandika vitu vya kipuuzi hapa JF wakati huo ukiwa umebahatika kuishi nchi za watu ni dhahiri kuwa kama ungebaki nchini na kuendelea na kazi ya upolisi ungekuwa unakunywa mataputapu tu ili siku ziende kwakuwa akili yako ni ndogo sana ndugu Chris Lukosi.
 
Last edited by a moderator:
Wakereketwa wa CDM acheni kudanganya watu. Ni mtanzania gani asiyejua kwamba chama chenu kinafadhiliwa wazi wazi na makada wa CCM. Mmepokea mamilioni magapi kutoka kwa Sabodo na wanamagamba wengine?
Kufadhiliwa kwenu mtakulipaje? Kufadhiliwa na waigereza na nchi nyingie za ulaya ndio mnajiona chama cha maana. Watanzania tunajua kwamba kwa njia ya fadhila hizo mko tayari kuuza nchi.
 
sikutaka hata kusoma uzi wako uliokonda!yaani ni mfu hauna hata chembe ya uhai,rejea jf health ukapewe ushauri wa ubongo.km huna neno lakuandika Jf omba tukuazime.

BATTER AN UGLY FACE THAN UGLY MIND!!
 
By the way, habari za hivi punde kutoka kahama zinasema hivi;
"...madiwani wa CHADEMA na CCM wilayani Kahama wameamua kwa pamoja kuungana ili wafanye mkutano wa hadhara kujibu hoja za NCCR-mageuzi..."

Hapo mshirika wa magamba ni nani?
 
Mtoa mada yupo Uingereza
Kwa hiyo na wewe unapenda siasa za majitaka?
Nikianza msilalamike manake juzi nilimwaga ugali hapa mbunge wenu wa Arusha akakosa usingizi
Huhitaji matusi kufanya siasa, kwani ukiisha tukana ndio unakuwa umeipa chadema umaarufu au unaiharibia?
 
Kwa namna unavyoandika vitu vya kipuuzi hapa JF wakati huo ukiwa umebahatika kuishi nchi za watu ni dhahiri kuwa kama ungebaki nchini na kuendelea na kazi ya upolisi ungekuwa unakunywa mataputapu tu ili siku ziende kwakuwa akili yako ni ndogo sana ndugu Chris Lukosi.
Mwita mie nakunywa hayo matapu tapu mpaka leo
Kule kwetu kuna pombe inayoitwa Komoni na Ulanzi, Hizo ndio pombe zetu za asili na kamwe siwezi kudharau asili yangu,
Nnapiga taps kama kawa, umefurahi sasa?
 
Wakereketwa wa CDM acheni kudanganya watu. Ni mtanzania gani asiyejua kwamba chama chenu kinafadhiliwa wazi wazi na makada wa CCM. Mmepokea mamilioni magapi kutoka kwa Sabodo na wanamagamba wengine?
Kufadhiliwa kwenu mtakulipaje? Kufadhiliwa na waigereza na nchi nyingie za ulaya ndio mnajiona chama cha maana. Watanzania tunajua kwamba kwa njia ya fadhila hizo mko tayari kuuza nchi.

Wewe kama hujafa basi unaishi kaburini...
Kwanza napenda ujue kuwa TANU ilifadhiliwa na mataifa hayo ya ulaya...
Chama cha mapinduzi nacho kinafadhiliwa na chama kimoja cha ulaya vilevile..
Chama cha mapinduzi kimefadhiliwa na wanachama wa vyama karibu vyote kipindi kikiwa ndio chama cha lazima
Mwisho....Tanzania huwa tunaweza kukimu 60% ya bajeti yetu...hiyo arobaini unajua ni kazi ya nchi gani...au huwa husikii wanavyotajwa na makofi kibao bungeni (nchi wahisani)
Miundombinu wanatoa misaada hilo huoni..na Twiga wanapewa!
Kuwa na akili timamu na uelimike...toka kaburini,njoo kwa tulio hai
 
Kufananisha NCCR na CDM ni sawa na kumshindanisha Mudavidi against Uhuru au Odinga
 
Mwita mie nakunywa hayo matapu tapu mpaka leo
Kule kwetu kuna pombe inayoitwa Komoni na Ulanzi, Hizo ndio pombe zetu za asili na kamwe siwezi kudharau asili yangu,
Nnapiga taps kama kawa, umefurahi sasa?

Huwa unaagiza ulaya??? au ndio tender ulikuwa unafuatilia kusupply ulanzi huko uingereza???
 
Kwa hiyo na wewe unapenda siasa za majitaka?
Nikianza msilalamike manake juzi nilimwaga ugali hapa mbunge wenu wa Arusha akakosa usingizi
Huhitaji matusi kufanya siasa, kwani ukiisha tukana ndio unakuwa umeipa chadema umaarufu au unaiharibia?

Kwanì haupo Uingereza?
 
Umetukanwa wapi?? au wewe kwako matusi ni nini?????
 
Wewe kama hujafa basi unaishi kaburini...
Kwanza napenda ujue kuwa TANU ilifadhiliwa na mataifa hayo ya ulaya...
Chama cha mapinduzi nacho kinafadhiliwa na chama kimoja cha ulaya vilevile..
Chama cha mapinduzi kimefadhiliwa na wanachama wa vyama karibu vyote kipindi kikiwa ndio chama cha lazima
Mwisho....Tanzania huwa tunaweza kukimu 60% ya bajeti yetu...hiyo arobaini unajua ni kazi ya nchi gani...au huwa husikii wanavyotajwa na makofi kibao bungeni (nchi wahisani)
Miundombinu wanatoa misaada hilo huoni..na Twiga wanapewa!
Kuwa na akili timamu na uelimike...toka kaburini,njoo kwa tulio hai

Sawasawa hakuna tofauti kati ya Magamba na nyie, nyote mnafadhiliwa na mabeberu wa Ulaya.
Halafu behave kama great thinker, jenga hoja badala ya kuita wenzio wamekufa au wanaishi kaburini.
 
Kwanì haupo Uingereza?
Anyway mkuu
Tusiende mbali
Vipi Lwakatare anaendeleaje huko Lupango, nasikia wako kumi kwenye kachumba kamoja sasa huwa inakuwaje wakati wa kukata gogo?
 
Huwa unaagiza ulaya??? au ndio tender ulikuwa unafuatilia kusupply ulanzi huko uingereza???
Mkuu kwani huwa siendi kwetu?
Tatizo nyie vijana hamjui hata utamu wa matapu tapu NA FAIDA ZAKE.
Taps bomba sana tatizo ni harufu tu ukienda kujisaidia
 
Back
Top Bottom